Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

Wewe wa kike lala mama. Ruksa!
Mtoa mada hayupo sahihi katika hiyo hoja, kuna watu wana hustle usiku na mchana kutafuta ridhki, lakini mbio inatumika nyingi matokeo hafifu. Sio kila maskini anafaa lawama.

ila alichokisema kitumike kama catalyst kila mtu kuzidi kupambana na maisha! Wewe kama umefanikiwa kula nyama Nyamaza!
 
Ukifanikiwa usije ona wasio fanikiwa hawana akili!!
Unaenda mgodini na nguvu zako unaenda kuwa kibarua wa mtu utatoboa?
 
Mtoa mada hayupo sahihi katika hiyo hoja, kuna watu wana hustle usiku na mchana kutafuta ridhki, lakini mbio inatumika nyingi matokeo hafifu. Sio kila maskini anafaa lawama.

ila alichokisema kitumike kama catalyst kila mtu kuzidi kupambana na maisha! Wewe kama umefanikiwa kula nyama Nyamaza!
Nimenyamaza
 
Watu hawapo sawa tena tuna tofautiana kwa kiwango kikubwa tajir..

Akili, Mawazo na Fikra Ulizonazo wewe, mimi na mwengine ni tofauti which led kuwepo kwa matabaka katika jamii

It's all connected and none of us can change it

If you see yourself as a clever one basi know that wengine wanakuona wewe ni mzembe na mvivu na mafanikio yako hayawezi kuwa kama wao

Mafanikio ya mtu yapo kwenye DNA zake ... Ndio maana kuna wanaotumia nguvu nyingi ila wanapata Matokeo Madogo na kuna wanaotumia nguvu ndogo but wana archive vitu vikubwa

You can't beat these kinds of people and you can't be them but angalau utapata unacho stahili for your hard work

Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA

Badilisha Mazingira instead of Kulazimisha vitu coz I know for the fact kila mtu mafanikio yake yapo sehemu fulani but how do you know that?

You'll know kwa kubadisha unachokifanya au kubadilisha Mazingira and that's it.

It's just a puzzle or something which every one of us need to figure it out na kama utashindwa kung'amua basi you'll be doomed Forever.
 
Anasema mjinga mmoja anaetegemea mshahara mwisho wa mwezi, acha kazi ya ulinzi njoo kitaa pumbafu wewe
Ahahahah 😁😁😁
Mimi naweza kufanya biashara yoyote huku nafanya kazi, wewe huwezi kufanya kazi ninayofanya Mimi huku unauza nyanya hapo?
 
Ndio watu hawajui km hiki kijamaa Sandali Ali ni kilinzi tu pale Gardaworld eti kinakaa humu kinaanza kuandika ujinga ujinga baada ya kufunga Lindo,
Nilifanya kazi ya kwanza kabisa kama mlinzi G4S mgodini Bulyangulu, miezi michache nikaajiriwa na Acacia pale pale mgodini nikilipwa around 570 k enzi zile pesa ambayo alikuwa akilipwa sergeant wa polisi. Nikaacha kazi kwa muda mfupi baada ya kuajiriwa na TANAPA kama game ranger au mlinzi tuite ili moyo wako ufurahi.
Nako TANAPA nikaacha, nilipo sasa hivi wewe mbwa uliyekosa maarifa huwezi kufika.
Nina duka la spare za pikipiki la jumla Ilala, hivyo hata nikiacha huku naweza kusimama .
Nchi hii kukosa pesa ni ujinga wako tu
Nikiacha huku naachana na mambo ya ajira.
 
Kuna bro mmoja ambaye amefanikiwa tu
Alisema ukianza kupata hela mara kwa mara
Yani Simu nyingi za madili
madili yanapishana tu.
Basi unaweza kuona wasio na hela ni wazembe au hawana akili
Kumbe maisha yalivyo kuna siku unaweza kukosa hata jero ya mihogo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Nakazia
 
Motivesheni sipika..
unadhani utajiri matako kila anayo?
 
Watu hawapo sawa tena tuna tofautiana kwa kiwango kikubwa tajir..

Akili, Mawazo na Fikra Ulizonazo wewe, mimi na mwengine ni tofauti which led kuwepo kwa matabaka katika jamii

It's all connected and none of us can change it

If you see yourself as a clever one basi know that wengine wanakuona wewe ni mzembe na mvivu na mafanikio yako hayawezi kuwa kama wao

Mafanikio ya mtu yapo kwenye DNA zake ... Ndio maana kuna wanaotumia nguvu nyingi ila wanapata Matokeo Madogo na kuna wanaotumia nguvu ndogo but wana archive vitu vikubwa

You can't beat these kinds of people and you can't be them but angalau utapata unacho stahili for your hard work

Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA

Badilisha Mazingira instead of Kulazimisha vitu coz I know for the fact kila mtu mafanikio yake yapo sehemu fulani but how do you know that?

You'll know kwa kubadisha unachokifanya au kubadilisha Mazingira and that's it.

It's just a puzzle or something which every one of us need to figure it out na kama utashindwa kung'amua basi you'll be doomed Forever.
Mkuu,
Nakusalimia
Nimekunukuu
"Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA"

Napata confusion kupitia mawazo yako DNA ni za kurithi inakuaje wale wanao break rules na ku KICK LIFE & ODDS IN LIFE

unaweza kutufafanulia zaid 😊 umemaanisha nini..

✌️✌️✌️
 
Sema matusi ni ukosefu Wa hekima Mara nyingi ukifanikiwa to the top huwezi kumdharau aliyepo chini kila MTU yupo Ila tusirhusu matusi.
Mm Huwa Niko humble sana kuheshimu wakubwa Kwa wadogo pia ninakifua chakuvumilia ukosoaji mkubwa...

Mm hata kumtukana mtu k*m*m*k siwez na ujana wote sijawai na sitokuja kufanya ivyo 😊😊

Mkuu Kuna watu wamelelewa matusi kwao ni maneno ya kawaida mfano Zanzibar watu hutoa matusi ni kawaida na mikoa ya pwani ☺️☺️😊😊

✌️✌️
 
Yes mkuu hilo tatizo linaanzia mbali MTU akichafuka ndani inaweza kumchukia miaka mingi kukaa sawa.
 
Hivi unadhani mgodini unaingia kwamba sasa nikachimbe? Huna shamba unajua gharama ya kukodi shamba? Uanze uvuvi leseni, chombo na nyavu, Uanze biashara kupata location nzuri gharama ya frame tu ni mtaji, Mtaji wenyewe wa kurundika na kula hapo hapo kodi ya nyumba na vinginevyo, sio rahisi hivyo kama ulivoandika.
Unakosaje shamba nchi kubwa yote hii na mapori kibao tena ya bure nguvu zako tu kusafisha.
 
Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja. Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale.

Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe.

Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli.

Lengo sio kuwaumiza mioyo, lengo ni kuwaamsha. Tokeni usingizini mkapate mali.

Sizungumzii kuwa matajiri, nazungumzia ustawi wa maisha ya kawaida. Kumiliki Nyumba, biashara, gari au hata shamba.

Nchi hii yenye hifadhi za wanyama nyingi, mapori tengefu mengi, bahari imelala kutoka Kaskazini Mashariki mpaka kusini Mashariki mwa nchi, misitu mingi, ardhi yenye rutuba haina hesabu.

Ina maana shetani amefunga akili zako usiione fursa angalau moja kati ya mamilioni ya fursa? Unasubiri serikali ikupeleke kwa nguvu Makete ukalime Viazi?

Unasubiri Serikali ikupeleke kwa nguvu kwenye migodi na mialo ya dhahabu ukachimbe?

Kama huna ustawi katika maisha yako jua tu kuwa shetani ameharibu akili zako kwa ufupi amekufanya usiwe na akili timamu.

Amka. Wengine watasema tatizo mtaji. Serious?

Nimeona watu wengi sasa wana pesa, mtaji wao wa kwanza ulikuwa nguvu na uthubutu.
Nenda kwenye migodi, mtaji wako ni nguvu tu, acha ulevi na uzinzi utafanikiwa.
Muhimu tu usisahau hiki ulichokiandika hapa. Maana kesho utashangaa unakuja tena na uzi wa kulalamikia ugumu wa maisha unaopitia.

Wabongo kwa unafiki tu hatujambo.
 
Back
Top Bottom