Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Well technicaly hakutu protect against chanjo. Aliruhusu watumishi walichomwa, viongozi hata yeye mwenyewe baadae alikubali
Ningumu sana kukubali kuwa nayeye alichoma hiyo chanjo baadae.
Pia siwezi kataa uwenda wewe ndiye daktar uliye mchoma hiyo chanjo.

Kuhusu viongozi kuchoma ilikuwa lazima wacho kwasababu wao ni sehemu ya system walipaswa kupush hiyo ajenda ya chanjo.
 
Kennedy family lakini kinachowatokea si mchezo
 
These are crooks and not royal families
 
Tanzania sio nchi ya kifalme. Kidini.Tunajua mkono wake upo kwa Samia. Tukipata real democracy hatutawaliwa na familia moja na washikaji wao
 
Ukweli mchungu
 
Ningumu sana kukubali kuwa nayeye alichoma hiyo chanjo baadae.
Pia siwezi kataa uwenda wewe ndiye daktar uliye mchoma hiyo chanjo.

Kuhusu viongozi kuchoma ilikuwa lazima wacho kwasababu wao ni sehemu ya system walipaswa kupush hiyo ajenda ya chanjo.

Hahaha i wish ningekuwa doctor but that not my passion. Sikuambii ili uamini, nakupa hard facts ,thats how things went down
 
Hahaha i wish ningekuwa doctor but that not my passion. Sikuambii ili uamini, nakupa hard facts ,thats how things went down
I got nose
We all got nose
But mine detected some bullshit
That shit stink brother.

Your facts are softer than silk.
 
Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Hapa umebugi, mbali na kusoma/kusomesha lazima kuwe na supportive effort nyuma. Kibongobongo tunaishi kwa connections, wasomi wakubwa wa kawaida mpaka wanazeeka hawana nafasi za maana serikalini ndo hao wakifika uzeeni kisaikolojia wanajikuta wapinzani wa serikali sababu hakuna walichoambulia cha maana pamoja na elimu zao.

Wasomi kutoka familia za kawaida ni wachache mno walitoboa nao hawanaga mwendelezo pamoja na kuwa ndani ya system.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe ndiye angeweza kuisambaratisha hii Hegemony lakini wakamuwahi
 
#Kwani hupendi kulamba Asali kimya kimyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
......and this is how terrorists are made. Watu wakichoka uonevu pamoja na nepotism wanaanzisha magenge ya ugaidi pamoja na support kutoka nje ya nchi.
 
Watakuja kukubishia ila huu ndio ukweli wenyewe ndugu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…