Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Mkuu tafuta pesa/cheo elimu ipo tu.
Nani alikwambia utajiri wa watanzania unatokana na elimu?
Watu wana phd kutokana na pesa zao au vyeo vyao!
Na wengine wametafuta elimu kwa kuteseka na bado wapo mtaani wanaambiwa wajiajiri, serikali haitengezi ajira!
 
Wewe unatakaje kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…