Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Hiyo hela mtoto wa January makamba ni mdogo sana yuko grade 6 anayo, alipewa ya kutumia... anaitwa "Jamal Makamba" anasoma HOPAC int.Ngoja nipate hela,hizo familia nitazisambaratisha hamtaamini.
Kwenye account tayari nina milioni 2 wajiandae
Unafikiri ni yeye ndio aliamua!!?yule mzee Msoga ni nguli kwenye siasa.
wakati Amani Karume anamaliza muda wake, zanzibar ilitaka kupasuka,yaliibuka makundi matatu makubwa yanayotaka kila mmoja mtu wao awe Rais wa Zanzibar.
moja la Shamsi Vuai Nahodha.
lingine la Dr.Ghalib Bilal.
lingine la wapemba wa CCM nao wamechachamaa kwanini Pemba aijawai kutoa Rais Zanzibar?
wakati huo Maalim yuko moto anawalia timing wapasuke apite kati.
Mzee Msoga akawachezeshea draft moja matata sana.
Dr.Shein(mpemba)akapelekwa kugombea Urais Zanzibar,alafu Dr.Gharib akachukua nafasi ya umakamo wa Rais bara.Shamsi Vuai akasuburi Shein awe Rais ili ateuliwe waziri kiongozi Zanzibar hapo kwisha habari,mzee Msoga akawaweza wote na wakatulia.
Ndio umesema ukweli mzee kwenye kumbukumbu na kupenda watu yuko njema sana.Kikwete ana kitu ambacho wanasiasa Wengi Sana hawana...Labda Kidogo Nyerere....Ana gift moja very unique..
"Anapenda watu genuinely"..
Kikwete anapenda watu na anapendwa na watu..
Lowassa anapendwa na watu pengine kuliko JK lakini Lowassa "hapendi "watu kama JK...
Kikwete anakumbuka watu majina hata kama ni mkulima Tu au bodaboda....
Kipaji hiko cha Kikwete anacho Bill Clinton.... Tanzania sijaona mwenye kipaji hiko mwingine...hao kina Riziwan na January hawana hiko kipaji...
Kingine Kikwete anajua Sana nini cha kuongea....mtoto wa mjini halisi...
Huwezi sikia karopoka kitu bahati mbaya...anajua exactly nini aongee na nini asiongee hiki ndo kipaji alichokosa JPM...
Katika Marais wa Tz..Hadi sasa Kikwete ndo kawa "natural president"..
Bila kuhitaji vyombo vya dola ...anaheshimika na kusikilizwa ndani na nje bila kuwa "official president"..
Tujiulize mbona Mkapa hakuweza?Mwinyi mbona hakuweza?
Kikwete mtoto wa mjini ...the most successful one politically...ever
Bado alichanga karata zake vizuri kumuweka magufuli,unadhani angemuweka nani,lowassa alikuwa amechafuka,Membe ingekuwa ngumu kumnadi walishasema ni ndugu yake,JPM ilikuwa chaguo sahihi kwa muda uleUnafikiri ni yeye ndio aliamua!!?
Kama ni yeye ndio aliamua angeamua na huku 2015,huo mchezo wa state yeye akiratibu maelekezo kama KWA Lowasa alivochomolewa 2015!
vyovyote itakavyokua lakini yeye ndo alikua mwenyekiti wa chama na Rais,yani mkuu wa nchi.nguvu za hao wazanzibari wenye makundi kwa Kikwete walikua wepesi kama karatasi ndo maana aliweza kufanya na wakatulia.Unafikiri ni yeye ndio aliamua!!?
Kama ni yeye ndio aliamua angeamua na huku 2015,huo mchezo wa state yeye akiratibu maelekezo kama KWA Lowasa alivochomolewa 2015!
Kauli ya kijima nq kijinga sana hii. Unataka kusema nchi nzima hii waliosoma ni watoto wa hizi familia pekee?Mkuu somesha watoto na wajukuu acha kulalama na kulia wivu, ndio suluhisho la kumkomboa mtu kutoka katika umaskini.
Wewe Hata hujui dunia inavyozunguka kabisa,,wewe na Mimi tuendelee kulimia mahindi tuHuo ni uoga wako tu,mtoto mmoja wa kikwete kuwa mwanasiasa haimaanishi ndo kututawala milele,ni kawaida mtoto kuvutiwa na kazi ya babaake.wakina George bush au Akina Adam Jones kuwa Marais wa marekani baba na mtoto sio kwamba ndo kuitawala Marekani milele.clinton na mkewe hawajaitawala USA milele.Hata mwinyi na mwanae vipindi vyao vitapita watakuja wengine.Kusema watoto wengine ni marubani,madaktari etc ni fikra potofu kwanza Kuna familia nyingi za kawaida zenye watu wenye hzo professional sembuse familia ya Rais.
Huko mbali mno, tuna Diamond, Harmonize, JB na sasa hata chawa Babalevo anaweza kukupiga gap kimzaha [emoji1787]Ronaldo na Messi wamesoma Havard.
Wanalolitaka katika ulingo wa siasa linakua,huwezi kushindana naoHawa wameshakuwa mfumo, si rahisi kuendesha kampuni bila wao. Only person angeweza kuwarudisha kwenye mstari ni EL ambaye nae vurugu zao ndio zimemdhoofisha.
Hawa hata wapinzani wetu wapo mfukoni mwao achilia mbali tawala. Kazi sana
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
101 % truthSidhani kama JAMUHURI imeamua hatma ya nchi itegemee hao PEKEE!
Jamuhuri ni complex individual haizoeleki!
Leo itakutumia vizuri kufanikisha operation fulani kesho itasema inatosha Sasa, infulence YAKO KWA kampuni ni kubwa Sana hatutaki jina lako liimbwe Sana kuliko jamuhuri!
Ni hatari Sana jina likavuma kuliko JAMUHURI, jamuhuri haipendi kudogoshwa kama KIPINDI kile, ndio maana hayati Mkapa alimwambia jpm kuwa tunataka kusikia serikali imefanya hivi na vile sio jina lako!!!
Jamhuri haidogoshwi KWA umaarufu wa majina FULANI ndio maana vijana wa NYERERE hawana majina hadi leo!hata Hawa wanaovuma sidhani kama JAMUHURI itavumilia majina yao kwenye hatma ya NCHI YETU!
"NIMEJIFUNZA HAYO,I STAND TO BE CORRECTED"
Ndivyo ilivyokuwa !!vyovyote itakavyokua lakini yeye ndo alikua mwenyekiti wa chama na Rais,yani mkuu wa nchi.nguvu za hao wazanzibari wenye makundi kwa Kikwete walikua wepesi kama karatasi ndo maana aliweza kufanya na wakatulia.
issue ya 2015 iliwahusu boyz Ii men wote walikua deep state,nguvu sawa za ushawishi ndani ya serikali na chama.
ndio maana upande wa mzee mamvi walipoona mzee wao kautupwa nje nao wakamchinja jasusi mbobezi chaguo la mwenyekiti.
Kweli bila kuwa connected utabaki na vyeti vyako mpaka uzeeke !!Shule pekee, kufaulu sio guarantee ya watoto na wajukuu 'kujikomboa' kimaisha.
Pamoja na shule, lazima kijana msomi awe 'connected' ili elimu yake iwe na maana.
Punguza povu kaka, hao kina Kikwete wamejaa dunia nzima. Hakuna nchi unayoweza kwenda ukawakosa.Kauli ya kijima nq kijinga sana hii. Unataka kusema nchi nzima hii waliosoma ni watoto wa hizi familia pekee?
Mleta mada ana hoja, basi mjibu kwa hoja. Acha kurusha maneno hewani kama mvua ya mawe.
AiseeeBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Mwanangu kweli we ni mdukizi haswaaa umenifumbua akili kwa kuongezea nyama kidogo ni hivi sio tu family hizo ongeza kuwa CCM yote nayo ni Jakaya family hata tuneng'eneke vipi kuitoa madarakani sisi watz ni kibarua kugumu hatutaweza labda Mungu aingilie kati maana wao ndo wnajua nchi ilivyo tamu na kwa kifahamu hilo wamejiwekea mtandao wao kote angalia hawa viongozi wakubwa wa kuteuliwa na rais kama vile wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa halmashauri na manispaa mpka majiji, makatibu wakuu na manaibu, hawa wote ukichunguza ni makada lialia na kindakindaki wa ccm kama sio mwanaccm hupati teuzi hiziBabu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni.
Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere.
Mtoto mtu akawa Rais,na bado ana ushawishi.
Mke wake ni mbunge.
Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana.
Bado anawatoto wengine wanakua, wengine ni madaktari wengine marubani nk. Ridhwani angeweza kufanya kazi BOT au State Atorneys Office ila akaamua kuongia kwenye siasa ili atutawale.
Ili kufanikisha hili kuna familia tano zimejiunga pamoja,Kikwete Family,Makamba Family,Nnauye Family,Kinana Family,chini ya master mind Rostam Aziz.bila kusahau familia ya mzee Mwinyi. Hakuna kikundi au mtu mmoja mmoja anayeweza kuwashinda hawa ex soldiers
Bila Mzee Nnauye, Makamba angekuwa anauza mapeasi Lushoto, January Makamba angekuwa anaendesha Fuso.
Bila JK, Nape angekuwa anaendesha bodaboda.
Bila mzee Ruksa JK angekuwa analima mananasi Bagamoyo
Hii ni Family moja tusipoteze muda kushindana nayo bali tuishi nao kwa akili .
Kwani we hupendi asali
Basi tulia ulambe asali kimyakimya
Mahindi utalimia we mwenyewe mkuu.Wewe Hata hujui dunia inavyozunguka kabisa,,wewe na Mimi tuendelee kulimia mahindi tu
Sawa shekh hamna ubaya ilimradi mkono uende kinywaniMahindi utalimia we mwenyewe mkuu.