Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Kwamba wewe mtoa mada ndio msemaji wa wanachama au? 😆😆..

Mbona alipita kwa kura zote na mbona walimpigania kwenye sakata la Ndugai?

Usiwasemee watu jisemee wewe na njaa zako.
 
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.

Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.

Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.

Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.

Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.

Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.

Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.

2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.

Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.

3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.

4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.

5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.

6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.

Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Sidhani kama atakuwa amekusikia huyu!
 
Kwamba wewe mtoa mada ndio msemaji wa wanachama au? 😆😆..

Mbona alipita kwa kura zote na mbona walimpigania kwenye sakata la Ndugai?

Usiwasemee watu jisemee wewe na njaa zako.
Ndo utakua kua hujui...hizi ni sauti za off mic na vyumbani
 
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
Kuna watu wana husuda, roho mbaya na unafiki sana.
Mtu kuwepo kwenye serikali iliyofanya uonevu siyo kwamba na yeye ni muonevu NO, watu walikuwa wanafuata mdundo wa ngoma unavyolia so hawakuwa na jinsi.

Ndiyo maana wengine mfano aliyekuwa waziri wa Afya mrs. Gwajima mdundo alibadiri gear gafla akafuata huo mpya, kila binadamu ana hulka zake na nini cha kufanya na mnajua kuna wale walokataa kufuata mdundo nini kiliwapata, huyo ndiyo binadamu, mengine itakuwa ni zile tabia zetu za kiafrika.
 
Acha unafki we mfumuko wa bei hajakupfikia we??
TUMPE MUDA MADAM ANAYAONA YOTE NI MIEZI 10 TU,TOKA AWE RAIS WETU,KILA KITU KITAKAA SAWA KUANZIA SUKARI MICHELE UNGA KUMBUKA HUYU NI MAMA,ANAJUA VYEMA KILA KITU.
(Tumpe muda) kidogo.
 
Acha unafki we mfumuko wa bei hajakupfikia we??
Mfumuko wa bei unaujua au unajua kutamka tuu hilo neno?

Bei ya vitu kupanda ni sign pia ya uchumi kukua, uchumi haukui bei zikiwa stagnant Wewe kenge..

Kama kungekuwa na mfumuko wa bei mkubwa unaoathiri uchumi Takwimu za Mapato ya serikali kuongezeka zisingekuwepo .

Wengi wenu NYie ni ma layman you no nothing kwenye uchumi.

Screenshot_20220131-112006.png

Screenshot_20220129-203859.png

Screenshot_20220128-230952.png

Screenshot_20220128-143028.png

Screenshot_20220128-192712.png

Screenshot_20220128-082747.png

Screenshot_20220128-082842.png

Screenshot_20220127-203515.png

IMG-20220101-WA0020.jpg
 
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.

Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.

Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.

Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.

Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.

Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.

Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.

2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.

Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.

3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.

4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.

5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.

6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.

Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.

1643618553672.png
 
Umesema kweli tupu
 
Back
Top Bottom