Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Mkuu,

Hebu naomba utuwekee sawa; kumbe raisi wa Tanzania huwa hachaguliwi na wapiga kura? Kwamba ilie kupika kura ni danganya toto tu?
 
Kwa nini wafanye uhalifu huu kwani wao kama nani? Kwani wao si ni waajiriwa wa wananchi tu kama walivo wengine?
 
Wacha uongo, vyombo vya dola havijihusishi na mambo hayo, hufanya kazi na yeyote aliyechaguliwa
 

Ndugu, wewe mtu/binadam tu kama mimi unaweza usitake fulani asiwe fulani ama asikwee ngazi kufika mahali fulani....

Nature ni kitu kingine. Haina urafiki na binadamu awaye yeyote si wewe na hisia zako ama hiyo unayoita "system"

Mimi naamini kuwa, system inatakiwa ku - bow down kwa "nature" na siyo nature iipigie magoti "system"...

Sina hakika kama unaelewa hii principle rahisi kabisa ya maisha hapa ulimwenguni....

Okay, ngoja nikuwekee katika lugha rahisi kueleweka kwako:

MAJIRA na NYAKATI ndiye mwamuzi was kila kitu. Kamwe mambo hayaamuliwi na watu waitwao "system". System halisi iko kwa aliyetengeneza haya Nanni...

Kwa taarifa yako, MAJIRA na NYAKATI zikiwadia, hata JIWE ama GOGO ambalo halijawahi kuonana uso kwa uso na hiyo unayoiita " SYSTEM", linaweza kusimama na kuwa RAIS WA NCHI HII YA TANZANIA....!!!

Hayo mengine sijui Sera ama sijui miongozo na mengine are nothing and useless....

Kila majira na nyakati huja na SERA na MIPANGO yake. Ya kwenu ya ki CCM kufeni na mzikwe nayo makaburini mwenu....
 
Mwanaume wa Kweli huwa hana shobo na mwanaume mwenzake ..wewe ni mama mwenyewe umekazana kudhani dosti atakuowa teh teh ..

Ww sio mwanaume, bali ni muuza face unayedanga kusaka mabasha kinguvu huku jukwaani.
 
Kama JPM ameweza hata Lissu anaweza. Sema tu hata akipita hawawezi kumkabidhi nchi kwa sababu za UCCM wao. Wameteka nyara nchi na kuiona ni yao ndiyo maana hata rais anaiona ccm na wanaccm.

Ukichagua wa chama kingine hata kama unalipa kodi ujue haleti maendeleo kwa sehemu hiyo kama alivyojisemea mwenyewe.
 
Ukiandikiwa uwe rais, haijalishi unatokea mazingira gani..na background yako ipoje..binafsi sikutegemea Trump kuwa rais wa marekan..ila leo ndo the big boss wao..hakuna anaeandaliwa kuwa raisi mungu ndie anaaendaaa..
 
watawala huzaliwa
hata watawaliwa huzaliwa pia inategemea tuu ulzaliwa kwe kundi lipi

Zaidi sana inategemea wakati gani.

Na wakati umebadilika mkuu hata kama akili za wengi hazijabadilika.

Kipindi fulani kilichopita huko Marekani asingeweza kutokea raisi nje ya kundi la WASP(White Anglo Saxon Protestants) kwa matakwa ya system yao ya wakati huo.

Lakini bado walipatikana kina Theodore na Franklin Roosevelt, wazawa wa wahamiaji kutoka Neatherlands pamoja na ubabe wa hiyo system.

Baada ya hapo matakwa ya wakati yaliruhusu achaguliwe John Kennedy( mkatoliki) na hatimaye Barrack Obama(mweusi na mkatoliki pia) na Donald Trump(mzawa wa wahamiaji kutoka Ujerumani).

Obama, kwa zaidi sana ni mfano mzuri wa jinsi matakwa ya wakati yanavyohitaji kuzingatiwa zaidi na hiyo system yetu yenye mkono wake katika kumsimika kiongozi mkuu wa nchi, kuliko kuangalia makundi ya watawala na watawaliwa au matajiri na masikini.

Niamini mkuu. Sina haja ya kukunanga lakini kwa maoni yako niliyoyanukuu, ungeweza tu kufupisha mada yako kwa kusema Lissu hafai kuwa
raisi wa JMTZ kwasababu hajazaliwa kwenye kundi la watawala.

Angalizo: Trump ni zao la makundi zaidi kuliko mahitaji ya wakati. Ona alivyotokea kuwa raisi wa ovyo!

Linganisha na Obama: mweusi, mzawa wa mhamiaji kutoka Afrika Mashariki. Na bado amekuwa mmoja wa maraisi bora kuwahi kuiongoza Marekani.
 
Mweleze mama yako
 
Tuacheni Utani,

Huyu huyu Lissu ndio aje ashike uongozi wa nchi? Kama mgombea anaetegemewa ni Lissu kiukweli nikupoteza muda tu naamini chadema itakuja kushinda uraisi baada ya miaka 50 ijayo maana sioni kauli za kiuongozi kwa mtu kama Lissu.

Magufuli atashinda saa mbili asubuhi bila tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…