Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

Kwa hio hadithi yako inakifundisha nini? Unajua kuna watu wakikuwekea story zao unajua unaweza ukaishia kukenua tu mdomo, watu wanahustle watu wanapambana nini kubeba zege sijui kulima na uchafu gani kwa Bibi yako mamaezako ushawahi kufanya kazi masaa 18/19 bila kupumzika mwezi mzima hadi unahisi kufakufa? Kazi ambayo ukipewa wewe huvuki siku 3 una-float unaumwa mafua km kuku mwenye mdondo
Dogo hujakuwa akili Bado yaani wewe ni mbumbumbu ht ukipata hiyo hela hakuna kitu utafanya maana unaonekana una mental illness
 
Dogo hujakuwa akili Bado yaani wewe ni mbumbumbu ht ukipata hiyo hela hakuna kitu utafanya maana unaonekana una mental illness
Nimekuuliza ushawahi kufanya kazi masaa 18/19 bila kupumzika wewe si unajifanya unajua masuala ya kazi au? Pumbavu
 
Halafu anaamini ipo siku atakuwa millionaire
🖕🏽Kalia🖕🏽 tena sio 'atakua' sema 'anaamini ni millionaire' sababu nawaingizia watu Mamillion kwenye kufanya kazi zao so I'm part of it Mimi pia ni sehemu ya u-millionaire, sema kingine kiazi kitamu
 
Anasema mjinga mmoja anaetegemea mshahara mwisho wa mwezi, acha kazi ya ulinzi njoo kitaa pumbafu wewe
Ndio watu hawajui km hiki kijamaa Sandali Ali ni kilinzi tu pale Gardaworld eti kinakaa humu kinaanza kuandika ujinga ujinga baada ya kufunga Lindo,
 
Please uzi huu naomba ukae jukwaani angalau kwa mwaka mmoja . Vijana wanalia njaa huku wamezungukwa na vyakula, waamke wale.

Hili ndilo hitimisho langu na ndio ukweli wenyewe.

Najua maskini watanijia juu wakitamani kuniua kwa kuwaambia ukweli.

Lengo sio kuwaumiza mioyo , lengo ni kuwaamsha. Tokeni usingizini mkapate mali.

Sizungumzii kuwa matajiri, nazungumzia ustawi wa maisha ya kawaida. Kumiliki Nyumba, biashara, gari au hata shamba.

Nchi hii yenye hifadhi za wanyama nyingi, mapori tengefu mengi, bahari imelala kutoka Kaskazini Mashariki mpaka kusini Mashariki mwa nchi, misitu mingi, ardhi yenye rutuba haina hesabu.

Ina maana shetani amefunga akili zako usiione fursa angalau moja kati ya mamilioni ya fursa?
Unasubiri serikali ikupeleke kwa nguvu Makete ukalime Viazi?

Unasubiri serikali ikupeleke kwa nguvu kwenye migodi na mialo ya dhahabu ukachimbe?

Kama huna ustawi katika maisha yako jua tu kuwa shetani ameharibu akili zako kwa ufupi amekufanya usiwe na akili timamu.

Amka.
Wengine watasema tatizo mtaji. Serious?

Nimeona watu wengi sasa wana pesa, mtaji wao wa kwanza ulikuwa nguvu na uthubutu.
Nenda kwenye migodi, mtaji wako ni nguvu tu, acha ulevi na uzinzi utafanikiwa.


Usilaumiwe, ukiendelea kukua utafikiri tofauti.
 
🖕🏽Kalia🖕🏽 tena sio 'atakua' sema 'anaamini ni millionaire' sababu nawaingizia watu Mamillion kwenye kufanya kazi zao so I'm part of it Mimi pia ni sehemu ya u-millionaire, sema kingine kiazi kitamu
Debe tupu hupiga kelele nyingi.

An empty tin makes much noises
 
Back
Top Bottom