Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

Mleta mada unawataka wanaume waoe ili kufanyiwa usafi, kupikiwa na kupata watoto wa kuwalea uzeeni? Kama hizi ndiyo faida za kuoa basi ni bora watu wasioe.

Kuna uwezekano ukaoa mwanamke mvivu, mchafu na mgumba au anaweza kuzaa lkn watoto wakafa uzee wa wazazi unapoanza .

Imeandikwa: amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu.

Lengo la ndoa ni ngono tu, out of that ni kujidanganya tu.
 
We jamaa una akili sana..

Ni kweli kabisa.. kuwa bachelor kwa upande mwingine ni very EXPENSIVE....

so far sooo guud .. usafi ni muhimu sana jamani hapa geto kwangu si wa kike tu hata masela wakija huwa wanazuga zuga wachelewe kutoka.. geto kama paradiso..

Kuna mmoja alikuja na dem wake juz kati hapo.. jana jion shemej akaja mwenyewe et kumuulizia jamaa yake kama kaja hapa😅

Nikakumbuka ile nyimbo ya NGWEIR.. mnaikumbuka na nyinyi?
 
Back
Top Bottom