Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ni haki yao kuchagua upande na kusema ukweli wao. Kama ambavyo Adolph na yule mama wa Bawacha Mbeya walivyoweka wazi msimamo wao. Hauwezi kutaka kuwa na uchaguzi huru lakini hapo hapo hautaki wengine watoe mawazo yao. Wanaopinga msimamo wa Yeriko Nyerere wana haki kabisa ya kuonyesha amekosea wapi lakini sio kutaka kumnyamazisha kwa kebehi n.k.Mimi mwenyewe nimemdharau sana. Lema hajachagua upande na yuko makini kwenye hoja zake tofauti na Yerriko na Kigaila.
Amandla...