Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

Hii nadhani ni true. Mimi pia nimeiangalia kwa angle nyingine. It is either wachangiaji wengi humu bado ni "wavulana" wengi hawana ndoa; au ni wanaume ambao waliwahi kupata masahibu katika mahusiano; au wanafuata tu mkumbo ili naye aonekane amechangia kuponda wanawake. Last but not least, hizi nyuzi za kuponda wanawake zimekuwa nyingi sana huku JF, je, ni kampeni kuwa wanawake HAWAHITAJIKI TENA hapa duniani? Je, ni mkakati wa kueneza mahusiano kati ya wanaume kwa wanaume? Msinipige mawe tu jamani sina nia mbaya![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601][emoji125][emoji2532]‍[emoji3601].

Mmezidi mno mpaka inaonekana mnamkosoa Mungu kuumba hiki kiumbe kinaitwa mwanamke na kukileta hapa duniani.
We ni me au ke?
 
Sawa unaweza Pinga hukatazwi. But ni ukweli hata wanawake wenyewe wanakubaliana nao huu.Anzia shule tu enzi za nyuma kidogo tunasoma wakubwa primary wasichana wengi walikuwa wanapenda mivulana mitukutu na inawabadirisha Kila Leo na wanajijua!! O level Hali kadharika Hadi chuo njoo mtaani vilevile like linalo sema vibaya na jamii ndo linagonga Kila aina ya demu hapo kitaa!!
Lkn uwe msabato tu utaishia akucheat tu na upole wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee daaah nondo tupu ila ushauri wako unanifanya ni cancel mambo mengi sana aisee.

Mfano, Kuna demu flani kesho kaniomba nimtoe out tupate angalau muda wa kukutana na kuongea mawili matatu, ila huyu demu nishamgonga mara nyingi tuu, sasa as per what you said, kama nishamtumia nikiendelea kumtoa out maana yake ataendelea kunidharau sio?
Acha ujinga wewe embu toka out na mtoto wa watu achana na chakubanga hizi
 
Tangia nitambue wanawake wana dharau nilifanya yafuatayo;
-Usimwangalie mwanamke mara mbili, mwangalie mara moja tuu then ukigeuza shingo usirudie tena kumwangalia.
-usimsalimie mwanamke salami ndefu, mpe salamu mara moja then endelea na shughuli zako.
-kama umemkuta ofisini msalimie, kama kakukuta ww ofisini usianze kumsalimia, akikaa kimya na wewe vunga, buyu buyu.
-Akiongea msikilize na msupport ila usiongee kuzidi yeye, wewe weka viswali vidogodogo aendelee kuongea yeye.
-Sometime akipiga simu usipokee na usimpigie baadae, mpigie kesho au kesho kutwa au hata wiki ijayo.
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake.

Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla.

Je dunia inampenda baba bora/mume bora?

The evidence says NO.

Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu kuwa mume bora au baba bora basi dunia itampa adhabu kwa " kosa" la kuwa mume /baba bora.

Zifuatazo ni baadhi ya adhabu ambazo dunia humpa baba/mume bora.

1. Kudhauriwa na mtu ambae ana stahili kukuheshimu/ kudharauliwa sehemu ambayo una stahili kuheshimiwa

Mtu wa kwanza atakae kudhaurau ni mwanamke ambae uta propose kumuoa. The moment umeanza kusuggest wazo la kumuoa ndio the moment atalapo anza kukudharau na siku mtakayo funga ndoa ndio siku atakayo kudharau zaidi . Kwenye ndoa ndio dharau zitakuwa pro max( hii mnaita mwanamke kutoa makucha yake baada ya kuingia kwenye ndoa)

Kwanini anakudharau;

1. Anakudharau kwa sababu she think you are a nice guy. Women don't like nice guys. Women don't respect nice guys. Because to them a nice guy means a foolish guy. Asking for her hand in marriage is you playing a nice guy card . And you being nice to her is the same as you being a foolish guy. Wanawake wanajuaga mwanaume wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke. Wazo la kutaka kuoa mwanamke haliwezi kukaa kwa mwanaume halisi. For a real man the idea of wanting to get married is a crazy idea.

Kwa wanawake walio wengi, mwanaume wa ukweli ni yule anae jua kila kitu kuhusu wanawake . Na mwanaume anae jua kila kitu kuhusu wanawake ni yule anae jua kwamba hajui chochote kuhusu wanawake. KWA sababu hii basi mwanaume huyu wa ukweli hawezi kutaka kuoa mwanamke kwa sababu hawezi kuoa kitu ambacho hakijui vizuri. Misahafu inajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana imeshauriwa kwamba mwanaume akipandwa na " kichaa" cha kutaka kuoa basi aozeshwe mke mara moja kabla " kichaa" hakijashuka akaghairi.

So mwanaume unapo mwambia mwanamke unataka kumuoa anakudharau sana kwa sababu anakuona wewe ni mwanaume ambae hawajui wanawake vizuri na hujui unacho kifanya. Atakuwa na wewe kwa sababu maisha yake yanakuhitaji wewe kwa wakati huo lakini hawezi kukuheshimu. Mbaya zaidi iwe wewe mwenyewe ndio uwe umeleta wazo la ndoa na sio yeye tena kwa kukuroga na kukusumbua kwa muda mrefu .

Anakudharau kwa sababu hujamkuta akiwa bikira. Anakushangaa wewe ni mjinga kiasi gani hata uende kumuoa yeye ilihali umemkuta tayari ameshatumika. Mwanamke huyu atawaheshimu zaidi wale walio pita nae na kutembea nae kuliko wewe ambae umemuoa kabisa. Tena kama ulimkuta ana mtoto ( single mother) then ukamuoa basi ndio atakudharau mara kumi zaidi kwamba u mjinga wa wapi wewe unaenda kuoa mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwingine na.kumuacha ila wewe ndio umemuona mke huyo.Ndio maana wanaume wengi wanao toka na single mothers wakiamini single mothers watawaheshimu huwa wanaishia kuwa disappointed na kuanza kuwaponda single mothers. Hii ni kwa sababu single mothers sio wajinga . Hata wao wanajua mwanaume wa ukweli hawezi kudili na single mothers wakati vigoli wamejaa tele. Wanajua something is missing in you ndio maana umeangukia kwao.

Anakudharau kwa kuwa ana mwanaume zaidi ya mmoja ila katika wote wewe ndio umekuwa foolish enough kufunga nae ndoa.

Umeshawahi kuambiwa na mwanamke ambae umeingia nae kwenye mahusiano " umebadilika kwa kuwa umesha kipata unacho kitaka?" Kama bado hujawahi basi tambua kwamba something is missing in you. Kama mwanamke hajaona kitu hiki kwako basi wewe una mapungufu katika uanaume wako kwa sababu ukiwa mwanaume ulie kamilika lazima uta onyesha hali ya kumkinai mwanamke ambae umesha sex nae hata awe mzuri namna gani. Wanawake wanajua vizuri kuhusu ukweli huu ndio maana ukienda kununua mwanamke wale wanao jiuza anataka umpe hela yake kwanza ndo atoe utelezi kwa sababu anajua ukisha kojoa tu thamani yake kwako itashuka na utakuwa mgumu kutoa hela.

Vivyo hivyo ndivyo wanawake wanavyo tuchukulia kwenye mahusiano. Wanajua sisi huwa tunawashusha thamani tukishawavua Chupi. Wewe unae muongezea thamani baada ya kumvua Chupi " kwa kumuoa kabisa " lazima akudharau sana kwa sababu anakuona sio mwanaume ulie kamilika.

Umeshawahi jiuliza kwanini wanawake walio olewa wanawapenda wanaume wanao tembea na wake za watu? KWA sababu wana amini wanaume wa ukweli ni waharibifu by nature, wanawachukulia wanawake kama chombo cha starehe na hawa amini katika ndoa. Wao wenyewe hawawezi kuoa wala hawaiheshimu ndoa ndio maana wanaona poa kutembea na wake za watu kwa sababu to them ndoa ni upuuzi fulani hivi... wanawake wanataka KUKUTANA na mwanaume mwenye mindset kama hii kwa sababu wana amini huyo ndio mwanaume halisi.

All women love bad guys hata wamama huwapenda zaidi watoto wao wa kiume watukutu kuliko wale ambao sio watukutu.

A woman will only stay loyal in a relationship where:

1. She knows that she can be easily replaced by another woman who is more beautiful than her.

2. Her man can break up with her at any time if she dare messing up with him.

Hivi vitu havipatikani mwenye ndoa hasa hasa ndoa ya kizungu. Ndoa ya kizungu inampa mwanamke guarangww na " guarantee " kwa mwanamke kwenye mahusiano ni adui wa uhusiano huo. Kwenye mahusiano mwanamke anatakiwa kuwa na wasiwasi muda wote. Wasiwasi wa kuachwa. Wasiwasi wa kuibiwa mume etc. Akivikosa hivi vitu kwako ataenda kuvitafuta kwa mwanaume mwingine kwa sababu asipo vipata atajiona kama vile hayupo na mwanaume.

Adhabu ya pili itakuja hivi punde

Umetumia muda mwingi sana kumzungumzia mwanamke na wala sio huyo mbaba au mume bora,zaidi lengo lako lilikua kuponda ndoa za wazungu,nikueleze tu wazungu wanajitambua ndio mana mataifa yao yameendelea sana,wanaheshimu ndoa na maamuzi kati yao,sio ubabe na ujinga wa ndoa za kiafrika.
 
9AC2FB3A-E8B6-45A7-8B8E-C10CAFF442EC.jpeg
 
Sishauri uoe mkuu. Ninasema kwamba dunia ya sasa haimpendi baba bora/ mume bora. Na ukijaribu kuwa mume bora au baba bora dunia itakuhukumu kwa kosa la kuwa mume/baba bora. Na baadhi ya adhabu za kuwa baba bora au mume ndizo nitakazo zianisha kwenye Uzi wangu

Nadhani huelewi nini maana ya mume na baba bora,ungesema mume na baba dhaifu ungelweka.
 
Hii nadhani ni true. Mimi pia nimeiangalia kwa angle nyingine. It is either wachangiaji wengi humu bado ni "wavulana" wengi hawana ndoa; au ni wanaume ambao waliwahi kupata masahibu katika mahusiano; au wanafuata tu mkumbo ili naye aonekane amechangia kuponda wanawake. Last but not least, hizi nyuzi za kuponda wanawake zimekuwa nyingi sana huku JF, je, ni kampeni kuwa wanawake HAWAHITAJIKI TENA hapa duniani? Je, ni mkakati wa kueneza mahusiano kati ya wanaume kwa wanaume? Msinipige mawe tu jamani sina nia mbaya![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090].

Mmezidi mno mpaka inaonekana mnamkosoa Mungu kuumba hiki kiumbe kinaitwa mwanamke na kukileta hapa duniani.

Exactly,wengi ni wavulana wadogo wanaohangaika na mapenzi.
 
Aisee daaah nondo tupu ila ushauri wako unanifanya ni cancel mambo mengi sana aisee.

Mfano, Kuna demu flani kesho kaniomba nimtoe out tupate angalau muda wa kukutana na kuongea mawili matatu, ila huyu demu nishamgonga mara nyingi tuu, sasa as per what you said, kama nishamtumia nikiendelea kumtoa out maana yake ataendelea kunidharau sio?
Hahahahahahaaaaaa umenivunja mbavu kamanda kwamba atakuona famba hahahaa.
Kiukweli mleta mada kapita mule mule mwanamke hataki mwanaume kudeka.
 
Na siku zote ukiwa 6 x 6 na mwanamke hutakiwi umuonee huruma. Gonga style zote mpk ukitaka tena akuambia amechoka.
Ndiyo maana wanawake wanawapenda bad guy kwasababu hawaonei huruma kwenye sex na pia wanawafanya waishi kwa wasiwasi, ndivyo siku zote mwanamke anavyoishi kwa wasiwasi.
Nice guy hadi sex, atamuuliza unaumia, anampenda mpenzi wake na kumpigia simu kila muda kumjulia hali, kiukweli wanawake huwa hawapendi hali hii.
Nakazia kuna kidemu flan hivi nilikipa uzito wa 35 per cubic baada ya hapo kila baada ya siku kinatimba nakichapa sa juzi ijumaa tukiwa Lupaso kikaniambia kuwa kinapenda sana mfumo ninaoutumia tukiwa inegoli.
So nakubaliana na mtoa mada wanawake huwa wanapenda kinyume chake.
 
Ujumbe ni mzuri tumeupokea ila chunga tamaa ni mbaya, oya mapenzi ni fumbo tu kila mtu anafumbua kivyake na epuka kumchunguza mwanamke wewe ishi nae tu kwa akili. Kijana ndoa ni maalum kwa wanaume sio wavulana. The rest is stories, Kumbuka kuongeza kipato. Ujumbe mapenzi ni Upendo.
Acha kujifariji na ndoa.

Ndoa ni utapeli

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom