Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu


Wenzetu walijifungia Chumbani na mnunuaji akapanga Bei yake , mkiongea anasema 20B ni nyingi sana, anawza hata kuanzisha Benki. Kwa nini isitangazwe waje wanunuaji wengine wapande Dau ?

Kwa nini 49% kachukua zote kwa kubuni vikampuni vya uwongo viwili?

Hoja yangu ni kama uhtaji wa B20 , mbona unapatikana kwa Rights za TV tu ?

Mkataba wa Kununua Simba kwa Mo kunampa haki zingine za kibiashara kama Matangazo mengi mpaka kwenye TV ya Klabu. Je anawapa kiasi hiko nje ya 20B?. Simba ina utajiri gani wa kukataa 41B in ten years wakati imeburuzwaburuzwa na kukubali kuuza nusu ya timu kwa 20B zaidi ya hiyo miaka 10?

Ndo maana nikasema ni UPUMBAVU
 
Reply
Mkataba wa Kununua Simba kwa Mo kunampa haki zingine za kibiashara kama Matangazo mengi mpaka kwenye TV ya Klabu. Je anawapa kiasi hiko nje ya 20B?.
Mkuu, inaelekea bado unachanganywa na vitu viwili: matangazo ya biashara na matangazo ya mechi. Azam TV anahitaji kununua haki ya matangazo ya mechi. Haiizuii timu kuwa na matangazo ya biashara kwenye jezi. Mo ameweka matangazo ya biashara zake kwenye jezi, na si kwamba amenunua haki ya kurusha matangazo ya mechi (kwanza hana TV station)

Nadhani hiki kitu kilikukoroga tangu mwanzo hadi ukaanzisha uzi. Lakini pia inawezekana umeelewa kuwa ulikuwa unalinganisha viti visivypaswa kulinganishwa, ila unashindwa tu namna ya kuufunga uzi wako
 

Nakurekebisha. AZAM Hawajataka haki za kurusha matangazo ya Mechi , Wametaka Rights za Televisheni za klabu.. JIRIDHISHE NA HILO KWANZA HALAFU UJE UANDIKE UPYA
 
Nakurekebisha. AZAM Hawajataka haki za kurusha matangazo ya Mechi , Wametaka Rights za Televisheni za klabu.. JIRIDHISHE NA HILO KWANZA HALAFU UJE UANDIKE UPYA
Je, hilo linazuia klabu kuwa na matangazo kwenye jezi? That's my issue here, nasubiri ujibu
 
Mo amesema hawezi kukubali mkataba wa Azam kwa sababu Simba ina mashabiki wengi kuliko Yanga kwa kauli hii inaonyesha kuwa hata pesa aliyolipa yeye hailingani na thamani ya simba na pia ile mikataba anayoingia na Simba kutangaza bidhaa zake za milioni 200 anawaibia Simba kwani mikataba haiendani na thamani halisi ya Simba.
 
Wewe unao mkataba wa ununuzi wa hisa kati ya Simba Holding na Mo ?
 
Je, hilo linazuia klabu kuwa na matangazo kwenye jezi? That's my issue here, nasubiri ujibu

Haizuii , sasa kwa nini Mo Amekataa 41B kwa ajili ya rights za Simba TV tu tena kwa miaka kumi akidai ni ndogo. wakati yeye kahodhi 49% ya rights zote za Simba SC tena maisha na siyo miaka kadhaa halafu kwa kuipa klabu thamani ya jumla ya 40.8B. Kama Simba ilihitaji 20B kujiendesha, si wangetalk na AZAM ili kutorisk kuuza timu kizembe
 
Wewe unao mkataba wa ununuzi wa hisa kati ya Simba Holding na Mo ?

Swali Zuri,
Wanachama tuliokaa mkutano mkuu kupitisha mo apewe timu au lah , na si tufanye Transformation au lah , Je wanao Mkataba au wanashadadia tu ushindi.

Kama wanao basi na wewe unao, Kama hawana itakuwa KITUKO CHA MWAKA.
 
41 B kwa Simba TV tu tena kwa miaka 10 tu ni Ndogo

20B kwa 49% ya Simba SC yote tena kwa miaka zaidi ya 50 ni sawa.

Huu ni wendawazimu wa kiwango cha Lami
 
Swali Zuri,
Wanachama tuliokaa mkutano mkuu kupitisha mo apewe timu au lah , na si tufanye Transformation au lah , Je wanao Mkataba au wanashadadia tu ushindi.

Kama wanao basi na wewe unao, Kama hawana itakuwa KITUKO CHA MWAKA.
Nimekuuliza wewe
 
In Hajji Sunday`s voice
 
Acha uongo ana hisa Simba kwenye zile 49%
 
Fatma tayar anazo kwenye zile 49 waliambiwa wawe 2
 
Aiseee Sahihi mo Katika hili namuona WA ajabu
 
Kawaulize wauza magazeti ya michezo watakupa jibu kati ya Yanga vs Simba ,nani akiwa kwenye kiwango kizuri anayauza......watakupa jibu.......KwaTz Yanga ni brand kubwa zaidi ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…