Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
- Thread starter
- #121
Sasa naona umejirekebisha kwa kusema thamani ya Yanga haijulikani, ila pale mwanzo ulitaka watu waamini kuwa hela za udhamini ndio thamani ya timu. Kwa sasa thamani ya Yanga haijulikani, na hiyo 200B ikitokea amepatikana mwekezaji akakubali kuweka 200B (kama yupo atakayekubali), hapo ndipo utakapoanza kusema Yanga ina thamani ya 200B. Kwa sasa inatosha kusema thamani ya Yanga haijulikani.
Tena sio suala la wao kutaka kuuza shea kwa bei hiyo, ni hadi ajitokeze atakayekubali kununua shea kwa bei hiyo. Unaweza ukataka kuuza koti kwa sh. laki tatu, lakini mwenzako mnunuaji anaona kabisa halina tofauti na koti la sh, elfu tatu pale Kariakoo. Thamani ya kitu inaamuliwa na mnunuaji, muuzaji ukikomaa utaendelea kubaki nacho
Wenzetu walijifungia Chumbani na mnunuaji akapanga Bei yake , mkiongea anasema 20B ni nyingi sana, anawza hata kuanzisha Benki. Kwa nini isitangazwe waje wanunuaji wengine wapande Dau ?
Kwa nini 49% kachukua zote kwa kubuni vikampuni vya uwongo viwili?
Hoja yangu ni kama uhtaji wa B20 , mbona unapatikana kwa Rights za TV tu ?
Mkataba wa Kununua Simba kwa Mo kunampa haki zingine za kibiashara kama Matangazo mengi mpaka kwenye TV ya Klabu. Je anawapa kiasi hiko nje ya 20B?. Simba ina utajiri gani wa kukataa 41B in ten years wakati imeburuzwaburuzwa na kukubali kuuza nusu ya timu kwa 20B zaidi ya hiyo miaka 10?
Ndo maana nikasema ni UPUMBAVU