Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Sema USA wahuni wanaopiga watu silaha bila sababu ni wengi sana.Marekani hakuna usalama wa uhakika ni sawa
Ila nataka nikuambie hakuna nchi yoyote yenye kukupa guarantee ya uhakika wa usalama.
Uganda, Kenya na Saud Arabia zote zimezidiana point moja moja kwenye statics ya Global Peace index.
Saud Arabia ni ya 119
Kenya ni ya 120
Uganda ni ya 121
Hizo zote zimezidiwa na Zambia ambayo ni ya 59.
Kwa maana hiyo tukija kwenye hoja yako ni bora ukaishi Zambia kuliko Saud Arabia.
Mtu anatembea na shoka kwenda malls anafyeka watu.
Incidencies kama hizo kwenye nchi za ulimwengu wa tatu hazipo.