Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale.
Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe.
Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli.
Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha. Tokeni usingizini mkapate mali.
Sizungumzii kuwa matajiri, nazungumzia ustawi wa maisha ya kawaida. Kumiliki Nyumba, biashara, gari au hata shamba.
Nchi hii yenye hifadhi za wanyama nyingi, mapori tengefu mengi, bahari imelala kutoka Kaskazini Mashariki mpaka kusini Mashariki mwa nchi, misitu mingi, ardhi yenye rutuba haina hesabu.
Ina maana shetani amefunga akili zako usiione fursa angalau moja kati ya mamilioni ya fursa? Unasubiri serikali ikupeleke kwa nguvu Makete ukalime Viazi?
Unasubiri Serikali ikupeleke kwa nguvu kwenye migodi na mialo ya dhahabu ukachimbe?
Kama huna ustawi katika maisha yako jua tu kuwa shetani ameharibu akili zako kwa ufupi amekufanya usiwe na akili timamu.
Amka. Wengine watasema tatizo mtaji. Serious?
Nimeona watu wengi sasa wana pesa, mtaji wao wa kwanza ulikuwa nguvu na uthubutu.
Nenda kwenye migodi, mtaji wako ni nguvu tu, acha ulevi na uzinzi utafanikiwa.