Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Soma vizuri uelewe,hiyo family imekuwa extended sana hata hussein mwinyi anaingia humo
 
Kutawala ?!!!

The Coming Generation haitawaliki, kwa ushauri kama unataka kufanya mambo yako vizuri bila bughudha usiingie kwenye Politics kwenye gap kubwa la walionacho na wasionacho unaweza kuchukiwa bila sababu...

Kama uwezo unao fanya mambo yako..., ukidokoa mali ya UMMA unaweza uka-taint ukoo wako na wakawa branded wezi..., vitukuu vyako vikachukiwa na kunyanganywa kilicho chao kwa visingizio babu yao alikuwa jambazi...

We have dangerous times ahead unless walamba asali wafuate msemo wa kujua kula na vipofu....
 
Toka mwanzo ulionekana tu

Kwa taarfa yako kuna wazee wengi walikuwepo kwenye serkali ya kikoloni kwenye nafasi kubwa zaidi ya hiyo

Kikwete ametesa watu wengi ni swala la muda tu karma kuanza kufanya kazi
Hata kwenye biblia kuna matabaka ya watawala na watawaliwa,kuna familia zilibarikiwa kuliko zingine,sioni kama ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…