Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora



Roho mbaya kibadeni watu hatarious hawa
 
Aisee unaonaje hiki kipassage Tukakiingiza kwenye Katiba mpya unaturuhusu ?
 
Naam hii Ni 100%
Atakaepinga akapinge mahakamani.
Kumpa nafasi mwanamke hata kama ni kiduchu namna Gani basi hiyo nafasi huitumia kuliko kawaida. Nina single mother hapa Kila Leo ananiambia nimuoe Namwangalia namchekelea tu.Anasema anatamani mzazi mwenzake afe kabisa maana hampendi kabisa kabisa ...siku chache zimepita tulikosana nae kisa Sina wazo la kumuoa nashangaa majuzi ananitafta Tena Tena analia nimsamehe.kichumi yupo vzr tu lkn kuhusu ndoa labda aniloge ..#Ni wakala NMB,CRDB,MPESA NK
 
Ukisoma Hii post utagundua Taifa linateswa na Mapenzi kweli kweli
Hii nadhani ni true. Mimi pia nimeiangalia kwa angle nyingine. It is either wachangiaji wengi humu bado ni "wavulana" wengi hawana ndoa; au ni wanaume ambao waliwahi kupata masahibu katika mahusiano; au wanafuata tu mkumbo ili naye aonekane amechangia kuponda wanawake. Last but not least, hizi nyuzi za kuponda wanawake zimekuwa nyingi sana huku JF, je, ni kampeni kuwa wanawake HAWAHITAJIKI TENA hapa duniani? Je, ni mkakati wa kueneza mahusiano kati ya wanaume kwa wanaume? Msinipige mawe tu jamani sina nia mbaya!🏃🏃🏃🏃🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️.

Mmezidi mno mpaka inaonekana mnamkosoa Mungu kuumba hiki kiumbe kinaitwa mwanamke na kukileta hapa duniani.
 
Mtoa Uzi kagonga penyewe.Hivi ndivo wanawake walivo!! Kata ukubali uwe umeoa au hujao mzee au kijana ukweli huu haupingwi.
 
Mimi naupinga
Sawa unaweza Pinga hukatazwi. But ni ukweli hata wanawake wenyewe wanakubaliana nao huu.Anzia shule tu enzi za nyuma kidogo tunasoma wakubwa primary wasichana wengi walikuwa wanapenda mivulana mitukutu na inawabadirisha Kila Leo na wanajijua!! O level Hali kadharika Hadi chuo njoo mtaani vilevile like linalo sema vibaya na jamii ndo linagonga Kila aina ya demu hapo kitaa!!
Lkn uwe msabato tu utaishia akucheat tu na upole wako
 
Jambo ambalo hata shetani mwenyewe atakushangaa
 
Tatizo hapo, tunaishi kwa ajili ya watu, hatuishi kwa ajili yetu.

Tunajiona kama tumejiumba wenyewe, hatutaki kutazama "instruction manual " ya muumba wetu. Tunafata ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…