Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

Naungana na mtoa mada inawezekana kabisa ni kweli, nakumbuka siku tunazindua mfugale bridge pale tazara rais alisema tena kwa hasira kabisa kuna watu wanajiita wasomi wamekuja na mapendekezo ya hovyo. I remember this statement
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni lini hujawahi kumuunga mkono? Iwapo hata uwizi wa mabox ya kura unaunga mkono itakuwa huo mradi wa umeme?
 
Sikio la kufa siku zote alisikii dawa...tena kasharuhusu watu walime ndani ya mita sitini kwenya ardhi oevu na wajenge na kuchunga kwenye hifadhi za wanyama pori wetu...tanzania ijiandae kuwa jangwa kama darful
Hamna lolote just a comfused intelecture

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mabeberu wanatuoni sisi watanzania kama hatuna akili vile. Hivi madhara ya kutumia nguvu za nukilia kuzalisha umeme kwao unaweza kulinganisha na hili la ujenzi wa bwawa la maji? kwanza mabaki ya nukilia si sumu kali lakini wao wanaendelea kutumia na hawaoni madhara yake, pili Uranium iliyopo Seleou uchimbaji wake waliona hauna madhara kwa sababu makampuni yao ndiyo yanamiliki hiyo uranium baada ya kuigundua. Wao baada ya kuharibu mazingira kwao leo ndio wanataka kutuwekea sisi masharti eti miti mingi itakatwa wakati wa ujenzi wa bwawa hawajui ya kwamba watanzania wengi asilimia 99 wanatumia mkaa na kuni na miti mingi inatekea kila mwaka. Tukakapojenga bwawa la umeme watu wengi wataanza kutumia umeme wa bei nafuu na kuokoa ukataji wa miti hovyo hasa ukizingatia gharama ya uzalishaji wa umeme wa maji bei yake iko chini zaidi. Watanzania wengi hawajui nia hasa ya hawa mabeberu kuzuia ujenzi wa bwawa, sijajua ni sababu ya IQ ndogo au ni ushabiki wa kisiasa. Mabeberu wanapendekeza tutumie gesi kwa sababu gesi inamilikiwa na makampuni ya kwao kwa asilimia kubwa na wanaona tukianza kutumia umeme wa maji wa bei nafuuu hatutaweza tena kununua gesi kwao na hatutaweza tena kulipa capacity charge hivyo watakuwa wameingia hasara. Kwa sabau hiyo lazima walinde masilahi yao kwa visingizio vya kuharibu mazingira. Nchi zinazochangia kwa uchafuzi wa mazingira duniani ni nchi zenye viwanda vikubwa vya Ulaya,Marekani na Asia , kwa sisi Afrika uchafuzi wa mazingira bado sana hatujawafikia hao wazungu. Kinachoendelea kwa hawa mabeberu ni kupigania masilahi ya nchi yao waendelee kuvuna pesa kutoka kwenye gesi yetu kwa kuwa wao ndio walioigundua na kujimilikisha na kutuwekea masharti ya kutuuzia hadi watakaporudisha pesa zao na faida nono iliyopitiliza mbaya zaidi kuna watanzania wenzetu wachache wanatumika na mabeberu hawa kuhujumu huu mradi kwa ujira mdogo kwa kizingizio cha uharibifu wa mazingira.
 
Kupanga ni kuchagua. Kwa sasa tunahitaji umeme sana kutokana na sera za viwanda umeme wa maji ni cheap kuliko wa gas.
JE WANAOPINGA WANAONA NI SAWA KUWA NA UMEME WA GESI wa gharama mara mbili ya ule wa maji huku serikali ikitoa pesa zake kulipia kila unit ya umeme ili yeye aweze kupta umeme kwa bei tunayol.ipia? SERIKALI IKIACHA KUGHARAMIA HATA KUCHAJI SIMU HAWATAWEZA. Hao wajerumani kama wanajiweza waje watjujengee basi kinu cha gesi watuuzie kwa bei ya umeme wa kutumia maji. Mbona kwao hawatumii umeme wa gesi inayotoka russia badala yake wanakazania zaidi wa sola, upepo nk ? PIA SIO RAHISI KUHARIBU MAZINGIRA KIHIVYO. Marekkani, Ulaya, Asia zingeshakuwa jangwa.
 



German energy secretary backs forest clearance to build coal mine

Thomas Bareiß says use of polluting fuel at RWE plant is needed to keep the lights on



Adam Vaughan
@adamvaughan_uk
Mon 1 Oct 2018 11.45 EDT Last modified on Tue 2 Oct 2018 07.01 EDT




This article is over 3 months old

Controversial plans to chop down a German forest to build a vast coal mine should proceed because Germany needs the polluting fuel to keep the lights on, according to the chief of the country’s state secretary for energy.
Dozens of treehouses built and occupied by campaigners for years have been recently cleared by police to make way for plans by energy firm RWE, which owns Hambach forest near Cologne, to expand its nearby opencast coal mine.
Environmental groups have rallied against the project, which they argue would lock the country into higher carbon emissions, just as a government-appointed commission simultaneously debates a timeline for Germany to phase out coal.
“It should go ahead,” said Thomas Bareiß when asked by the Guardian if the Hambach clearance should proceed when the “coal exit commission” is still deliberating.

Bareiß said RWE had “a right to do this”, noted that the regional government had already agreed the clearance and said Germany needed the mine to maintain its energy supplies in the short term. “We still need lignite [brown coal] for our reliable coal supply.”
He conceded the highly polluting form of coal was disliked by most of the German public but said extracting lignite had a long tradition in some regions. “In general lignite is unpopular. People think it is dirty.”
But Bareiß said Germany, which sources nearly 40% of power from coal, would still need its coal plants in the early 2020s. That is partly because Germany is also due to shut its last nuclear power station in 2022. “At end of the decade there is more possibility to shut coal [plants],” he said.
The coal exit commission, whose members range from energy companies to Greenpeace, has been tasked with agreeing dates for phasing out Germany’s reliance on coal power stations, ahead of a UN climate summit in Poland this December.

Observers think that a compromise cut-off date at some time in the 2030s will be the most likely outcome.
Bareiß told an industry audience in London that getting off coal would be a “very expensive transition” but it was necessary and would “work in the long run”.
He cautioned that Germany could not move too fast on renewable energy projects, because of multibillion-euro upgrades required to take power from windfarms in the country’s north to the south. Those upgrades are behind target, causing bottlenecks and “large costs”, Bareiß said at the BNEF Future of Energy summit.
Fabian Huebner of the Climate Alliance Germany, which is backing a demonstration this Saturday against Hambach’s clearance, said: “Scientists agree: the brown coal under the Hambach Forest will not be needed for the security of electricity supply in Germany.”
 


Uzalendo ni pamoja na kusikiliza ushauri ulio "informed"!
 
Uzalendo wa kweli wa nchi yako ni pamoja na kusupport mipango kamambeya maendeleo ya nchi yako hata kama mipango hiyo itasababisha maumivu kwa walio wengi as long as itakuwa na faida kubwa kitaifa huko baadae.
P
Tatizo haya mambo mengi yanafanyika gizani-ni wachache wanaojua kinacho endelea. Jinsi ulivyomalizia naona kuna ukakasi, fikiria maumivu kwa walio wengi zidi ya faida kubwa kitaifa huko baadae. Sijui unavipimaje hivi na katika mradi huu kipi kimefanyika. Unatenganisha vipi walio wengi na taifa?
Nina amini nchi hii ina watalaamu wa kutosha wenye ujuzi na weledi wa kutosha kushauri serikali hii, tatizo ni siasa zetu unaamua kitu halafu unashikiria kiwe utakavyo. Tumeshaona maprofessor (and the like) wakifanya kazi hizi kisha tuna ambiwa kuna wazalendo na wasaliti. Nakumbuka TBC waliwahoji wahadhiri wengi kuhusu mradi huu na karibu wote waliunga mkono (nisinge tegemea majibu tofauti, kwani ukisha sema hiki kitu kitafanyika ije mvua au ukame unategemea nini).
Sidhani kama tunafuata misingi ya "project appraisal" naona siasa tunazitanguliza sana hadi kupindua vitu vya msingi.
 
Kwanini msifikirie Solar? Wind Turbines? Gas? Hizo zote ni sustainable means to get electricity without the expense of environment.

Serikali ingeweza kuweka mradi huo mahali pengine au kuwa na miradi ya umeme wa solar au hata nuclear na upepo.
Hizo njia zina gharama kubwa sana kuliko maji ambapo mzigo wa bei utapelekwa kwa mtumiaji.
 
Mpiga ramli katika ubora wake.
 
wew ndio IQ ndogo nani kakwambia Gesi yetu ya Lindi na Mtwara inamilikiwa na makampuni ya wazungu. Gesi ni ya kwetu acha upumbavu wako
 
Wewe jamaa unakaribia kuokota makopo, hivi huwa hujishtukii hata NYUMBU wenzako wakiona ishu ni ya maana kwa ustawi wa taifa wanapitaga kimya, hivi kwanini huwa haujaribu kutumia akili hata kidogo?, tumeshajua umezaliwa huna akili ila jaribu basi hata kufikiria kabla ya kupost kitu.Umewahi kupita sehemu yanapochimbwa madini almasi,gold etc ukaona mashimo yaliyobaki yalivyo makubwa na yame extend kwenda chini yamebaki kama mapango?, umewahi kusikia hizo kelele za mazingira kutoka kwa wazungu?,. Unapinga kila kitu hadi unaonekana MPUMBAVU, wakati mwingine kaa kimya tu kuficha UPUMBAVU wako. Huo umeme hawatumii wajerumani, tunatumia watanzania ndugu zako wakiwemo. Punguza ushabiki kwenye mambo ya msingi.
 
La msingi hapa ni umuhimu wa EIA kabla na baada ya JPM. Kwa spidi ya JPM ya utekelezaji wa mradi huu sidhani kama hilo kwake lilikuwa muhimu. Kwahiyo kwakuwa NEMC ipo kwa madhumui ya PROJECT EIA na EIR na kwa misingi ya 'full disclosure' wataalamu wa mazingira ama walipuuzwa au walirukwa.
Ina maana kwamba ni lazima Bunge lipitie upya kuona kama sheria ya NEMC ina meno au lah!
 
China ndo ina miradi mingi zaid mikubwa ya ujenzi wa HEP inayoendelea kwa sasa duniani lakini hao jamaa zenu hawapeleki pua kule.WHY? Hakuna mradi wowote usiokuwa na athari kwenye mazingira hata ujenzi wa nyumba za kuishi tu
Nyumba????huko inakatwa miti milioni moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…