Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mana anaundiwa mazengwe na tuhuma za ajabu ajabu
Hapa si habari za kale bali jamaa ni mwelevu na ananidhamu ya siasa kwa wapenda mabadiliko lazima wasifie uteuzi wa kinana ila kwa wanasiasa uchwala ndiyo wanaobeza.
mti wenye matunda ndio urushiwao mawe
mpe mtu haki yake, tuuseme ukweli hata kama ni mchungu
Ukweli ukikuuma unaishia kutukana tu
Aisee. Kutokana na uwezomhuo wa kinana, ndo maana chadema wanaweweseka na kutafuta kila mbinu chafu kumchafua
Kinana ni mwanajeshi amelitumikia jeshi kwa kipindi kirefu kwa cheo cha kanali...si mtu wa kupuuzwa
jipe muda kufikiri na kutafakari kabla hujakurupuka kuandika chochote.
kinana ni mtu makini sana kiutendaji..
Mimi nishasema kinana atayumbisha vyama vya upinzani.
Kinana ni mwadilifu ndo maana viongozi wa chadema wanahaa kumchafua
Ndo maana CHADEMA wameshindwa sasa wanabuni mambo ya kigaid na kudhuru watu,Jedi ya Lwakatare iishe,wamfunge tushughulikie wengine.
ziara yake moja tu ya mkoa wa Morogoro imezua tafrani nchi nzima
Hapa si habari za kale bali jamaa ni mwelevu na ananidhamu ya siasa kwa wapenda mabadiliko lazima wasifie uteuzi wa kinana ila kwa wanasiasa uchwala ndiyo wanaobeza.
Utendaji wake mzuri ndio unakufanyeni mumchafuePamoja na yote hayo ya Kinana, tunaomba aache kuuwa tembo wetu kwani akiendelea, baada ya miaka saba hatutobaki na tembo hata mmoja.
Tulia uone kama hanajipya muone atakavyowasambaratisha mpaka mtatafutana na hizo sumu zenu.Hana jipya!
Kumbe mnalijua hilo, ndio maana mlikuwa mnakazania suala la Dr. Slaa na kadi, sasa subirini ushahidi mzito wa JANGILI, hapo ndipo mtakapoona huo mti wenu wenye matunda SUMU
Jenga hoa mkuu, unajitia aibu jukwaani.tayari mmesha ingiza siku kwa kupata buku 7 Lumumba for the useful post.
Huna hoja, kinana ni very smart katika utendaji na ni hatari kubwa kwa survival ya upinzani ndio mana wanajaribu kumtungia uongo na uzushina wewe umeingiza siku ya buku 7 Lumumba
Labda wewe ni kijana wa miaka hii hivyo hujui ya kale na hutafiti. Tuhuma za ukosefu wa uadilifu na kujihusisha na ujangili zimeanza toka akiwa Mbunge wa Arusha miaka mingi iliyopita akiwa hata ndoto ya kuwa KM hana.Kinana ni mwadilifu ndo maana viongozi wa chadema wanahaa kumchafua