Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Hahaha mkuu umenena
Na wanapenda haswa
Me nna kidem changu kimoja chenyewe kilinitamkia waziwazi kua kinanipenda kwakua nakipelekea moto sana
 
Mzee unaanzisha mada tofauti kabisa.

Ebu turudi kweny mstari, je mwanamke ambaye ushamtumia kuna haja yeyote ya kumtoa out?
 
Hakika uzi huu ni bora wa kufungua mwaka.
Nimekuwa mwema kwa wanawake kwa kiasi ninacho weza lakini kutoka kwao nilichopata hakuna neno rahisi kuelezea, kungekuwa na njia nyingine ya kuendeleza uzazi nadhani tungeweza kuwa na lugha nzuri ya kuongea.
 
Hahaha mkuu umenena
Na wanapenda haswa
Me nna kidem changu kimoja chenyewe kilinitamkia waziwazi kua kinanipenda kwakua nakipelekea moto sana
Na siku zote ukiwa 6 x 6 na mwanamke hutakiwi umuonee huruma. Gonga style zote mpk ukitaka tena akuambia amechoka.
Ndiyo maana wanawake wanawapenda bad guy kwasababu hawaonei huruma kwenye sex na pia wanawafanya waishi kwa wasiwasi, ndivyo siku zote mwanamke anavyoishi kwa wasiwasi.
Nice guy hadi sex, atamuuliza unaumia, anampenda mpenzi wake na kumpigia simu kila muda kumjulia hali, kiukweli wanawake huwa hawapendi hali hii.
 
sikubaliani nae,

kaanza vizuri ila hapo kwenye ndoa ndo kazingua

watakaokubaliana nae ni misogynists(wanaume wenye chuki kwa wanawake)

na ukiona mahali mtu kaandika 'women hate nice guys' ujue hamna kitu hapo
Ndugu yangu kwa asili kila mwanaume anampenda mwanamke, tena pendo la mwanaume kwa mwanamke sio la maigizo, inapotokea kinyume chake ujue ni mwanamke amesababisha .
Ndugu tuone tunacheka hapa lakini tunatembea na majeraha yasio na mfano.
Hakuna anafurahia mwiba unaomchoma lazima awe na chuki nao.
 
Nimeandika kila kitu.
 
Tangia nitambue wanawake wana dharau nilifanya yafuatayo;
-Usimwangalie mwanamke mara mbili, mwangalie mara moja tuu then ukigeuza shingo usirudie tena kumwangalia.
-usimsalimie mwanamke salami ndefu, mpe salamu mara moja then endelea na shughuli zako.
-kama umemkuta ofisini msalimie, kama kakukuta ww ofisini usianze kumsalimia, akikaa kimya na wewe vunga, buyu buyu.
-Akiongea msikilize na msupport ila usiongee kuzidi yeye, wewe weka viswali vidogodogo aendelee kuongea yeye.
-Sometime akipiga simu usipokee na usimpigie baadae, mpigie kesho au kesho kutwa au hata wiki ijayo.
 
πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unajiuliza swali mwenyewe na unajijubu swali mwenyewe
 
Unyama sana...

Kuna siku niko zangu joy sasa nikamuelewa demu mmoja hivi na hali ya kulewa nikawa situlii yani namuangaikia kinyama
Nishukuru kuna mwana mmoja wala simjui akanichana kwa wema kabisa mzee uyo demu anaona unamuangaikia ndio mana anazingua mkaushie ..,niseme tu jamaa alifanya vyema sana ile siku
 
Mazoezi yapi ya kuongeza muda wa mashine kusimama imara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…