Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Raisi wa taifa huandaliwa na nani? Systeme ipi haiwezi kumkubali? Kama hayo ulosema yapo kwa nini msiwaandae mapema na systeme imkubali mapema kuliko kuwaacha watu wakapoteza gharama zao mwisho wa siku akishinda hamumpi madaraka?
tulia afu utulie nisome kwa makini then urudi tena
 
Roho yangu inagoma kumuona Lissu kama mtu anayefaa kuwa rais. Si kila mpizani mkuu anastahili awe rais, hata kule UK Jeremy Corbin pamoja na kusababisha Brexit itokee hakuchaguliwa ili aifanikishe badala yake akachaguliwa BJ. Si kila mtu ana uwezo wa kuongoza mamlaka kuu ya nchi, wengine wabaki wakiwa radicals.
 
Mkuu ingependeza kama ungeweka taarifa za wagombea urais jamvini nasi wananchi tukawafahamu ili tuweze kufanya maamuzi sahihi tusipoteze muda bure kupanga foleni kupigia kura wasiostahili. Najiuliza tu kama vetting ya kihivo inafanyika kwa nini tunaletewa kuwapigia kura wasio kuwa na sifa zinazotakiwa. Hawaoni kama tunatumia vibaya rasilmali za taifa letu?
 
upinzani wakiweza kuweka mtu sahihi watatoa upinzani kwa chama tawala
lakini kwa style hii ya kuangalia umaarufu wa mtu NO ndo maana nasema sio kila mtu anaweza kua raisi wa JMT
wakiweka mtu safi mwenye historia safi wataweza siku1
 
upinzani wakiweza kuweka mtu sahihi watatoa upinzani kwa chama tawala
lakini kwa style hii ya kuangalia umaarufu wa mtu NO ndo maana nasema sio kila mtu anaweza kua raisi wa JMT
wakiweka mtu safi mwenye historia safi wataweza siku1

Jaribu kuwachagulia mtu safi mwenye historia safi ili umpe urais
 
Ngoja ni kuambie kitu wewe machina shiu hang
Mfumo wa chama Cha chadema hauruhusu raisi kuwa na nguvu kubwa Kama ilivyo ccm Sasa, raisi ni muhili mmoja tu wa serekali, Magufuli anaamka asubuhi anabuni mradi wa trillion sita, bila hata kushirikisha bunge,

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mimesoma sana sjiona mtu alisema imeshushwa na flani ww mtaje unaogopa nini?tuelimishe
hujaona jinsi watu wanavyomahambulia magu humu?
unaitaji miwani nkuchangie?
 
tehteehh jifunze kwanza lugha😁😁
jifunze kutofautisha chama na serikali
 
No one qualifies to rule another
 
Hovyoooooo! Kumbe hoja ni ile ya " mabeberu na majike" Tanzania yoyote aweza kuwa rais. Hakuna vya system, "Tanzania rais ndo system yenyewe"
 
Reactions: BAK
Tundu lisu hajihangaishi mitandaoni bali wapenda amani upendo usawa ndiyo wanakomaa mitandaoni kuongelea vingi muhimu vya msingi juu ya Tundu Lisu, wewe una chuki binafsi dhidi ya Lisu umeamua kutengeneza hiki kisingizio cha ajabu ukizani watu ni wajinga watakiamini kiwepesi ni mjinga pekee anaweza kukaa kuamini maneno yako, Tambua watanzania siyo wajinga hata magufuli alishakiri watanzania wanajua vingi kuliko nyinyi watengeneza propaganda za CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…