Uchaguzi 2020 Ukweli mchungu kwa Lissu, sio kila mtu anaweza kuwa Rais wa JMT

Hovyoooooo! Kumbe hoja ni ile ya " mabeberu na majike" Tanzania yoyote aweza kuwa rais. Hakuna vya system, "Tanzania rais ndo system yenyewe"
asante kwa matusi.
kwa maana hiyo anaweza kufanya chochote ata kujiongezea muda au kujiamulia kujenga ikilu sayari ya mars? maana ye c ndo system😁😁😁

kwa style hiyo nchi mtaiskia kwe bomba
 
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzani ni kipi kibaya zaidi hapo?
Ubongo wako umejaa funza na minyoo. Wanaopigwa risasi ni akina nani? Huyo Lissu kupigwa risasi na Chadema kama alivyosema Dk Mollel ndio unaisingizia serikali? Mbona hakuna mbunge mwingine zaidi ya huyo mliemshambulia?
 
Changudoa wa malunde mpaka kufika October lazima utawasingizia wenge mimba maana uchangudoa wako hauchagui
 
Ubongo wako umejaa funza na minyoo. Wanaopigwa risasi ni akina nani? Huyo Lissu kupigwa risasi na Chadema kama alivyosema Dk Mollel ndio unaisingizia serikali? Mbona hakuna mbunge mwingine zaidi ya huyo mliemshambulia?
Tokea lini changudoa akawa na akili? Wewe huna Akili na saa 24 upo gheto unawezaje kujua mwenye Akili
 
asante kwa matusi.
kwa maana hiyo anaweza kufanya chochote ata kujiongezea muda au kujiamulia kujenga ikilu sayari ya mars? maana ye c ndo system😁😁😁

kwa style hiyo nchi mtaiskia kwe bomba
System hufuata chaguo la wapiga kura hakuna system inapingana na chaguo la wapiga kura
 
Reactions: BAK
Matusi gani hayo? Manake sikuhizi hata uzalendo umebadikishwa maana Yake. Lakini pia huwa tunasikia matusi ya viongozi kwa wanao waongoza,au hayo huwa huyasikii?
 
Reactions: BAK
asante kwa matusi.
kwa maana hiyo anaweza kufanya chochote ata kujiongezea muda au kujiamulia kujenga ikilu sayari ya mars? maana ye c ndo system😁😁😁

kwa style hiyo nchi mtaiskia kwe bomba
Huo ndo ukweli kwa Tanzania. Aliyeko madarakani hudictate kila kitu. In short ni hadibitiki.
 
Wewe ni nani hadi UHITIMISHE kwamba Lissu hawezi kuwa Rais? Huo utafiti wako uliufanyia wapi na sample yako ilikuwa na ukubwa gani? Acha kuja na dhana potofu bila ya kuwa na CONCRETE EVIDENCE ya UPUUZI wako.

Huu ni uthibitisho kichwa kiko full minyoo,konyagi na bangi.
Wewe ni changudoa huna lolote sasa ukija kifala fala nakupeleka unavyotaka huu ni uthibitisho kuwa wewe ni full changudoa wa siasa na mvuta Bangi
 
Wewe ni changudoa huna lolote sasa ukija kifala fala nakupeleka unavyotaka huu ni uthibitisho kuwa wewe ni full changudoa wa siasa na mvuta Bangi
Weka uthibitisho wa idadi ya wabunge waliopigwa risasi. Na wale waliobambikiwa kesi bila makosa. Minyooo ya Chadema inayohitaji kupatiwa dawa.
 
Tanzania sio kisiwa, yaliyotokea Malawi bado yanawashangaza wengi.
 
Weka idadi ya wabunge waliobambikiwa kesi na uzitaje kesi zenyewe. Pia idadi ya wabunge waliopigwa risasi. Tofauti na Lissu ambaye Dk Mollel anajua mlichofanyia.
Tokea lini mvuta Bangi akapewa takwimu? Akili huna unawezaje kujua idadi? Kipimo cha umbumbumbu ni kuamini ujinga wa Dr kilaza molel, ikiwa unamwamini mtu juha zuzu kama molel hushindwi kuacha kuamini ukweli juu ya uonevu wa CCM kwa wapinzani
 
Dr Mollel ni kilaza? Ccm inaonea wapinzani? Weka uthibitisho.
 
Unaongea kama mtu wa ndani au anayeamiliana na watu wa ndani.

Ukweli mchungu tafakuri zangu zinanipelekea kuamini CCM ni zaidi ya chama cha siasa.

CCM ni chama chenye muundo ambao uko So attached na system kiasi cha kutowezekana kuvitenga viwili hivi.

Yaani ukitaka kuung'oa mmbuyu mkubwa lazima uandae kifusi cha kufukia shimo Hilo na pia uandae cha kuufanya mmbuyu huo.

Mwl alinena kwamba upinzani wa kweli utatoka CCM na nadhani kwa factor hizo hapo juu lipo la kufikirishaa.

Zile njama za 1964, 1980 zilimfunza Mwalimu namna ya kuitengeneza CCM imara na CCM imara haina budi iwe attached na vyombo vya ulinzi na usalama.

Ni mtizamo tu.
 
Weka uthibitisho wa idadi ya wabunge waliopigwa risasi. Na wale waliobambikiwa kesi bila makosa. Minyooo ya Chadema inayohitaji kupatiwa dawa.
Minyoo nipo tumboni mwako nimekutia njaa ukaamua kufanya uchangudoa upate kula hapo gheto kwa cyprian Musiba, uthibitisho hupewi wewe mvuta Bangi changudoa, uthibitisho wanapewa wajenga hoja CCM wenzako wenye Akili, wewe endelea kuvuta Bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…