The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hayo unayo yaongea nimesha yapitia na nimesha yaona sana tu,Ukiishi USA wiki moja tuu utabadilika Sana kimuonekano Yani utajiona ulikuwa mchafu na unanuka!!acha kabisa sikia redion ndugu america ni hatari!!
Nikifika south Carolina nikikaa week 13 nilirudi Tz watu wananishangaa!! Wanasema nanukia,natembea haraka nimeng'aaa
Wakati ndege inatua DSM nilijua sisi tuna kazi ya ziada
Tatizo lako unafikiri kila mwana JF yupo bongo,mimi ni mbeba box toka kitambo sana.