Ukweli mchungu: Kama unaishi Tanzania halafu wewe ni maskini huna akili timamu

Wewe wa kike lala mama. Ruksa!
Mtoa mada hayupo sahihi katika hiyo hoja, kuna watu wana hustle usiku na mchana kutafuta ridhki, lakini mbio inatumika nyingi matokeo hafifu. Sio kila maskini anafaa lawama.

ila alichokisema kitumike kama catalyst kila mtu kuzidi kupambana na maisha! Wewe kama umefanikiwa kula nyama Nyamaza!
 
Ukifanikiwa usije ona wasio fanikiwa hawana akili!!
Unaenda mgodini na nguvu zako unaenda kuwa kibarua wa mtu utatoboa?
 
Nimenyamaza
 
Watu hawapo sawa tena tuna tofautiana kwa kiwango kikubwa tajir..

Akili, Mawazo na Fikra Ulizonazo wewe, mimi na mwengine ni tofauti which led kuwepo kwa matabaka katika jamii

It's all connected and none of us can change it

If you see yourself as a clever one basi know that wengine wanakuona wewe ni mzembe na mvivu na mafanikio yako hayawezi kuwa kama wao

Mafanikio ya mtu yapo kwenye DNA zake ... Ndio maana kuna wanaotumia nguvu nyingi ila wanapata Matokeo Madogo na kuna wanaotumia nguvu ndogo but wana archive vitu vikubwa

You can't beat these kinds of people and you can't be them but angalau utapata unacho stahili for your hard work

Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA

Badilisha Mazingira instead of Kulazimisha vitu coz I know for the fact kila mtu mafanikio yake yapo sehemu fulani but how do you know that?

You'll know kwa kubadisha unachokifanya au kubadilisha Mazingira and that's it.

It's just a puzzle or something which every one of us need to figure it out na kama utashindwa kung'amua basi you'll be doomed Forever.
 
Anasema mjinga mmoja anaetegemea mshahara mwisho wa mwezi, acha kazi ya ulinzi njoo kitaa pumbafu wewe
Ahahahah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mimi naweza kufanya biashara yoyote huku nafanya kazi, wewe huwezi kufanya kazi ninayofanya Mimi huku unauza nyanya hapo?
 
Ndio watu hawajui km hiki kijamaa Sandali Ali ni kilinzi tu pale Gardaworld eti kinakaa humu kinaanza kuandika ujinga ujinga baada ya kufunga Lindo,
Nilifanya kazi ya kwanza kabisa kama mlinzi G4S mgodini Bulyangulu, miezi michache nikaajiriwa na Acacia pale pale mgodini nikilipwa around 570 k enzi zile pesa ambayo alikuwa akilipwa sergeant wa polisi. Nikaacha kazi kwa muda mfupi baada ya kuajiriwa na TANAPA kama game ranger au mlinzi tuite ili moyo wako ufurahi.
Nako TANAPA nikaacha, nilipo sasa hivi wewe mbwa uliyekosa maarifa huwezi kufika.
Nina duka la spare za pikipiki la jumla Ilala, hivyo hata nikiacha huku naweza kusimama .
Nchi hii kukosa pesa ni ujinga wako tu
Nikiacha huku naachana na mambo ya ajira.
 
Nakazia
 
Motivesheni sipika..
unadhani utajiri matako kila anayo?
 
Mkuu,
Nakusalimia
Nimekunukuu
"Usilazimishe vitu kama haviendi coz maybe Mazingira hayaruhusu Mafanikio yako hapo due to your DNA"

Napata confusion kupitia mawazo yako DNA ni za kurithi inakuaje wale wanao break rules na ku KICK LIFE & ODDS IN LIFE

unaweza kutufafanulia zaid ๐Ÿ˜Š umemaanisha nini..

โœŒ๏ธโœŒ๏ธโœŒ๏ธ
 
Sema matusi ni ukosefu Wa hekima Mara nyingi ukifanikiwa to the top huwezi kumdharau aliyepo chini kila MTU yupo Ila tusirhusu matusi.
Mm Huwa Niko humble sana kuheshimu wakubwa Kwa wadogo pia ninakifua chakuvumilia ukosoaji mkubwa...

Mm hata kumtukana mtu k*m*m*k siwez na ujana wote sijawai na sitokuja kufanya ivyo ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

Mkuu Kuna watu wamelelewa matusi kwao ni maneno ya kawaida mfano Zanzibar watu hutoa matusi ni kawaida na mikoa ya pwani โ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

โœŒ๏ธโœŒ๏ธ
 
Yes mkuu hilo tatizo linaanzia mbali MTU akichafuka ndani inaweza kumchukia miaka mingi kukaa sawa.
 
Unakosaje shamba nchi kubwa yote hii na mapori kibao tena ya bure nguvu zako tu kusafisha.
 
Muhimu tu usisahau hiki ulichokiandika hapa. Maana kesho utashangaa unakuja tena na uzi wa kulalamikia ugumu wa maisha unaopitia.

Wabongo kwa unafiki tu hatujambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ