Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

Mtoa keshasema hiyo ni furaha ya muda mtu, maumivu yake mtayafeel huko mbeleni, Mo alijua shida yenu ushindi akajiingiza kwenye upangaji wa matokeo ili kuwanyamazisha, mjumbe wenu wa bodi akiyejiuzulu katuambia kilichokuwa kinafanyika

Nikadhani Yanga mlioko hapa ni wazuri wa kujenga hoja zaidi kuliko wale wa Instagram,kumbe ni wale wale tu.Yani unaamini katika hizo blah blah za “kupanga matokeo” ? Kwamba Mo alijiimgiza hadi CAF kupanga matokeo.Mkuu wewe ni zaidi ya wale kule Instagram,hebu leta hoja zenye mashiko hapa.
 

Umemaliza yote Mkuu,mwenye masikio na asikie
 
Daaa Watanzania tuna akili ndogo Sana.
Yaaani unamfananisha mpumbavu aliyeuza nusu ya shamba lake milele kwa 20B na mwelevu aliyeamua kuruhusu watu watumie robo ya shamba lake kuingiza kipato kwa miaka 10 kwa 38B.
 
Daaa Watanzania tuna akili ndogo Sana.
Yaaani unamfananisha mpumbavu aliyeuza nusu ya shamba lake milele kwa 20B na mwelevu aliyeamua kuruhusu watu watumie robo ya shamba lake kuingiza kipato kwa miaka 10 kwa 38B.

 
Brazaaa achana na hesabu za matikiti..pesa ya kidogo kidogo kwa kawaida hua nyingi kuliko ya mara moja mbona kama hizi ni basics tu katika biashara yyte au ndo kujitoa ufahamu
Umeangalia posts zangu na ukajiridhisha kuwa ulichoandika ndicho hasa ulitakiwa kunieleza kwa kuangalia posts zangu?!
 
Waliopigwa ni wakina nani? Kwani Simba ni mali ya nani? Kama ni ya wanachama, je Mo nae sio mwanachama,kama ji mwanachama kuna tatizo gani? Wewe ulitaka nani ndo awe mwekezaji zaidi ya makanjanja wa kutunisha matumbo yao bila kufanya la maana?
Wacha wee!
 

Hakuweka amechelwa, Sas ndo ameamua kununua wakati thamani imepanda sana. Je Thamni ya hisa za Simba hazijapanda kwa hii miaka 3 ?
 
Hebu weka value ya Yanga mwaka 2016 na ya Simba pia weka na value ya Yanga TV kwa mwaka huo

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Kwenye biashara ya Hisa, Inaangaliwa wakati unazilipia hizo Hisa ni je Value ilikuwaje. Valuation ya mwaka 2016 inakuja kulipiwa mwaka 2021. Serious!!!!!!.
 
Wewe umesoma kimhemk zaidi. Mimi sijalinganisha makundi wala sijashindanisha Yanga na Simba. Nimecompare Rights za Yanga Tv na Value ya Simba Sc.

Mo anaweza kuwa na Pesa kuliko waTz wote. Wingi wa pesa za Mo hazireflect utajiri wa Simba. Tufahamiane hapo!!!
Mpaka sasa kibiashara inafahamika Simba Sc Worth 40.8 Billions , Na imenunuliwa Hivyo.
Ukiitaka ya Yanga Sc bado haijulikani. Wakitangaza kuwa wanauza Shea kwa 200B basi wao ndo wana Thamani kubwa kama klabu.
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu kumbuka leo tajir wetu ametuaidi ubingwa wa Afrika wa kwenu ameaidi wa ndondo na umemshinda.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Huyo Siyo Tajiri yenu ni MWANAHISA mwenzenu kama wewe ni mwanachama.
Hii ni ndoa ina TAMU na CHUNGU. Kwa sasa mpo kwenye HONEYMOON. Ikifika wakati wa Chungu mtayakumbuka haya wakuu
 

Ushawahi kufikiri MO akifarikia ghafla, maana ni mwanadamu.

Mrithi wake atakuwaje?.. Bado 49% itakuwa kwa warithi wake na Uenyekiti wa Bodi utakuwa wao. Mtafanya nini?. 20B imekata. Mtawafosi wasajili kwa lazima wakati haipo kwenye mkataba wa mauso ya hisa. Kumbuka hapo kila Dili likiingiza Hela au mkataba wa udhamini, familia nayo inamega 49% yao
 
Hii elimu ya hisa fans wa simba hawana kabisa! Ukisoma comments zao utasikia sisi tunachotaka ni ushindi tu
Yanga wenye elimu wako wapi? Ikiwa kushiriki kimataifa hadi wabebwe.
 
Wewe ni chizi wanahisa hawagawani mtaji wanagawana faida tu
 
Yanga wenye elimu wako wapi? Ikiwa kushiriki kimataifa hadi wabebwe.
Umemsikia Ghalib? Anakwambia thamani ya yanga ni 60bn to 200bn, simba wabaki na nafasi yao ya 10 Afrika, na yanga ya 80, ila yanga inakuja huko kwenye 10 kwa kishindo, alijibu kijembe cha moo akiweka tu bn 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…