Ukweli mchungu: Asilimia kubwa ya Wakristu na Waislamu duniani wanafanya ibada ya sanamu bila kujua kama wanafanya ibada ya sanamu

Unakuwa umemuomba jambo ambalo wewe tayari unakuwa unaweza kulifanya na lipo ndani ya uwezo wako. Kwa mfano wewe watu wanakusifu ni mpishi mzuri sana wa chakula. Mimi mwenyewe nimekupa sana biryani lako . Sasa Umepika biryani lako na maandazi yako ya kisomali na chai yako ya maziwa ya kisomali ambavyo tayari watu wanavipenda naturally. Una amka usiku kuomba dua Mungu akusaidie biashara yako itoke siku hiyo na kweli asubuhi wateja wana miminika kama kwa Mwamposa. Wewe utasema ni Mungu majibu dua yako lakini kumbe ni kwa sababu ya utaalamu wako..

Hata vitabu vya dini hizi mbili (ukristu na uislamu vimeweka wazi kabisa kwamba Mungu huwaga hajibu maombi ya watu ndio maana mnatakiwa kuwa na subra mnaambiwa kimafumbo kila mwenye subira yupo na Mungu ili msije mkahoji mbona maombi yenu hayajibiwi. Subira inayo tajwa hapo sio ile subira ya kusubiria wiki mbili hell no hiyo subira ya kusubiria wiki mbili ni kusikilizia. Subira inayo tajwa hapo ni ile ya kusubiria majibu siku ya kihama. Yani wewe tenda matendo yako mema hapa duniani omba maombi yako yote ila na lipo utalipwa siku ya kihama)
Kwenye kupika huwa najiamini bila kumuomba Mwenyeezi Mungu najua nauza sababu kizuri kinajiuza huomba ridhiki kwa wingi ila sio nipate wateja biashara yangu iuzike hio siku watokee wateja.

Na huwa naomba mambo mazito ambalo najua kwa kiubinadamu siwezi mfano tulikuwa na kesi ya mirathi ndugu watoto was ba mkubwa shangazi wanataka kuuza tumepambana na kesi Ile kila mtu anasema hamshindi usaliti kila kona ushirikina Sasa watu wanashauri mtauliwa nendeni kww waganga aisee nilimliaa Mungu usiku kama namuona mbele yangu na asubuhi sijaenda mahakamani nikasali rakaa 2 Allah atusimamie waongee ukweli aisee mahakamani wakageukana kwenye ushahidi mtu anasema nyumba haiwahusu wameshawishiwa na kaka Yao mkubwa watudhulumu hati na makalatasi ya mauziano tumetupa tukashinda kesi ndugu wakao mmba radhi akabaki kaka mtu akakata rufaa hakimu alikula rushwa bwana alikuwa hataki kusikia lolote mwanasheria anatuambia hakimu chipolopolo mlevi hatutoboi tutakata rufaa kila mtu hamtoboi aisee nilimlilia Mungu usiku aisee siku ya Hukumu Hakimu kafukuzwa kazi kwa kesi za Rushwa tukapewa mwingine tukashinda akakata rufaa tukashinda akaenda mahakama ya ardhi akaikimbia kesi tukashinda alishanisingizia nimtukana natoka mahakamani nimeshinda napelekwa polisi nilimuomba Mungu anistiri nisiwekwe mahabusu nikawa naandikisha maelezo akatokea mkuu wa kituo akauliza ana shida gani akaelezewa akasema msimuweke acheni ajidhamini msimuweke ndani aisee sikuamini ilikuwa nikae ndani mpaka waje watu kunidhamini akaniambia kesho njoo mapema nikaenda nikagoma kulipa pesa tumalizane wakati sijamtukana nikasema twende mahamani huku naogopa namuomba Mungu nikawa naingizwa kwenye gari na wahalifu wengine akatokea mkuu was kituo dada nenda mahakamani watakukuta msimpandishe ustadhati na wahalifu walevi nikaenda mahamani namuomba Mungu isichukue muda iishe kweli ikapangwa karibu karibu ×3 tu siku ya 1 tukasikilizwa kesho kutwa yake ushahidi kesho yake hukumu nikashinda,yaani mie mtu anielezi kitu kuhusu kuomba kwa Mwenyeezi Mungu na ushuhuda was mambo mengi aisee.
 
Tuendelee na habari za bibi fisi ila maswala ya dini imani ni sensitive sana achana nayo hakuna mkiristo au muislamu wa kweli atakae kuelewa labda wapagani.
 
Duh nashindwa niielezee vipi hii lakini Mimi naona ni kama nyota yako tu nzuri na kwa kuwa haki ilikuwa upande wako. .

Unajua kwanini huwa siamini katika kumuomba Mungu nakujibiwa?

Huwaga najiuliza why me? What is so special about me hadi Mungu ajibu maombi yangu Mimi kama Mimi wakati kuna mabilioni ya watu dunia nzima wana hitaji sawa na mimi ambao nao wanahitaji kupata msaada.
 
Tuendelee na habari za bibi fisi ila maswala ya dini imani ni sensitive sana achana nayo hakuna mkiristo au muislamu wa kweli atakae kuelewa labda wapagani.
Upo sahihi kabisa na nimeshuhudia mwenyewe hapa. Ingawa huko mtaani I don't see the same energy. Akina wanao jifanya wafia dini hapa huko mtaani tunagombania nao vitoto vya miaka ya elfu 2 ila huku jf ndo wanajifanya wameshikwa na upako wa dini..

Anyways bibi Fisi alikufa mwaka gani? Chanzo?
 
Nasikia 2000 aliuliwa kwa kukatwa mapanga na watu wasojulikana.
 
kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa, wakati nashuka kwenye ndege nilianza kumuomba mungu kwa dua ili nisisumbuliwe na siku hiyo ndege zilikuwa nyingi pasinja wengi na watu wa TRA wamechachamaa, mpaka nafika kwenye mkanda wa mizigo nasubiri mizigo yangu, nikaanza kuipakia kwenye troli ili niende kukaguliwa nikawa naendelea na dua kwa ALLAH, mara nikasikia sauti ya mama mmoja anaita kwa nguvu kwenye kundi la wasafiri wanaongojea mizigo yao na mimi nikiwa mmoja wapo nilikuwa tayari mizigo yangu nimeipakia sijaanza kuondoka ndio huyo mama mwenye cheo kikubwa kwa sauti kaita kila mmoja anamuliza huyo mama unaniita mimi akasema hapana ni huyo nikamuuliza mimi akaseme ndio njoo huku nasoma dua nilipo mkaribia akaniambia pita moja kwa moja usifungue mzigo wako na uende tumia mlango huo, nikapita mpaka nje nilipofika nje nilimshukuru mungu kunipitisha kwenye kundi kubwa la watu na hali mimi nina mizigo ya kulipia ushuru unaoonekana nikasema kweli mungu hujibu
 
Vipi kuhusu Biblia iliyoandika Zaburi na yenyewe imedanganya..
Maana Zaburi pia Waislamu wanaiamini
BIBLIA mnaisoma sio INJILI iliyoteremshwa injili imechezewa na paulo na akaipa jina Biblia kabadilisha mambo mengi sana
 
Wewe mvaa kobazi dini yako imesaidia nini zaidi ya kuabudu madubwasha ya kibox kama wehu mliorukwa akili?
wewe mfuga Govi kanisani, unafikiri kuimba kwaya ndio kuabudu mungu hataki nyimbo za viuno mungu angetaka nyimbo kuwa ni ibada basi diamond na harmonize wangekuwa mitume wenu
 
BIBLIA mnaisoma sio INJILI iliyoteremshwa injili imechezewa na paulo na akaipa jina Biblia kabadilisha mambo mengi sana
Sijazungumzia Injili Mkuu Nimezungumzia ZABURI?
Unakumbuka Nguzo za Imani za uislamu?
Kuamini katika Vitabu ni mojawapo?
KAma unakumbuka Kuna Torati,Injili,Zaburi Quran!

Mimi nimezungumzia Zaburi
 
Umeandika vitu vingi lakini upeo wako wa uelewa mdogo sana hasa wa Lugha
Chochote afanyacho Mungu kwa Mwanadamu huitwa muujiza kwa lugha ya kiswahili kutofafautisha kati ya afanyacho binadamu na Mungu

Mfano mimi kuna siku sikuwa na hela hata ya kula nikaomba Mungu kuwa Mungu nisaidie kisha i nikasema moyoni ngoja niende kumuona rafiki yangu nimuombe hela nikiwa na uhakika atanipa sababu huwa tunasaidiana kwenye shida na raha.Haishi mbali na kwangu nikampigia simu akasema njoo uchukue.

Nikatoka kwa mguu kwenda kwake .Nikiwa njiani nikaona chini kuna pochi ardhini kuna pochi .Nikaokota kuangalia ina dola za Mia Mia jumla 40 sawa na dola elfu 4 kwa rate ya wakati huo sh 2000 sawa na shilingi za Tanzania milioni 8 nikageuza nikamwambia rafiki yangu a basi nineshapata hela usijali
Huo kwangu ulikuwa muujiza yaani kitu alichonitendea Mungu.
Wakati wote kiswahili kitu akifanya Mungu huitwa muujiza ni lugha ya kawaida
Huo ni wizi
 
kuna siku nimeingia tanzania kutokea dubai nilikuwa na matairi ya gari ndogo 4 na tv kubwa, wakati nashuka kwenye ndege nilianza kumuomba mungu kwa dua ili nisisumbuliwe na siku hiyo ndege zilikuwa nyingi pasinja wengi na watu wa TRA wamechachamaa, mpaka nafika kwenye mkanda wa mizigo nasubiri mizigo yangu, nikaanza kuipakia kwenye troli ili niende kukaguliwa nikawa naendelea na dua kwa ALLAH, mara nikasikia sauti ya mama mmoja anaita kwa nguvu kwenye kundi la wasafiri wanaongojea mizigo yao na mimi nikiwa mmoja wapo nilikuwa tayari mizigo yangu nimeipakia sijaanza kuondoka ndio huyo mama mwenye cheo kikubwa kwa sauti kaita kila mmoja anamuliza huyo mama unaniita mimi akasema hapana ni huyo nikamuuliza mimi akaseme ndio njoo huku nasoma dua nilipo mkaribia akaniambia pita moja kwa moja usifungue mzigo wako na uende tumia mlango huo, nikapita mpaka nje nilipofika nje nilimshukuru mungu kunipitisha kwenye kundi kubwa la watu na hali mimi nina mizigo ya kulipia ushuru unaoonekana nikasema kweli mungu hujibu
Kukwepa Kodi unamshukuru Mungu?
Hebu niambie Dini gani inaruhusu kukwepa Kodi?
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Back
Top Bottom