Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

Kwa hili ndugu umeongea facts. Haya ndi masuala yanayoitwa short term and long term measures.
Hakuna facts zozote hapo ni hallucinations tu.

Unalinganisha sponsorship na Assets value una akili au matope ?
 
Nyie mijitu ni ya ajabu na mna mawazo ya kifukara sana,mwanzoni mlikuja na hoja ya kuwekwa bil 20,mmeona imewekwa mnasema haitoshi mbona una roho ya kichawi sana ambayo haina shukrani wala huruma yaani jana mtu kaweka hela leo mnaanza nongwa,kwa hiyo unafanya wataalam wa simba waliokaa na kufanya evaluation ya club na wakasema club ina thamani ya bil 20 ni wajinga na mpaka sasa imeshawekwa bil 41,acheni hizo.
 
Simba na Yanga ni bidhaa zenye thamani kubwa sana. Hata kama una njaa haifai kula chakula kwa pupa tena kwa mikono michafu.
Hiyo thamani mbona haikuleta tija miaka yote hiyo au thamani ni kuwaneemesha watu wachache na timu iwe ya hovyo?
 
Wakati ukisubiri majibu, naomba unitafutie Shamba la kukodi au kununua huko nataka nilime mahindi mwaka huu.
Wako, MwanaSimba mwenzio wa huku vijiji vya ndanindani wilayani Chunya.
Mashamba ya kununua yanapatikana wapo madalali kama unahitaji nitakuunganisha na dalali maarufu hapa kijijini.
Ila si kushauri ulime mahindi maana gharama za uzalishaji wa mahindi ni kubwa kuliko bei ya kuuza huku niliko bei ya mahindi 23elfu kwa debe 6 za mahindi.
Miye nimevuna tugunia twangu 150 nasubiri ikifika hata 30elfu niuze tu ilimradi nirudishe gharama za uzalishaji
 
Umeeleza ujinga wa kiwango cha juu sana,mnafanya jukwaa la sports lionekane limejaa wapumbavu,hujui chochote kuhusu hisa!sijui kwann ma-layman wa kimakonde mnapenda sana kutumia kiingereza uchwala ili muonekane mnajua sana,yaani watu waliosoma masuala ya biashara na uwekezaji wakisoma utumbo wako huu lazima watapike.
Ulivyo popoma unalinganisha uwekezaji na udhamini!! Sijui ulisomea wapi kuwa thamani ya uwekezaji lazima izidiwe na udhamini?!! Kitu kama hujui afadhali uulize wajuzi watoe darasa kwa faida ya wengi! Kila mara unafungua nyuzi kwa kubadili ID lakini unaandika ujinga,wewe mnyamwezi ni mpumbavu sana
 
Thamani ya Simba inatokana na wao kufika Robo Fainali au kutokana na assets zake?!

Kwa mawazo yako, unadhani Mo kalipa 20 Billion kutokana na thamani ya Simba ndani ya uwanja au nje ya uwanja?
Nachotaka kujua hivi akiweka hizo bil.20 zinaenda wapi na kwa ajili ya nini?
 
Huu mkataba wa Mo na Simba hata hujauelewa. Tuache kukurupuka. Kila kinachofanywa na Simba lazima mkosoe, lakini utopolo mko kimyaa. Mna roho za kichawi.
 
Waliopigwa ni wakina nani? Kwani Simba ni mali ya nani? Kama ni ya wanachama, je Mo nae sio mwanachama,kama ji mwanachama kuna tatizo gani? Wewe ulitaka nani ndo awe mwekezaji zaidi ya makanjanja wa kutunisha matumbo yao bila kufanya la maana?
 
Mifumo ya "wanachama" wa kuendesha hizi club umezifanya zikashindwa kuweka utaratibu mzuri wa kuendesha mambo yake. Tujiulize maswali kadhaa hapa.

Je hawa wanaoitwa wanachama wamekuwa wakiziendesha clubs kwa michango yao au bado wamekuwa wakitegemea "hisani" za watu wengine?
Je kwa mfumo wa wanachama, kila mwanachama ana haki sawa ya kuchangia na kuhurahia mafanikio ya hizi clubs? Kama ndiyo, motisha gani itamfanya mwanachama wa simba akadhamini clubs zaidi ya kiwango chake cha uanachama?
Kwa miaka kibao ambayo clubs hizi zimekuwa zikiendeshwa kwa mfumo huo zinaweza kujivunia nini ambacho wanachama wamefanya? Ukifuatilia utakuwa zaidi ya mejengo (ambayo nayo inawezekana ilikuwa hisani ya mtu/watu) hakuna kingine walicholeta wanachama. Hapo katikati club ya yanga iliwahi kuitwa inatembeza bakuli kuomba michango kwa wanachama na wapenzi lakini haikufika popote.
Ni kweli thamani ya simba inazidi bilioni 40.8 lakini, wakati MO akitoa ofa ya 20bn kulikuwa na counter offer yoyote? Si ni wanachama hawa hawa waliridhia kwa kura wampe timu?

Kinachoenda kuendelea sasa ni kwamba simba itaendeshwa kama taasisi na ikimilikiwa na MO kwa 49% na 51% kwa wanachama wengine(sijajua kama na wao watakusanya hizo bilions zingine waziweke kwa club)
Lakini tukumbuke kwamba sasa MO ataisimamia simba kama taasisi yake na hatakubali ifie mkononi mwake kama mwekezaji mkubwa
Na kwa kuanzia ni kuweka mifumo sawa ya uendeshaji na kutambulika kwa madeni na mali halali za simba.
Hivyo naamini thamani ya simba itapanda zaidi. Ma kuipa uwezo wa kuingia mikataba mingine mikubwa zaidi ya huo wa matangazo wa yanga tv.
Natamani pia kusikia uwazi utakaofanyika upande wa pili, nachoweza kusema ni kwamba huko wataalika wawekezaji wengi zaidi ambao ndiyo wanaweza kupelekea kuchelewa kufikiwa kwa muafaka wa maamuzi mengi.
All in all, wakati tukiwa tunauliza maswali mengi lakini tuwapongeze Mo na simba kwa kufikia hatua hii
 
Well said.
 
Hii elimu ya hisa fans wa simba hawana kabisa! Ukisoma comments zao utasikia sisi tunachotaka ni ushindi tu

Wewe elimu uliokuwa nayo ya hisa umeisaidia nini timu yako utopolo?
 

Umedadavua vizuri sana natumaini mashabiki wa utopolo watapitia hapa
 
Brazaaa achana na hesabu za matikiti..pesa ya kidogo kidogo kwa kawaida hua nyingi kuliko ya mara moja mbona kama hizi ni basics tu katika biashara yyte au ndo kujitoa ufahamu
Hebu fafanua... nimeamisha magoli kivipi?
 

Unajua wengi wanadandia treni kwa mbele ni wale wapigaji ambao mwanzoni walikubali hisa 49 % ziuzwe kwa Mo na wakijua mo ataweka pesa fasta na upigaji uanze lakini ndani ya simba na kamati ya mabadiliko kuna watu makini sana wale makanjanja wote tukafutilia mbali ndio hao wanatumia wachambuzi/waandishi uchwara kuchafua hali ya hewa lakini hakuna jipya ambalo litabadilikq sisi tunachanja mbuga
Haturudi nyuma kamwe
Nimsikiliza kipindi cha michezo Uhuru fm wale waandishi [emoji706][emoji706][emoji706] ina maana mpaka simba tunamua mo apewe hisa 49% je hakuna semina iliofanyika?
Wameishia oooh yanga walifanaya semina na wzee wakaelezwa ila upande wa pili ilikuwa sio wazee wamewekwa pembeni sasa kama wazee wameridhia muda tu na kukaa kimya mbona hatuwaoni wakilia lia mitandaoni kama kina mzee mpili au shida yao waone watu wakichafua hali ya hewa dhidi ya hisa 49%?
Kwa ufupi tu watanzania tun roho za umaskini uharibifu chuki husda
 
Hii elimu ya hisa fans wa simba hawana kabisa! Ukisoma comments zao utasikia sisi tunachotaka ni ushindi tu
Hata nyie nyani hamna ila mko kuikosoa Simba kwani uwekezaji wa Mo umewaumiza kwa miaka minne hii na inaelekea mtaendelea kuteseka kwani msomali anawageuza geuza kama chapati na mwisho wa siku mnaishia kumbeba.
 
Na pia kumtetea huyo Moo! Ukitaka wakutukane na kukukejeli, basi wewe mguse tu Moo uone!!

Ila Rage alisha watambua kitambo na ndiyo maana aliwaita mbumbumbu.
Na Luc aliwatambua na kusema nyie ni 'uneducated', mko kama mbwa koko na nyani mnachoweza ni kuzomea zomea tu.
Shida kubwa kwa Utopolo ni jinsi uwekezaji wa Mo ulivyowanyong'onyesha kwa miaka minne hii. Kwa utopolo wenu huu mtateseka sana. Jiandaeni kwenda kupokea wachezaji vimeo wanaokuja wiki ijayo.
 
Kwanza aliekwambia hiyo bilioni 20 itaisha nani ile hela haitumiki imewekwa kama mtaji kwenye account maalumu
 
Ujue pia Mo na Azam ni bitter rivals kwenye biashara, ni dhahiri dili nyingi za Azam kwa Mo zitapita kwa Mbinde.

Point kubwa hapa ni Azam kutaka kubalance Simba na Yanga,hapo kaambiwa haiwezekani,anaihitaji sana Simba aweke dau kubwa zaidi.Nnje ya hapo acha tubaki na Mo anatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…