Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,479
- 2,877
Shule pekee, kufaulu sio guarantee ya watoto na wajukuu 'kujikomboa' kimaisha.Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Kabisa ! Wengine hata kama atapewa mshahara ule ambao yeye anauona ni mdogo wa kuanzia kazi wengi wao hawakubali kufanya kazi !Mimi nilipo Hitimu chuo,nilienda kujitolea(kufanya kazi bure).baadaye Nikaajiriwa palepale kwa kuwa wananifahamu na uzoefu wamenipa wenyewe.Tatizo vijana wasasa hawataki kujitolea.
Hao wa namna hiyo ndio tuowataka Inji hii ili inji hii ipige hatua za haraka kama Nchi siyo maendeleo ya vikundi vidogo vidogo vya baadhi ya elites !!Mzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba,Nnauye alikuwa mjamaa kweli hakuwa fisadi
Mkuu
Acha kuwachongea Sasa!!?
Huoni kwamba unaamsha hasira FULANI Mkuu!?
Unachokisema NDICHO kinachoonekana kwenye macho ya kawaida na mtazamo wa WENGI!!!
Lakini awamu ya tano imenifunza somo ambalo sitosahau Maishani Kwamba:-
JAMUHURI NI TAASISI KUBWA SANA KULIKO:-
-Rais aliepo madarakani
-Ukoo wowote wa kuheshimika
-Genge la watu FULANI
-Familia FULANI.
Mwinyi senior ni kipenzi cha WENGI ndio maana imekua lakini Hawa wengine wametengeneza uadui Sana wamegawa upendo waO KWA watu FULANI DHIDI ya wengine! SIDHANI unachokiwaza kama kitakua!!
Kama we ni msomi mzuri hasa humu JAMVINI utagundua blocks in systems fighting for their own! Na hilo litasaidia Jamhuri kupenya na kufanya MAAMUZI tofauti na matazamio ya WENGI!
Tembelea uzi huu Miaka MIWILI ijayo kama utaona HIKI ulichoandika!
MUNGU ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo Sana
Wewe unaogopa muungano wa familia tano??
Familia tano ni kitu gani mbele ya watanzania milioni 61?
Tatizo ni kwamba Watanzania wengi hawana akili, lakini, siku wakituliza akili zao vizuri wanaweza kupindua meza na kufanya mabadiliko makubwa.
Si ndio mgebandika hivyo badala ya Maneno mengi tu wakati azma kuu ilikuwa ya Kutukana.Nakazia
Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwakeKikwete ana kitu ambacho wanasiasa Wengi Sana hawana...Labda Kidogo Nyerere....Ana gift moja very unique..
"Anapenda watu genuinely"..
Kikwete anapenda watu na anapendwa na watu..
Lowassa anapendwa na watu pengine kuliko JK lakini Lowassa "hapendi "watu kama JK...
Kikwete anakumbuka watu majina hata kama ni mkulima Tu au bodaboda....
Kipaji hiko cha Kikwete anacho Bill Clinton.... Tanzania sijaona mwenye kipaji hiko mwingine...hao kina Riziwan na January hawana hiko kipaji...
Kingine Kikwete anajua Sana nini cha kuongea....mtoto wa mjini halisi...
Huwezi sikia karopoka kitu bahati mbaya...anajua exactly nini aongee na nini asiongee hiki ndo kipaji alichokosa JPM...
Katika Marais wa Tz..Hadi sasa Kikwete ndo kawa "natural president"..
Bila kuhitaji vyombo vya dola ...anaheshimika na kusikilizwa ndani na nje bila kuwa "official president"..
Tujiulize mbona Mkapa hakuweza?Mwinyi mbona hakuweza?
Kikwete mtoto wa mjini ...the most successful one politically...ever
Born town all day.. he might be havinga lot of bad habits nyuma ya pazia ila namkubali sana hasa katika kutumia intelligence. Wengi wanamfight wanaishia kupoteza. How can he play all these dirty? I love him. I love them bad boys[emoji23][emoji23] umemaliza kila kitu mkuu. Jk is extra. Yaan he needs no efforts. Hapa kwa lowassa umenifungua leo. And yes, hata lowassa mwenyewe amemshindwa jamaa. Nikatizame hata movie mbili sasa za intelligence aisee. Asante kwa kunifungua mkuuKikwete ana kitu ambacho wanasiasa Wengi Sana hawana...Labda Kidogo Nyerere....Ana gift moja very unique..
"Anapenda watu genuinely"..
Kikwete anapenda watu na anapendwa na watu..
Lowassa anapendwa na watu pengine kuliko JK lakini Lowassa "hapendi "watu kama JK...
Kikwete anakumbuka watu majina hata kama ni mkulima Tu au bodaboda....
Kipaji hiko cha Kikwete anacho Bill Clinton.... Tanzania sijaona mwenye kipaji hiko mwingine...hao kina Riziwan na January hawana hiko kipaji...
Kingine Kikwete anajua Sana nini cha kuongea....mtoto wa mjini halisi...
Huwezi sikia karopoka kitu bahati mbaya...anajua exactly nini aongee na nini asiongee hiki ndo kipaji alichokosa JPM...
Katika Marais wa Tz..Hadi sasa Kikwete ndo kawa "natural president"..
Bila kuhitaji vyombo vya dola ...anaheshimika na kusikilizwa ndani na nje bila kuwa "official president"..
Tujiulize mbona Mkapa hakuweza?Mwinyi mbona hakuweza?
Kikwete mtoto wa mjini ...the most successful one politically...ever
Wana philosophy wanaamini kuwa hakuna kisichokuwa na mwisho.Yaan hakuna marefu yasiyo na ncha.Hali hii Ni nzuri na tamu kwa Sasa hata unathubutu kuandika hivi ,lakin mwisho wake ni mchungu Kama kroloquine.Binti wa Rais wa Zamani wa Angola anapitia machungu makubwa kwa Sasa kwa kuwa baba yake pia aliamini ujinga Kama huu wa Kikwete et al.Nimekaa pale utanikumbuka respond hii.Na uzuri technology haifuti kabisa maandishi.Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
We jamaa huwa nakufatilia sana! Ni mropokaji na mkorofi sana unaonekana, alafu huwa unajifanya unajua vitu sana! Lakini maskeen hakuna ujuacho.. kauli yako umeitoa kibishi na kupinga kwamba hao ni nothing Inshort una jeuri! Na pole sana!Ukimtoa ridhiwani
Nape
Makamba
Hakuna atayekuja kuwa kutoka hizo familia
Brilliant! 👍🏾Tunajua yaliyofanyika Srilanka, Tunajua yaliyotokea Marekani, Tunisia, Egypt na hiv karibuni Brazil.
Sidhani kama tumejiandaa.
Na maneno maneno yalikuwa hivi hivi.
I hope Serikali na Jeshi la Polisi kanda hii maalumu(mtandao) wanafuatilia haya na kufanya yanayotakikana. Hao wanaojichekesha chekesha humu wana kazi zao. Sio bure.
Hata hizo nafasi za kujitolea ni dhahabu siku hizi. Wao wenyewe hawakupi kwa sababu wanajua what's next! 😊Mimi nilipo Hitimu chuo,nilienda kujitolea(kufanya kazi bure).baadaye Nikaajiriwa palepale kwa kuwa wananifahamu na uzoefu wamenipa wenyewe.Tatizo vijana wasasa hawataki kujitolea.
Kamanda don't expose each and everything kwenye public... Remember about an Oath thatchu took, it's dangerous! PlayfairMzee Nauye alikufa hana hata kibanda nadhani ilikuwa 2000,Nape chuo kasomeshwa na Makamba na Jk,hata msiba wa mzee Nauye tulikosa sehemu ya kuweka tutubai maana alikuwa anakaa ghorofani flats za NHC,tukaupeleka kwa mzee makamba,Nnauye alikuwa mjamaa kweli hakuwa fisadi
Samahani Kaka... je! Wewe ni kijana wa Prof. Matuja wa pale Upanga?!Shule pekee, kufaulu sio guarantee ya watoto na wajukuu 'kujikomboa' kimaisha.
Pamoja na shule, lazima kijana msomi awe 'connected' ili elimu yake iwe na maana.
Sidhani kama JAMUHURI imeamua hatma ya nchi itegemee hao PEKEE!Kikwete ana kitu ambacho wanasiasa Wengi Sana hawana...Labda Kidogo Nyerere....Ana gift moja very unique..
"Anapenda watu genuinely"..
Kikwete anapenda watu na anapendwa na watu..
Lowassa anapendwa na watu pengine kuliko JK lakini Lowassa "hapendi "watu kama JK...
Kikwete anakumbuka watu majina hata kama ni mkulima Tu au bodaboda....
Kipaji hiko cha Kikwete anacho Bill Clinton.... Tanzania sijaona mwenye kipaji hiko mwingine...hao kina Riziwan na January hawana hiko kipaji...
Kingine Kikwete anajua Sana nini cha kuongea....mtoto wa mjini halisi...
Huwezi sikia karopoka kitu bahati mbaya...anajua exactly nini aongee na nini asiongee hiki ndo kipaji alichokosa JPM...
Katika Marais wa Tz..Hadi sasa Kikwete ndo kawa "natural president"..
Bila kuhitaji vyombo vya dola ...anaheshimika na kusikilizwa ndani na nje bila kuwa "official president"..
Tujiulize mbona Mkapa hakuweza?Mwinyi mbona hakuweza?
Kikwete mtoto wa mjini ...the most successful one politically...ever
yule mzee Msoga ni nguli kwenye siasa.Siasa anazijua sana yule mzee