The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hayo unayo yaongea nimesha yapitia na nimesha yaona sana tu,Ukiishi USA wiki moja tuu utabadilika Sana kimuonekano Yani utajiona ulikuwa mchafu na unanuka!!acha kabisa sikia redion ndugu america ni hatari!!
Nikifika south Carolina nikikaa week 13 nilirudi Tz watu wananishangaa!! Wanasema nanukia,natembea haraka nimeng'aaa
Wakati ndege inatua DSM nilijua sisi tuna kazi ya ziada
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiishi USA wiki moja tuu utabadilika Sana kimuonekano Yani utajiona ulikuwa mchafu na unanuka!!acha kabisa sikia redion ndugu america ni hatari!!
Nikifika south Carolina nikikaa week 13 nilirudi Tz watu wananishangaa!! Wanasema nanukia,natembea haraka nimeng'aaa
Wakati ndege inatua DSM nilijua sisi tuna kazi ya ziada
legeza taratibu za kumiliki silaha hapa kwenu muone kama hamjawa SomaliaNchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake.
Vitu hivi huwezi kuipata Marekani.
Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa. Wanaoneana wivu na husda.
USA to a large extent is a drug infected society ( thanks to Fidel Castro)
Gun culture. Gang culture is a normal thing in the US.
I feel more safety in Kigali or Saudi Arabia than in the US.
Marekani a first world country? I'm terms of development of infrastructures yes but not in terms of social life.
what about technology? No ! Why? USA technology is a polluting technology.
Polluting technology is close to no technology at all.
Technology must be non polluting for it to be called technology.
# USA is a third world country
Nakuhakikishia siku ukipelekwa Moscow, Beijing, Tehran, Riyadh au Pyongyang ukapewa kazi nzuri ya Ofisini unayolipwa mshahara mara mbili wa huo wa kubeba box bado utalilia urudishwe States tu uendelee kubeba box.Hayo unayo yaongea nimesha yapitia na nimesha yaona sana tu,
Tatizo lako unafikiri kila mwana JF yupo bongo,mimi ni mbeba box toka kitambo sana.
kwahiyo malengo yetu Afrika ni USA ni kuwa dunia ya tatu ? kwann hatuwekezi nguv kweny kukosoa ya wetu ili twende mbeleHata kudhibiti silaha wameshindwa au ndio democracy wanayo ihubiri ?
Mbona kuna mataifa mengi ya Ulaya yapo safe kuliko U.S.A na ya mtindo wa kidemokrasia kama wa U.S.A
panyaroad wanavunja nyumba 10 kwa mapanga tu , hlf hawashikwi ila mtu anaangaika na usalama wa marekanMbona ndugu zetu wote waliopo marekani bado wapo hai? Kuogopa kifo ni ujinga you need to live like no tomorrow
kwann tusikemee mauaji ya panyaroad mpk sasa huko kiwalan , yombo yote , temeke , vingunguti bado hali si shwar , media zipo kimya zinatangaza ushoga na mapinduz ya nchi za magharib , baadae tunamlalamikia USA kwa ujinga wetu
sio bomba mapanga mpk mtu anakufa , mpk ss panya road wapo maeneo meng mjin ila media zetu hazitak kurepot , juz kuna jamaa mbagala kapigwa pangaUnabidi kuwa calm hata hapa Tz watu wengi wanakula bomba
Huu ujinga mnaoaminishana humu sijui huwa mnaupata wapi. Bufa njoo uone watu wako mzee.Watu wanalala nje. Gharama za afya na elimu ya juu hazishikiki. Ni dunia ya tatu iliyochangamka.
sisi tuna matukio meng na hatumilik silaha , je tupo salama ?Naona unabadili gia angani.
😀😀
shida ukifika USA kuacha yaliyokupeleka na kuanza kuhangaika na wenyejShida demokrasiA
kwasabab ya huku kwetu serikal hawatak habar zinazowalenga kuwatangaza hovyo hovyo , habar km hizo zinalishushia hadhi jeshi la polis , na viongoz wetu huzuia zisitangazwe mf huko vingungut panyaroad wapo miaka ming na bado wapoNi kwasababu ya uhuru wa raia kumiliki silaha.
Mkuu usiongee vitu usivyovijua kwa kufuata tu akili yako inawaza nini ukafikiri wote watawaza kama uwazavyo wewe,nimepita nchi nyingi sana katika kujitafuta,so naongea ninachokijua,Nakuhakikishia siku ukipelekwa Moscow, Beijing, Tehran, Riyadh au Pyongyang ukapewa kazi nzuri ya Ofisini unayolipwa mshahara mara mbili wa huo wa kubeba box bado utalilia urudishwe States tu uendelee kubeba box.
Marekani haijajengwa katika misingi ya Ukristo bali katika msingi imara wa kutenganisha serikali na dini/kanisa/Ukristo kipindi hicho.Nadhani ni kwa sababu ya kuvunja misingi ya Ukristo iliyojengwa na Waasisi wa Taifa hilo kubwa akina George Washington,slogan yao ya "In God We Trust" haina maana tena! Kwa sababu ya kiburi Taifa limeruhusu Ushoga, kutoa mimba, Ubaguzi na Mauaji, nk kuna kitu tena hapo?
Kwahiyo vingunguti panyaroad huvamia shule na kufyeka wanafunzi mapanga.kwasabab ya huku kwetu serikal hawatak habar zinazowalenga kuwatangaza hovyo hovyo , habar km hizo zinalishushia hadhi jeshi la polis , na viongoz wetu huzuia zisitangazwe mf huko vingungut panyaroad wapo miaka ming na bado wapo
Huu ujinga mnaoaminishana humu sijui huwa mnaupata wapi. Bufa njoo uone watu wako mzee.
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
My be ever there leadership is the third class leadership except that of Mr.Trumpet😂😂😂Nchi ya dunia ya tatu ni nini? Nchi ya dunia ya tatu ni nchi yoyote ile isiyo na usalama wa uhakika( wa kutosha ) kwa raia wake na watu wote wanao ishi ndani yake.
Vitu hivi huwezi kuipata Marekani.
Marekani hakuna usalama wa uhakika. Hakuna utu. Watu wanauana kwa sababu za kijinga kabisa. Wanaoneana wivu na husda.
USA to a large extent is a drug infected society ( thanks to Fidel Castro)
Gun culture. Gang culture is a normal thing in the US.
I feel more safety in Kigali or Saudi Arabia than in the US.
Marekani a first world country? I'm terms of development of infrastructures yes but not in terms of social life.
what about technology? No ! Why? USA technology is a polluting technology.
Polluting technology is close to no technology at all.
Technology must be non polluting for it to be called technology.
# USA is a third world country
Nawafahamu wengi wa mfano wako.Mkuu usiongee vitu usivyovijua kwa kufuata tu akili yako inawaza nini ukafikiri wote watawaza kama uwazavyo wewe,nimepita nchi nyingi sana katika kujitafuta,so naongea ninachokijua,
halafu unatumia neno "Nakuhakikishia" yani wewe unihakikishie feeling zangu au matakwa yangu? How comes?