Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

Yaani CCM sio chama bali ni dubwasha kubwa na la hatari kama ulivyosema ni mpaka Mungu aingilie kati ila sio kwa kupiga kura wanajua utamu wa mamlaka hawa watu
 
Yule mwamba alishafanikiwa kuusambsratisha huu ufalme ila ndio hivyo tena RIP
Angesambaratisha KWA maslahi ya Taifa ingekuwa poa,lakini alianza zile zake zile!!

Kwamba

Nikiondoka kuna mwingine atafanya Haya!!?

Plus ndugu YANGU nkamia ndio akaharibu kabisaa Eti Bunge la Miaka Saba!?

Ndio ndio,

Jamuhuri iheshimiwe na wote,hakuna JINA kubwa kuliko jamuhuri!
 
Bado alichanga karata zake vizuri kumuweka magufuli,unadhani angemuweka nani,lowassa alikuwa amechafuka,Membe ingekuwa ngumu kumnadi walishasema ni ndugu yake,JPM ilikuwa chaguo sahihi kwa muda ule
Kweli Mkuu

Hata juzi alikuwa serengeti pale akapiga picha kama Kijana wa miaka 27!na raba kali!?

Wakati huo rafiki yake wa kitambo sana yupo south anaumwa na PM AKIENDA kumtembelea!

Matukio ndani ya siku mbili au tatu hivi hayakupishana Sana!

Halafu sherehe za mwaka mpya zikafata,Baada ya hapo! Mkutano wa maridhiano na wapinzani ukafuata Baada ya hapo Diwani wajina akaondolewa sintofahamu za kutosha humu JAMVINI!

Hatuja kaa sawa leo nyuzi kama mbili tatu za kumsifu mstaafu wa awamu ya nne!!

Hayo yoyote leo ni tar.12 mapinduzi day!

BADO siku 18 January iishe !!

Ngoja Tuone!
 
Kabisa
 
Kuna kitu nimejifunza kupitia ulichoandika
 
Ahaaa da nchi ngumu hii
 
Jamuhuri ni watu na hao watu ndio wao !! Na hapo inakuwaje sasa !!
 
Jamuhuri ni watu na hao watu ndio wao !! Na hapo inakuwaje sasa !!
Hamna mkuu

Hao ni sehemu ndogo sana na walitumika KWA kipindi FULANI wakati haiba yao ilihitajika na nguvu zao pia!

Mti hupukutisha majani Ili yaote mapya!

Bunge la 2025 kutakuwa na wapya wengi Sana wakongwe wachache Sana hata hamna kabisa!!

Hao walioshika vitengo toka royal family wanaweza wasishike muda waonukawa Ndio nhuu mama akiwa hatamuni!

Jamuhuri haiwezi endeleza hayo,itaibua vipaji vipya!

Mimi nina imani na jamhuri kuliko taasisi nyingine yeyote hata awamu za Serikali Sina imani nazo maana ni upepo uvumao KWA Muda!

Wao wataondoka na kuwa wankawaida tu na watabaki kula matunda waliyochuma zamani wakati wakiwa kitini!!

Chipukizi tutaingizwa muda Sio mrefu!

We subiri,Mimi najiandaa kuwa mtumishi wa jamuhuri katika level nyingine!
 
Ni mwendazake tu ndie alikuwa na jeuri ya kuwadhibiti hadi wengine kutembelea magoti kwenda kuomba msamaha, Mungu ampe pumziko la milele mwamba wa Chato, alifanya yale aliyostahili na aliweza kunyamzisha walamba asali lakini nao kumbe bado wanayo yao!
 
Hawawezi kurudia kosa kumpa nchi mtu ambaye hayumo kwenye circle yao
 
Kwahiyo issue siyo elimu. Hata ktk utetezi wako hakuna mahala umetaja elimu. Na hapa ndipo kwenye hoja yangu.
 
Elimu ni muhimu siku zote, mambo ya zari kama kina Messi na Ronaldo hutokea mara chache sana na ni kwa yale mataifa yenye misingi mizuri ya michezo ambayo ni matunda ya elimu pia.
Elimu inamuondoaje mtoto wa mkulima, bodaboda, machinga na baamedi toka ktk lindi la umaskini?
 
Kamwe huwezi kuifananisha familia ya zile za kifalme. Na kamwe haiwezi kutokea hivyo.

"Royal family is the immediate family of a reigning monarch"

Tawala za kifalme huwezi kuzifananisha na koo za kichifu, ama kiakida ama kiliwali. Hizi ni koo zenye mamlaka ya kidola na tena kwa kurithishana.

Kuwa mjukuu wa akida, ama mtoto wa liwali ama kinyume chake hakukupi sifa hiyo, kwa kuwa hata katiba ya nchi haitambui jambo hilo.

Hawa ni wananchi kama wengine, labda pengine wana sifa zaidi ya ukwasi wa kifisadi ambao haufanani na historia za koo zao, kwa kuwa hata babu na baba hawakuwa nao.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…