RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Mazoezi yapi ya kuongeza muda wa mashine kusimama imaraHahaha mkuu umenena
Na wanapenda haswa
Me nna kidem changu kimoja chenyewe kilinitamkia waziwazi kua kinanipenda kwakua nakipelekea moto sana
Tangia nitambue wanawake wana dharau nilifanya yafuatayo;
-Usimwangalie mwanamke mara mbili, mwangalie mara moja tuu then ukigeuza shingo usirudie tena kumwangalia.
-usimsalimie mwanamke salami ndefu, mpe salamu mara moja then endelea na shughuli zako.
-kama umemkuta ofisini msalimie, kama kakukuta ww ofisini usianze kumsalimia, akikaa kimya na wewe vunga, buyu buyu.
-Akiongea msikilize na msupport ila usiongee kuzidi yeye, wewe weka viswali vidogodogo aendelee kuongea yeye.
-Sometime akipiga simu usipokee na usimpigie baadae, mpigie kesho au kesho kutwa au hata wiki ijayo.
Uzi bora kwa mwaka 2023. Tunakaribisha kufunga mwaka kwa nasaha kama hizi.Uzi bora 2023
Google kegel exercises for men.Mazoezi yapi ya kuongeza muda wa mashine kusimama imara?
Nimewahi kugoogle nimeshindwa kuzijua hizi muscles bro. Ndo maana nikaomba msaada , inapatikana wapi kwenye uume?Google kegel exercises for men.
Haya mazoezi yanasaidia kuimarisha two muscles kweny pelvic floor ambazo ni bulbocavernosus na Ischiocavernosus muscles ambazo ni muhimu sana kweny tendo la ndoa.
Katiba inabidi itambue maana nguvu kazi ya taifa hupotea au kudhoofu kwa kukosa maarifa haya. Unakuta mtu anakomaa awe mume bora halafu anaishia na msongo wa mawazo anashindwa kuzalisha ili serikali ipate kodi.Hili bandiko liwe na kipengele chake spesho katika katiba ijayo
Asante sana bro, nataka nifahamu jinsi ya kufanya mazoezi hayo in a correct way.Hizo muscles ziko kweny pelvic floor.
View attachment 2788635
Muhimu sio kujua hizo muscles ziko wapi muhimu ni kujua jinsi ya kufanya hayo mazoezi the correct way.
Apart from sex, women has nothing to offer.Unafikiri hata usipomtoa out, hautakuwa naye?
Kigezo cha kumgonga mwanamke, usifikiri wewe ndiyo unafaidika sana na ngono kuliko yeye.
Kama unafikiri hivyo kawaulize wenye kibamia, wenye kitambi na wale wa kimoja dk 2 chali wanavyopata masahibu kwa wanawake.
Mwanamke anatakiwa agongwe hasa ndiyo raha yake, jinsi mwanamke unamvyompelekea moto ndiyo anaona raha zaidi.
Usipende sana kumsikiliza mwanamke, mwanamke anakuja kwako kufanya biashara ya ngono na hana kitu cha ziada zaidi ya K yake.
Niambie tofauti na K, unafaidika nini kwa huyo mwanamke?
Ebu jaribu kutumia hizi apps kama Google inakuchanganyaAsante sana bro, nataka nifahamu jinsi ya kufanya mazoezi hayo in a correct way.
Maana google wananichanganya tu.
Ok , Asante mkuu.Ebu jaribu kutumia hizi apps kama Google inakuchanganya
Kegel Trainer - Exercises - Apps on Google Play
Go Kegel - Kegel Exercises - Apps on Google Play
Wanaume msipoelewa hii mada basi hutakaa uelewe tena kuhusu mapenzi na utakuwa na F ya mapenzi.Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.
Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.
Je dunia inampenda baba bora/mume bora?
The evidence says NO.
Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu kuwa mume bora au baba bora basi dunia itampa adhabu kwa " kosa" la kuwa mume /baba bora.
Zifuatazo ni baadhi ya adhabu ambazo dunia humpa baba/mume bora.
1. Kudhauriwa na mtu ambae ana stahili kukuheshimu/ kudharauliwa sehemu ambayo una stahili kuheshimiwa
Mtu wa kwanza atakae kudhaurau ni mwanamke ambae uta propose kumuoa. The moment umeanza kusuggest wazo la kumuoa ndio the moment atalapo anza kukudharau na siku mtakayo funga ndoa ndio siku atakayo kudharau zaidi . Kwenye ndoa ndio dharau zitakuwa pro max( hii mnaita mwanamke kutoa makucha yake baada ya kuingia kwenye ndoa)
Kwanini anakudharau;
1. Anakudharau kwa sababu she think you are a nice guy. Women don't like nice guys. Women don't respect nice guys. Because to them a nice guy means a foolish guy. Asking for her hand in marriage is you playing a nice guy card . And you being nice to her is the same as you being a foolish guy. Wanawake wanajuaga mwanaume wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke. Wazo la kutaka kuoa mwanamke haliwezi kukaa kwa mwanaume halisi. For a real man the idea of wanting to get married is a crazy idea.
Kwa wanawake walio wengi, mwanaume wa ukweli ni yule anae jua kila kitu kuhusu wanawake . Na mwanaume anae jua kila kitu kuhusu wanawake ni yule anae jua kwamba hajui chochote kuhusu wanawake. KWA sababu hii basi mwanaume huyu wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke kwa sababu hawezi kuoa kitu ambacho hakijui vizuri. Misahafu inajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana imeshauriwa kwamba mwanaume akipandwa na " kichaa" cha kutaka kuoa basi aozeshwe mke mara moja kabla " kichaa" hakijashuka akaghairi.
So mwanaume unapo mwambia mwanamke unataka kumuoa anakudharau sana kwa sababu anakuona wewe ni mwanaume ambae hawajui wanawake vizuri na hujui unacho kifanya. Atakuwa na wewe kwa sababu maisha yake yanakuhitaji wewe kwa wakati huo lakini hawezi kukuheshimu. Mbaya zaidi iwe wewe mwenyewe ndio uwe umeleta wazo la ndoa na sio yeye tena kwa kukuroga na kukusumbua kwa muda mrefu .
Anakudharau kwa sababu hujamkuta akiwa bikira. Anakushangaa wewe ni mjinga kiasi gani hata uende kumuoa yeye ilihali umemkuta tayari ameshatumika. Mwanamke huyu atawaheshimu zaidi wale walio pita nae na kutembea nae kuliko wewe ambae umemuoa kabisa. Tena kama ulimkuta ana mtoto ( single mother) then ukamuoa basi ndio atakudharau mara kumi zaidi kwamba u mjinga wa wapi wewe unaenda kuoa mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwingine na.kumuacha ila wewe ndio umemuona mke huyo.Ndio maana wanaume wengi wanao toka na single mothers wakiamini single mothers watawaheshimu huwa wanaishia kuwa disappointed na kuanza kuwaponda single mothers. Hii ni kwa sababu single mothers sio wajinga . Hata wao wanajua mwanaume wa ukweli hawezi kudili na single mothers wakati vigoli wamejaa tele. Wanajua something is missing in you ndio maana umeangukia kwao.
Anakudharau kwa kuwa ana mwanaume zaidi ya mmoja ila katika wote wewe ndio umekuwa foolish enough kufunga nae ndoa.
Umeshawahi kuambiwa na mwanamke ambae umeingia nae kwenye mahusiano " umebadilika kwa kuwa umesha kipata unacho kitaka?" Kama bado hujawahi basi tambua kwamba something is missing in you. Kama mwanamke hajaona kitu hiki kwako basi wewe una mapungufu katika uanaume wako kwa sababu ukiwa mwanaume ulie kamilika lazima uta onyesha hali ya kumkinai mwanamke ambae umesha sex nae hata awe mzuri namna gani. Wanawake wanajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana ukienda kununua mwanamke wale wanao jiuza anataka umpe hela yake kwanza ndo atoe utelezi kwa sababu anajua ukisha kojoa tu thamani yake kwako itashuka na utakuwa mgumu kutoa hela.
Vivyo hivyo ndivyo wanawake wanavyo tuchukulia kwenye mahusiano. Wanajua sisi huwa tunawashusha thamani tukishawavua Chupi. Wewe unae muongezea thamani baada ya kumvua Chupi " kwa kumuoa kabisa " lazima akudharau sana kwa sababu anakuona sio mwanaume ulie kamilika.
Umeshawahi jiuliza kwanini wanawake walio olewa wanawapenda wanaume wanao tembea na wake za watu? KWA sababu wana amini wanaume wa ukweli ni waharibifu by nature, wanawachukulia wanawake kama chombo cha starehe na hawa amini katika ndoa. Wao wenyewe hawawezi kuoa wala hawaiheshimu ndoa ndio maana wanaona poa kutembea na wake za watu kwa sababu to them ndoa ni upuuzi fulani hivi... wanawake wanataka KUKUTANA na mwanaume mwenye mindset kama hii kwa sababu wana amini huyo ndio mwanaume halisi.
All women love bad guys hata wamama huwapenda zaidi watoto wao wa kiume watukutu kuliko wale ambao sio watukutu.
A woman will only stay loyal in a relationship where:
1. She knows that she can be easily replaced by another woman who is more beautiful than her.
2. Her man can break up with her at any time if she dare messing up with him.
Hivi vitu havipatikani mwenye ndoa hasa hasa ndoa ya kizungu. Ndoa ya kizungu inampa mwanamke guarangww na " guarantee " kwa mwanamke kwenye mahusiano ni adui wa uhusiano huo. Kwenye mahusiano mwanamke anatakiwa kuwa na wasiwasi muda wote. Wasiwasi wa kuachwa. Wasiwasi wa kuibiwa mume etc. Akivikosa hivi vitu kwako ataenda kuvitafuta kwa mwanaume mwingine kwa sababu asipo vipata atajiona kama vile hayupo na mwanaume.
Adhabu ya pili itakuja hivi punde
You seem to have drawn this from ur own perspective against ur experience. Chap think bigger and wider. Say no to marriage, marriage is fucking shit.Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.

Mkuu nimekuongezea kwenye list nitakao safiri nao Norway...Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.