Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

Sema USA wahuni wanaopiga watu silaha bila sababu ni wengi sana.

Mtu anatembea na shoka kwenda malls anafyeka watu.

Incidencies kama hizo kwenye nchi za ulimwengu wa tatu hazipo.
 
Sema USA wahuni wanaopiga watu silaha bila sababu ni wengi sana.

Mtu anatembea na shoka kwenda malls anafyeka watu.

Incidencies kama hizo kwenye nchi za ulimwengu wa tatu hazipo.
Ni kwasababu ya uhuru wa raia kumiliki silaha.
 
Ni mawazo yako.Yawekewe gamba gumu yasichakee.
OMBI:Uwe unachagua lugha moja ili tuelewane/tuwasiliane kwa uzuri zaidi.Kireno sikukisoma mimi.
 
Hakuna nchi inayokupa uhakika wa maisha kama USA...Unless umeamua kufurahisha kambi.
Kaote huko unakosema unakaa wote wanasubiri kusikia USA wamesema nini kuhusiana na sheria ya usalama dhidi ya raia wake.
USA wanauwezo wa kutuma wanajeshi 100,000 Kuja kukufuafa wewe raia mmoja.
Suala la Madawa ni wewe kupenda kuvitumia baada ya kuonja utamu wake ukailinganisha na asali.
Suala la silahaa ni wewe kuitumia vibaya, ata huku wanaume tunatumia Dudu wakati mwingine vibaya mpaka tunaangamia.
 
Kabisa mkuu, UK uhalifu sio wa kiwango cha kutisha kama US.....
 
Hata kudhibiti silaha wameshindwa au ndio democracy wanayo ihubiri ?

Mbona kuna mataifa mengi ya Ulaya yapo safe kuliko U.S.A na ya mtindo wa kidemokrasia kama wa U.S.A

Hawaja shindwa ila hawajataka kudhibiti. Kila kitu kinaanzia kwenye sheria
 
Kama us ni dunia ya tatu tz itakua dunia ya ngapi?
 
Siku ukifika marekani utakufa Kwa mshangao!! In short USA is next level!! Utasema Kila siku sikukuu
 
Ngoja nisubiri comments za wamarekani wa Nzega.
Ukiishi USA wiki moja tuu utabadilika Sana kimuonekano Yani utajiona ulikuwa mchafu na unanuka!!acha kabisa sikia redion ndugu america ni hatari!!
Nikifika south Carolina nikikaa week 13 nilirudi Tz watu wananishangaa!! Wanasema nanukia,natembea haraka nimeng'aaa
Wakati ndege inatua DSM nilijua sisi tuna kazi ya ziada
 
Nashangaa Qatar haipo kwenye first world country haha ona California

 
Ndio maana wakaja na mpago wa green card, ku replace garbage na ku attract talents. Wanajua kabisa ni Taifa lisilo na maadili Kwa asilimia Kubwa.

Pia ukirudi kwenye historia, inasemekana Marekani ilianzishwa na vibaka sugu kutoka ulaya, walitupwa huko kama adhabu wakageuza fursa na kuaanza kuwapora ardhi wazawa. Sasa unategemea matokeo tofauti Kwa Taifa lilikoanzishwa na majangiri bunduki lazima zitawale sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…