Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

Tundu Lissu ndie mpinzani wa kweli asiyedoa ktk siasa zetu. Ni jasiri, mpambanaji, ana akili, ni mkweli, ni muwazi na ana damu ya kupendwa.

Kila mpinzani anatamani kumuona Lissu akishinda hiyo nafasi.
Wakati kina Lissu wakiwa wapambanaji nyie watanganyika mna mchango gani? Abduli na mchengerwa wamechezea uchaguzi wa serikali za mitaa mkiangalia sana mkiwa busy na ngono...ulevi na mipira!! Watu wanaumia nyie mmekalia zinaa na domo ptuuuh!
 
Tundu Lissu ndie mpinzani wa kweli asiyedoa ktk siasa zetu. Ni jasiri, mpambanaji, ana akili, ni mkweli, ni muwazi na ana damu ya kupendwa.

Kila mpinzani anatamani kumuona Lissu akishinda hiyo nafasi.
Lissu hafai kuwa kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho katika jambo lolite. Ametawaliwa na jazba, dharau na kisasi. Ni mtu anayedhani ana akili kuliko watu wengi, ni dikteta wa kiwango cha Magufuli
 
ni wewe huyu?RBC???
 
Uongo.
 

Overall Chadema inaumwa na hinahitaji tiba. Hawa jamaa bado tuna tumaini nao. Wakijua tu kuoponya ugonjwa wako nao basiii
 
Uko sahihi mleta mada. Sijui kwann chadema wanamng'ang'ania Mbowe awe mwenyekiti? Kwani hayo anayoyafanya Sasa hawezi kuyafanya akiwa mwanachama wa kawaida?

Maana hoja yao kubwa ni kwamba Mbowe ana misuli minene ya kukiendesha chama. Sasa kwani akiwa siyo mwenyekiti fedha itapotea?
 
Ww ndo una akili ndogo na hujitambui, mara ya kwanza umemkataa lissu afu tena unasema yeyote atakayechaguliwa. Kwahy lissu sio mtu ni mbuzi au.

Fala mmoja ww
Mimi kumkataa lissu hakumaanishi box la kura litamkataa!! Mna akili ndogo sana nyie kima!
 
Watu kama kina Yerriko na wengineo wananishangaza sana kwa kupiga vijembe kwa hoja ambazo hatukuzitarajia kabisa. Waige mfano wa Godbless Lema anaejepusha kutoa hoja zinaxoweza kukigawa chama na wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa ujumla.
Sikuwahi kujua kuwa Yeriko ni mpuuzi kiasi hiki.
 
Ufanyike wa haki na uwazi lakini Mbowe asiruhusiwe kushiriki! Seriously ?

Amandla...
 
Bc sema kuwa humtaki na sio kusema hafai, fala ww
Lissu hafai kuwa mwenyekiti huo ndo ukweli mchungu na huwezi nipangia we kima. Kama unamtaka Lissu kampigie kura acha kupoteza muda hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…