Tangia nitambue wanawake wana dharau nilifanya yafuatayo;
-Usimwangalie mwanamke mara mbili, mwangalie mara moja tuu then ukigeuza shingo usirudie tena kumwangalia.
-usimsalimie mwanamke salami ndefu, mpe salamu mara moja then endelea na shughuli zako.
-kama umemkuta ofisini msalimie, kama kakukuta ww ofisini usianze kumsalimia, akikaa kimya na wewe vunga, buyu buyu.
-Akiongea msikilize na msupport ila usiongee kuzidi yeye, wewe weka viswali vidogodogo aendelee kuongea yeye.
-Sometime akipiga simu usipokee na usimpigie baadae, mpigie kesho au kesho kutwa au hata wiki ijayo.