Ukweli mchungu kuhusu KINANA

Ukweli mchungu kuhusu KINANA

Pamoja na yote hayo ya Kinana, tunaomba aache kuuwa tembo wetu kwani akiendelea, baada ya miaka saba hatutobaki na tembo hata mmoja.
 
Hivi mtu makini na mwenye upendo na Tanzania anaweza kufanya ya kutuumiza!!!?
Huyu mtu anamiliki meli zinasafirisha meno ya tembo wetu,ICD ilikopitia container ni yake,
Clearing agent aliyeandaa Docs ni kampuni yake,mnawezaje kumsafisha huyu?
 
Hapa si habari za kale bali jamaa ni mwelevu na ananidhamu ya siasa kwa wapenda mabadiliko lazima wasifie uteuzi wa kinana ila kwa wanasiasa uchwala ndiyo wanaobeza.

umaskini wa akili ni mbaya sana yaani mtu unaweza kudliki kumtetea jambazi eti kisa kakupa hela umsafishe,shame kwa wote mnao mtetea jangili wa wanyama pori. Mnasema ni kiboko kwa wapinzani wakati juzi katoa mapovu yake pele kilosa alipo toka wananchi wamemuonyesha kwenya uchaguzi wa vijiji
 
mti wenye matunda ndio urushiwao mawe

Kumbe mnalijua hilo, ndio maana mlikuwa mnakazania suala la Dr. Slaa na kadi, sasa subirini ushahidi mzito wa JANGILI, hapo ndipo mtakapoona huo mti wenu wenye matunda SUMU
 
Inawezekana kweli Kinana ni mtu makini sana, lakini tukumbuke wahenga waliposema, "hakuna bingwa wa milele"
 
I can see how biased the writter is in his assessment over the possible threat posed by the CCM General Secretary Hon Kinana against CHADEMA without taking the REALITY into an account.He talked a lot of how good Kinana is in terms of the strategy in helping his Party win key elections,He coloured him with the impressive examples of his past and how his experience kud become an asset for him in helping his Party win 2015 general election.That is really a poor reasoning of why CHADEMA shud use most of time worried over a one single guy instead of being worried over the whole corrupt system (CCM and its affiliates such as Electoral Commission).The writter selectively ignored the role and influence of the Times,Age,IT era and Economy which are the key factors that kud determine the FALL or the SURVIVAL of the ruling Party.If the writter also took the mentioned factors above into an account in his analysis then he wud have noticed that Kinana has very little sway on the current generation too.It's Economy Stupid!
 
Naamini JK amewa-outsmart Kinana na Mangula kwa kuwateua kusimamia ccm ktk siku hizi za mwisho wa uhai chama hichi kwa maana ccm kiwafie mikononi mwao.

CCM haiponi hata ikikabidhiwa kwenye mikono ya Barack Hussein Obama.
Yani huu ni muda m'bovu sana kwa ccm hakuna jinsi na JK anajua hilo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siasa za kuchafuana zilizoibuka hivi karibuni hapa nchini zinazofanywa na vyama vya upinzani hazitaufikisha mbali upinzani
 

mpe mtu haki yake, tuuseme ukweli hata kama ni mchungu

Ukweli ukikuuma unaishia kutukana tu

Aisee. Kutokana na uwezomhuo wa kinana, ndo maana chadema wanaweweseka na kutafuta kila mbinu chafu kumchafua

Kinana ni mwanajeshi amelitumikia jeshi kwa kipindi kirefu kwa cheo cha kanali...si mtu wa kupuuzwa

jipe muda kufikiri na kutafakari kabla hujakurupuka kuandika chochote.

kinana ni mtu makini sana kiutendaji..

Mimi nishasema kinana atayumbisha vyama vya upinzani.

Kinana ni mwadilifu ndo maana viongozi wa chadema wanahaa kumchafua

Ndo maana CHADEMA wameshindwa sasa wanabuni mambo ya kigaid na kudhuru watu,Jedi ya Lwakatare iishe,wamfunge tushughulikie wengine.

ziara yake moja tu ya mkoa wa Morogoro imezua tafrani nchi nzima

Hapa si habari za kale bali jamaa ni mwelevu na ananidhamu ya siasa kwa wapenda mabadiliko lazima wasifie uteuzi wa kinana ila kwa wanasiasa uchwala ndiyo wanaobeza.

tayari mmesha ingiza siku kwa kupata buku 7 Lumumba for the useful post.
 
siasa acha zifanyike lakini ukweli utabaki palepale kinana ni mwanasiasa imala atakibeba chama chake.
 
Kumbe mnalijua hilo, ndio maana mlikuwa mnakazania suala la Dr. Slaa na kadi, sasa subirini ushahidi mzito wa JANGILI, hapo ndipo mtakapoona huo mti wenu wenye matunda SUMU

na wewe umeingiza siku ya buku 7 Lumumba
 
na wewe umeingiza siku ya buku 7 Lumumba
Huna hoja, kinana ni very smart katika utendaji na ni hatari kubwa kwa survival ya upinzani ndio mana wanajaribu kumtungia uongo na uzushi
 
Kinana ni mwadilifu ndo maana viongozi wa chadema wanahaa kumchafua
Labda wewe ni kijana wa miaka hii hivyo hujui ya kale na hutafiti. Tuhuma za ukosefu wa uadilifu na kujihusisha na ujangili zimeanza toka akiwa Mbunge wa Arusha miaka mingi iliyopita akiwa hata ndoto ya kuwa KM hana.
Sasa hivi watu wamekasirika kwa vile tafiti zina sema Ndovu watatoweka ndani ya miaka 7.
Kwa taarifa yako kuna watu makini ndani ya CCM wanachukizwa na vitendo hivyo vya Kinana,mmebaki nyinyi watetezi kupitia ujira mnaolipwa.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom