Usithubutu bff kurudia matapishi!! Kwanza huyo shemeji alitoka na mishangazi mingi humu.!! π€£π€£π€£π€£π€£Bff sidanganyiki...kwa matukio aliyonipiga sina hanu naye wacha apambane na mashangazi yake yale
Kimasai hiko da mau anajua π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ila wewe!ngomosi ndio Nini?na huyo Unique Flower kapata kitu Gani?
We nae unamwamini huyo?hamna kitu hapo mwayaπ€£π€£Nioe basi mkuu mwenyewe niko single π
Eh njoo mpenziii basiUmepaka kwenye ngomosi??
Dada niache hutaki nivae shela?? πππWe nae unamwamini huyo?hamna kitu hapo mwayaπ€£π€£
Mchukue wewe ππMi nataka story ya juu ya meza bwanaπ
Angalie usije vaa Shela jeusiπDada niache hutaki nivae shela?? πππ
Nakuja mama yoyoo kukaza nati zilizolegea πEh njoo mpenziii basi
Mi dada yake Sasa,we si upee tuπMchukue wewe ππ
Nikirudi nifutwe uanachamaUsimsikilize sisy Joa, msimamo ni ule ule hakuna kurudi Misri π€£π€£π€£π€£
Yaani eti inamwita aende aamepaka Nini sijuiπ€£Hizi I'd Nina mashaka nazo π€£π€£
Shindwaaa π€£π€£π€£Angalie usije vaa Shela jeusiπ