mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
sikubaliani nae,mshamba_hachekwi toa maoni.
kaanza vizuri ila hapo kwenye ndoa ndo kazingua
watakaokubaliana nae ni misogynists(wanaume wenye chuki kwa wanawake)
na ukiona mahali mtu kaandika 'women hate nice guys' ujue hamna kitu hapo