Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Ukiletewa Aya za Quran kuzungumzia maneno ya Allah wao utazingatia hilo?

Au unadhani kila mtu ni mkristo anapaswa kuzingatia ulicho andika hapa?
Mimi wala sitaki ligi nimeweka tu wewe leta mpaka maandiko ya Buddha
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Naweza ulizwa intropreneur ni mungu nikajibu ndio. Huyo alieniuliza akienda kumwambia mwenzake kuwa intropreneur ni mungu nae akasadiki atakuwa sawa?
Kama atakuwa sawa basi kusema hakuna mungu unakosea.
Mimi infropreneur nikifa, je utaendelea kuamini mimi ni Mungu?
 
Jiwe lina uhai?

Mtu akiamini jiwe kama Mungu wake, utasema kwamba Mungu jiwe hana uhai?
Unaruka ruka tu.
Umeuliza maana ya mungu na mti nimekupa, wewe unahoji jiwe. Kwani kwenye swali lako kulikuwa na jiwe?
 
Mimi infropreneur nikifa, je utaendelea kuamini mimi ni Mungu?
Stick to the point kuhusu mungu pekee, kifo kitafata tukielewana kuhusu mungu. Usihame hame.

Yawezekana tafsiri ya neno mungu inakupa shida.

Mfano mdogo
Mkenya aliejiita Jehova Wanyonyi , kiongozi wa dhehebu la kundi linalojiita Waisraeli waliopotea, alipokufa waumini wake waliacha kumuita au kumtambua kama mungu wao??
 
Je ,unaweza kunithibitishia hapo mashariki ya kati palipotokea dini na historia zote ,kwamba kuna atheist wengi ?
Sio rahisi kutawala dunia kwa mabavu then utawala huo ukaendelea ..

Kwa nn dini zipo karibia mabara yote wakati zimetokea Asia?
Nafikiri Nilikupa maana ya Atheist, na nikakuambia kuwa Atheists wana utofauti na Agnosis na Ignosis..

atheist ni watu wanaosema Kuwa hakuna Mungu "Hawa ndiyo Atheists"

Kwa kukuonyesha Hiki kitu "atheists kilikuwepo toka zamani"
Ukisoma Zaburi iliyoandikwa na Mfalme Daudi au NABII Daudi..

Zaburi 14:1 pia na Zaburi 53:1

"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu;
Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo,
Hakuna atendaye mema."

HIi inaonyesha kuwa Idadi ya watu waliokuwa wakipinga Uwepo wa Mungu ilikuwepo hata kipindi cha Daudi..

uko sahihi kabisa kuwa si rahisi kutawala kwa mabavu na utawala ule ukaendelea..
Na ndo Maana Roman Empire pamoja na Islamic empire zilianguka..

Ila lilikuwa ni fundisho kubwa kwao kuwa Kutumia Mabavu hupitwa na wakati hivyo Rasmi wakaanza kutumia Mind/Psychs..

Kwa kucheza na uoga wa watu kuwaaminisha vitu na kuwapotosha kuhusu baadhi ya bitu ba historia..

Dini zote hazijatoka Mashariki au Bara la Asia..
Ukristo umetoka Magharibi (Rome)..
Orthodox ilisambaa kwa kasi Asia
Uyahudi umetoka Mashariki (Asia)..
Uislamu umetoka Mashariki (Asia)...

Kwanini Dini Nyingi zimetoka Mashariki ni kwa sababu Mashariki (Asia) kuna Ancenstory history nyingi sana Kuna deity wengi sana na kuna Miungu Mingi sana..kuliko Sehemu zingine..
Sumeriani kulikuwa na miungi zaidi ya 1000, Uyahdu walikuwepo si chini ya 300, Wahindu wapo si chini ya 100, kwa Waarabu walikuwpo.si Chini ya Watatu so nafikiri nimejaribu kujibu..
 
Idea ya Munga na Miungu , ilikuwepo hata atheist ilikuwepo...Katika kupinga ni juu ya Mungu mmoja wa Daud, Mussa ,Issah Na Muhamad.

Anayesema hakuna Mungu ,ila huyo anaabudu mizimu ni idea ile ile ya kuamini kweny Mungu , kwani mizimu ilipewa sifa ya kuwa na Nguvu japo haonekani.

Wao walipinga kweny Mungu wa Daud, Mussa ,issah n Muhammad.

Swali,je Atheist kama ilikuwepo tangu zaburi kipind cha Daud, inakuwaje inakosa ushawishi hata kuzidiwa na Budha ?
 
Hata wewe msabato unae waponda wakatoliki, kwa mantiki ya uzi huu, wewe pia unafanya ibada ya sanamu.

Kwani ibada ya sanamu nini?

Umewahi kusikia mashabiki wa mpira wanasema " kwenye timu hii golini kuna sanamu?" Je unadhani maana yake huwaga ni nini?

Maana yake ni kwamba kwenye timu hiyo golini kuna kipa ambae hatimizi majukumu yake kama kipa. Kipa kazi yake ni kuokoa mipira yote inayo elekezwa golini kwake. Ila kama kipa huyu hadaki magoli yanafungwa tu haokoi wala nini basi watu watasema golini kuna sanamu.

Ni sawa na wanapo sema "Huyu jamaa ni baba au sanamu la baba?" Wana maanisha ni baba ambae hatimizi majukumu yake.

Vivyo hivyo kwa habari ya ibada ya sanamu.

Ibada ya sanamu ni nini sasa?

Ibada ya sanamu ni ibada yoyote ile ambayo Mungu/muungu anae ombwa hatoi majibu.

Ibrahimu alivyo yaharibu masanamu ya mababu zake alifanya hivyo sio kwa sababu yale walikuwa ni masanamu la hasha ila alifanya hivyo kwa sababu masanamu yale yalikuwa hayatoi majibu ya maombi ndio maana akaenda kuyacharaza mapanga kwa Hasira.

Kama masanamu yale ya miungu ya mababu zake yangekuwa yanatoa majibu basi Ibrahim asinge thubutu hata kunyoosha mkono wake kuyakata. Yani asinge thubutu hata kujifanya kama anajikuna.

Wakristu na waislamu na ibada ya sanamu.

Ukweli ni kwamba Asilimia kubwa ya wakristu na waislamu wengi duniani hufanya ibada za sanamu. Kwa sababu hufanya ibada zisizo na majibu. Sanamu lina masikio lakini halijibu na lina macho lakini halioni. Vivyo hivyo Mungu (wa Wakristu na Waislamu) anasikia maombi yote wanayo muomba watu wake lakini huwaga hajibu na ana ona mambo yote mabaya wanayo tendewa watu wake lakini haintervene. Anayaacha yaendelee kutokea hivyo hivyo licha ya yeye kuwa na uwezo wa kuyazuia yasitokee.

Ndio maana kwa wakristu na waislamu mtu akifanya maombi halafu yakajibiwa majibu hayo huitwa muujiza. Muujiza ni jambo ambalo sio la kawaida. Yesu alipo tembea juu ya maji uliitwa muujiza kwa sababu sio kawaida kwa mtu kutembea juu ya maji.

So maombi yanayo jibiwa na Mungu wa wakristu na waislamu huwaga yanaitwa muujiza kwa sababu sio kawaida Mungu kujibu maombi..

Hata wakristu na waislamu ndani ya nafsi zao huwaga wanajua kabisa kwamba Mungu huwaga hajibu maombi yao. Ndio maana wengi wao huenda kwa waganga kutafuta majibu ya maombi yao.

Wakristu na Waislamu wana amini Mungu anayaona zaidi madhambi yao kuliko maombi yao. Ndio maana mkristu au muislamu akitenda dhambi anakuwa na uhakika kabisa Mungu kamuona na anakuwa na ile kitu inaitwa Guilty conscious kwa sababu anajua Mungu kamuona . Lakini akifanya maombi yake anakuwa hana imani kama Mungu kayasikia na kwamba atamjibu.

Ndio maana hata kwenye Uzi wangu huu wakristu na waislamu watakuja ku comment hapa kwamba Mungu ataniadhibu kwa kuwa ninakufuru ila ningeandika Uzi nikisema nataka nifunge nimuombe Mungu awafanye watu wote duniani waache dhambi basi wakristu na waislamu hao watakuja kunidhihaki hapa kwa sababu wanajua Mungu hatonijibu kwa maana wanajua Mungu huwa hajibu maombi ya watu.

Bahati nzuri vitabu vya dini zote mbili vimeshaweka wazi kabisa kwamba Mungu huwa hajibu maombi ya watu..

Tufanye nini sasa ee rabbi? Vunja masanamu (Vunja connection na Mungu asie jibu maombi yako na anza sasa kumtafuta Mungu mwenye kujibu maombi yako. Acha ibada ya sanamu sasa)
Hata katika vitu unavyoviweza kuna muda havitimii vinakwama.
Wataka kunambia kila unachokiweza siku zote unakifanya kwa ufasaha???
Unawazungumziaje wale ambao wapishi wazuri ila biashara ya chakula haiendi yani haitoki??
Pia tuletee ayah katika Qur'an inayosema kuwa Mungu hajibu maombi ya watu.
Embu acha uongo we jamaa.
Mie namuomba Mungu kila leo na ananijibu maombi yangu ya vitu vya kawaida na vya kiroho.
Na nimewahi fanya vitu na kuviendesha viumbe wewe huvioni wala huvisikii kwa uwezo na maombi ya Mungu.
Katika uislam subira ina maana kubwa.
Haimaanishi kuwa subira ya kujibiwa siku ya kiyama ACHA UONGO WA KIFALA.
Subira bimaana endurance/patience ina maana kubwa katika kila kitu.
Dini yetu inatufundisha subira kuwa haijalishi kama leo umekosa basi subiri kuwa mstahamilivu ipo siku utapata endelea kupambana na endelea kuomba.
Pia SUBIRA KATIKA UISLAM NI KIPIMO CHA IMANI YAKO KWA MUNGU.
JE UNA IMANI THABITI HATA KAMA HUKUPEWA ULICHOOMBA KWA WAKATI HUO??
KAMA UNA IMANI thabiti utaendelea kuomba na ipo siku MUNGU atakupa zaidi ya ulichokiomba.
HAYA nimeyashuhudia mwenyewe.
Kama wewe una imani zako ziabudu acha kuwa kikwazo kwa imani za watu.

Unakuwa umemuomba jambo ambalo wewe tayari unakuwa unaweza kulifanya na lipo ndani ya uwezo wako. Kwa mfano wewe watu wanakusifu ni mpishi mzuri sana wa chakula. Mimi mwenyewe nimekupa sana biryani lako . Sasa Umepika biryani lako na maandazi yako ya kisomali na chai yako ya maziwa ya kisomali ambavyo tayari watu wanavipenda naturally. Una amka usiku kuomba dua Mungu akusaidie biashara yako itoke siku hiyo na kweli asubuhi wateja wana miminika kama kwa Mwamposa. Wewe utasema ni Mungu majibu dua yako lakini kumbe ni kwa sababu ya utaalamu wako..

Hata vitabu vya dini hizi mbili (ukristu na uislamu vimeweka wazi kabisa kwamba Mungu huwaga hajibu maombi ya watu ndio maana mnatakiwa kuwa na subra mnaambiwa kimafumbo kila mwenye subira yupo na Mungu ili msije mkahoji mbona maombi yenu hayajibiwi. Subira inayo tajwa hapo sio ile subira ya kusubiria wiki mbili hell no hiyo subira ya kusubiria wiki mbili ni kusikilizia. Subira inayo tajwa hapo ni ile ya kusubiria majibu siku ya kihama. Yani wewe tenda matendo yako mema hapa duniani omba maombi yako yote ila na lipo utalipwa siku ya kihama)
Hiyo Qur'an inasema kumwambia mtume kuwa Mungu yupo karibu hujibu maombi ya yule anayeomba.
KAma kiustaarabu wa kawaida tunavyoelekezwa kuwa na subira basi vivyo hivyo dini inatutaka tuwe na subira katika kufanya mambo na kufanikiwa.
Usizungumze mambo usiyo na elimu nayo we mzee sijui kijana.
Au unataka kunambia katika kila jambo ulolifanya limefanikiwa wakati uliotaka huo huo??
Screenshot_2024-03-13-13-56-38-72_9c8f038911ec651d7a588d16d22aeb03.jpg
 
Idea ya Munga na Miungu , ilikuwepo hata atheist ilikuwepo...Katika kupinga ni juu ya Mungu mmoja wa Daud, Mussa ,Issah Na Muhamad.

Anayesema hakuna Mungu ,ila huyo anaabudu mizimu ni idea ile ile ya kuamini kweny Mungu , kwani mizimu ilipewa sifa ya kuwa na Nguvu japo haonekani.

Wao walipinga kweny Mungu wa Daud, Mussa ,issah n Muhammad.

Swali,je Atheist kama ilikuwepo tangu zaburi kipind cha Daud, inakuwaje inakosa ushawishi hata kuzidiwa na Budha ?
Unajicontradict sana..!
Kuamini kwa Mungu,Miungu ,Mizimu yote Huitwa Deities Believe..
Haijalishi unaamini nini..kati ya Hivyo..

Ila nilichotaka kukuonyesga ni kuwa Atheist ilikuwepo toka zamani..

Walikuwepo watu wanaoamini Miungu mingine wao hawakuitwa Watu wanaosema hakuna Mungu..Kulikuwa na Miungu mingu ya Samria na mingine ya kigeni mingi tu..

Na naona unataka kupotosha kuwa walipinga miungu ya Daudi no..waliopinga Miungu ya Daudi walifahamika Na hata hiyo ndo ilikuwa sababu ya Suleiman kutawala na watoto wengine wa Daudi kunyimwa Ufalme kwa sababu ya kuabudu Miungu mingine..
Kuabudi miungu mingine na kusema hakuna Mungu ni vitu viwili tofauti..

Ni sawa na kusema kunywa maji na kutokula kabisa..

Budha ni Dini ilikuwepo kabla ya dini Nyingi za Mashariki pengine kuliko hata Dini za Kimisri na Kisameria..

Nahisi ikitoka Dini ya Kisameria inaweza ikafata budha kwa dini za zamani..

HAdithi au Story za Samerian nyingi ziliingizwa kwenye Biblia na Dini ya kikristo kama Nuhu,Uumbaji wa Chavah(Hawa nk)

Swali ulilouliza..
Kuhusu Atheist kukosa ushawishi pengine naweza nikawa sio mtu sahihi wa kulijibu kutokana na kuwa mimi sio mmoja wa atheist ila nachojua ninkwamba hakuna kazi ngumu kama kumtoa mtu aliyepata ushawishi vizazi mpaka vizazi..

Kwa mfano ni vigumu sana kuniamini nikikuambia huyo baba au mama uliyenaye sio mama yako au sio baba yako nafikiri unaweza hata kuniua nikikuambia hivyo but huenda ni ukweli ila ni kitu ambacho hata kama ni ukweli hutotaka kuusikia ..
 
Stick to the point kuhusu mungu pekee, kifo kitafata tukielewana kuhusu mungu. Usihame hame.

Yawezekana tafsiri ya neno mungu inakupa shida.

Mfano mdogo
Mkenya aliejiita Jehova Wanyonyi , kiongozi wa dhehebu la kundi linalojiita Waisraeli waliopotea, alipokufa waumini wake waliacha kumuita au kumtambua kama mungu wao??
Wewe ulisema Mungu ni jina la kibantu la kitu chochote chenye uhai.

Nakuuliza kitu ambacho ni Mungu kikifa kinabaki kuitwa Mungu?

Kama kila kitu kinakufa na kinaweza kuitwa Mungu, Je Mungu anakufa?

Wewe si ulisema Mungu ni uhai?
 
😅😅 Kapate chochote akili ikae sawa, njaa imekushika.
Wewe ulisema Mungu ni uhai, halafu sasa hivi unadai Mungu fulani wa wakenya alikufa na bado akabaki kuitwa Mungu.

Huoni umekwenda kinyume na Definition yako ya kwamba Mungu ni uhai?
 
Wewe ulisema Mungu ni uhai, halafu sasa hivi unadai Mungu fulani wa wakenya alikufa na bado akabaki kuitwa Mungu.

Huoni umekwenda kinyume na Definition yako ya kwamba Mungu ni uhai?
Kasome tena hilo swali ujibu, nimekuuliza usinijibie

Hapa hatufanyi interview kwamba uniulize tu maswali nijibu.
Hapa tunajadiliana, unauliza najibu nauliza unapaswa kujibu. Wewe ukiulizwa badala ya kujibu swali, unakimbilia kuuliza lingine.
 
Kasome tena hilo swali ujibu, nimekuuliza usinijibie

Hapa hatufanyi interview kwamba uniulize tu maswali nijibu.
Hapa tunajadiliana, unauliza najibu nauliza unapaswa kujibu. Weee ukiulizwa badala ya kujibu swali, unakimbilia kuuliza lingine.
Acha kuruka ruka wewe,

Ulisema Mungu ni uhai.

Sasa naku uliza hivi 👇

Huyo mkenya Jehova wanyonyi alivyokufa na akabaki kuitwa Mungu, kulingana na Definition yako uliyotoa kwamba "Mungu ni uhai" huoni umekwenda kinyume na definition yako?

Huoni kwamba ume jichanganya mwenyewe?
 
LIKUD na wenzako msioamini uwepo wa Mungu...someni haya maneno ya MUNGU kutoka katika kitabu cha Quran.

MUNGU anasema hivi

Al-Baqarah 2:186

وَإِذَا سَأَلَكَ عِبَادِى عَنِّى فَإِنِّى قَرِيبٌۖ أُجِيبُ دَعْوَةَ ٱلدَّاعِ إِذَا دَعَانِۖ فَلْيَسْتَجِيبُوا۟ لِى وَلْيُؤْمِنُوا۟ بِى لَعَلَّهُمْ يَرْشُدُونَ

English -

And when My servants ask you, [O Muḥammad], concerning Me - indeed I am near. I respond to the invocation of the supplicant when he calls upon Me. So let them respond to Me [by obedience] and believe in Me that they may be [rightly] guided.

Swahili -

"Na waja wangu watakapo kuuliza (ewe Muhammad) khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka."
 
Acha kuruka ruka wewe,

Ulisema Mungu ni uhai.

Sasa naku uliza hivi 👇

Huyo mkenya Jehova wanyonyi alivyokufa na akabaki kuitwa Mungu, kulingana na Definition yako uliyotoa kwamba "Mungu ni uhai" huoni umekwenda kinyume na definition yako?

Huoni kwamba ume jichanganya mwenyewe?
Hakuna nilipojichanga nya jibu hilo swali kwanza kisha uliza lako
 
Unajicontradict sana..!
Kuamini kwa Mungu,Miungu ,Mizimu yote Huitwa Deities Believe..
Haijalishi unaamini nini..kati ya Hivyo..

Ila nilichotaka kukuonyesga ni kuwa Atheist ilikuwepo toka zamani..

Walikuwepo watu wanaoamini Miungu mingine wao hawakuitwa Watu wanaosema hakuna Mungu..Kulikuwa na Miungu mingu ya Samria na mingine ya kigeni mingi tu..

Na naona unataka kupotosha kuwa walipinga miungu ya Daudi no..waliopinga Miungu ya Daudi walifahamika Na hata hiyo ndo ilikuwa sababu ya Suleiman kutawala na watoto wengine wa Daudi kunyimwa Ufalme kwa sababu ya kuabudu Miungu mingine..
Kuabudi miungu mingine na kusema hakuna Mungu ni vitu viwili tofauti..

Ni sawa na kusema kunywa maji na kutokula kabisa..

Budha ni Dini ilikuwepo kabla ya dini Nyingi za Mashariki pengine kuliko hata Dini za Kimisri na Kisameria..

Nahisi ikitoka Dini ya Kisameria inaweza ikafata budha kwa dini za zamani..

HAdithi au Story za Samerian nyingi ziliingizwa kwenye Biblia na Dini ya kikristo kama Nuhu,Uumbaji wa Chavah(Hawa nk)

Swali ulilouliza..
Kuhusu Atheist kukosa ushawishi pengine naweza nikawa sio mtu sahihi wa kulijibu kutokana na kuwa mimi sio mmoja wa atheist ila nachojua ninkwamba hakuna kazi ngumu kama kumtoa mtu aliyepata ushawishi vizazi mpaka vizazi..

Kwa mfano ni vigumu sana kuniamini nikikuambia huyo baba au mama uliyenaye sio mama yako au sio baba yako nafikiri unaweza hata kuniua nikikuambia hivyo but huenda ni ukweli ila ni kitu ambacho hata kama ni ukweli hutotaka kuusikia ..
Hakujawahi kuwa na Atheist kama wangdkuwepo wangekuwa ni wengi mpaka sasa.

Idea imeanzishwa na wazungu ,waliomini kweny mizimu sio atheist kwa maana idea ya Atheist haikuwepo
 
Back
Top Bottom