Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

Mtoa mada hata Leo ukiambiwa uchague pa kwenda hapa duniani ........lazima utachagua marekani..........ndio utajua kuwa mavi uyanyayo hayaumi hata unye kimba kama goti
Huijui constipation wewe
 
Hivi hawa U.S.A wameshindwa kabisa kufanya watu wake wasitumie madawa ya kulevya ?

Wakajifunze Singapore Lee Kuan Yew alisema nini ukidakwa na madawa ya kulevya Singapore
drug ni biashara ya the elite class WA taifa la marekani. ni ngumu kufikia tamani.
 
Hakika ccm imeondoa akili za watanzania wengi.
 
Wabongo bwana ujinga ujinga tu ndio ujanja et

Kwahiyo ulimwengu wa tatu ni nchi kutokuwa na usalama? basi Tz ni ulimwengu wa kwanza si ndio????
 
Wakati ndo nchi mnayokimbilia kwenda, ukiwa mjinga unajiona mjanja dah
 
Napenda kukuhakikishia ujumbe huu utadumu kichwani mwangu mpaka naingia kaburini.
 
Wabongo bwana ujinga ujinga tu ndio ujanja et

Kwahiyo ulimwengu wa tatu ni nchi kutokuwa na usalama? basi Tz ni ulimwengu wa kwanza si ndio????
Sasa kumbe je? We unafikiri maghorofa ndio maendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…