Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

MCHAFU NI MCHAFU TU!!!!

Wapo wadau wengi tu ni mabachela na ..ndani wanako kaa pako VIZURI sana!!!!

Kujitia ubize na UVIVU usiokuwa na maana!!

Ndo maana unakuta wengi wao minyanya inaozea ndani!!

Vikombe viko uvunguni!!!

Chumba ni kama ...dampo limehamia ndani!

Usafi na kujitambua...ni ishu binafsi ambayo ..kiuhalisia

Havihusiani kabisa na NDOA!!!

KUNA WANAUME WAPO KWENYE NDOA....WANAISHI NA WANAWAKE
LAKINI.....KUTWA NZIMA UGOMVI NA MKEWE NI KUHUSU USAFI!!

MARA KATEMA MIMATE UKUTANI?!!
N.K!!

KWAHYO USIFIKIRIE KUOA / KUISHI NA MWANAMKE ETI SABABU TU KAZI NA MAJUKUMU YA NDANI VIMEKUZIDIA

KUNA VINGI UNAVIHITAJI KUTOKA KWA MKEO MTALAJIWA NA SIO

KUKUDEKIA TU NA KUKUFULIA BOKSA!!!!

N:B AU BASI
 
Umekuja duniani kuishi kwa kufurahisha watu au kutimiza matakwa yako na kuridhisha nafsi yako ?
Ni maamuzi yako kuishi utakavyo
 
Haya maisha ya kuishi kwa kufurahisha watu ,kwamba flani ataniona hivi sio maisha .
Kwamba kila mtu lengo lake duniani ni kuoa ,kuolewa na kuzaa , ni mawazo mfu .
Si kila mtu anafaa kuoa ,kuolewa au kuzaa , haya mambo ya kulazimisha ndio yanaleta matatizo kwenye jamii , watu wanaoa ,au kuolewa na haya kuzaa ila kiuhalisia hawana sifa za kuwa wazazi au mume au kuwa mke
Matatizo ndio hayo kuwa na watoto wenye malezi duni , kuvunjika kwa ndoa na mahusiano kwa idadi kubwa , visa na matukio ya violence na mauaji kwa wanandoa au wenza ,
Si kila mtu vision yake ni kuoa ,kuolewa au kuzaa pia .
 
Yaani nipoteze pesa kufuga litoto la mtu , niache kufuga ng'ombe ,nguruwe ,bata na kuku ,niwe nakula nyama na maziwa kila siku ,aisee
Kuna watu wanaishi kwenye "MATRIX"
Nonsense
 
H
Habari mtanzania, unajua kwamba muda huu unaosoma hii text mke wako anapigwa paipu na walume? kama unabisha mpigie simu uone kama atapokea
 
Tatizo ishu zetu zinafanya ukutane na pisi chuma ulete.

Kuna kaumri fulani unapata wanawake wanaokupenda kwa dhati kabisa, ukishavuka hapo, ukawa bize na mitikasi ya maisha pisi utazokua unakutana nazo ni zile kausha damu tu.
Wewe ni mtu wa tatu kusema Ivo, Sijajua kwanini inakuaga ivyo, mwanaume kwenye miaka 18-23 unapata pisi zinazokupenda kweli, juu ya hapo, miaka 25-hadi uzee kupata demu anaekupenda ni ngumu, sijui wanaume tukifika miaka 25,26,27,28 tunazeeka kimuonekano Vishu Mtata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…