Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Ni haki yao kuchagua upande na kusema ukweli wao. Kama ambavyo Adolph na yule mama wa Bawacha Mbeya walivyoweka wazi msimamo wao. Hauwezi kutaka kuwa na uchaguzi huru lakini hapo hapo hautaki wengine watoe mawazo yao. Wanaopinga msimamo wa Yeriko Nyerere wana haki kabisa ya kuonyesha amekosea wapi lakini sio kutaka kumnyamazisha kwa kebehi n.k.Mimi mwenyewe nimemdharau sana. Lema hajachagua upande na yuko makini kwenye hoja zake tofauti na Yerriko na Kigaila.
Kweli huyu nae kaonyesha udhaifu mkubwa. Wenzao makini wametulia hata kama wana mapenzi na mmoja wa wagombea ila hawaropoki mitandaoni.Mwingine mpuuzi ni Boniyai yaani ni kubwa jinga kabisa.
Ni HAKI yake Mwamba kugombania ila atumie Busara na Hekima.Ufanyike wa haki na uwazi lakini Mbowe asiruhusiwe kushiriki! Seriously ?
Amandla...
Na hapa ndiyo kipimo cha ukomavu wake,tusubiri tuone.Mboe inabid apumzike tuu
Upigaji wa kura kwenye ishu yoyote ile nawaachie nyie muamueLissu hafai kuwa mwenyekiti huo ndo ukweli mchungu na huwezi nipangia we kima. Kama unamtaka Lissu kampigie kura acha kupoteza muda hapa!
Unatuumiza machoⓨⓐⓐⓝ ⓒⓗⓐⓓⓔⓜⓐ ⓚⓘⓤⓕⓤⓟⓘ ⓥⓘⓞⓝⓖⓞⓩ ⓦⓐⓛⓘⓞⓝⓐⓞ ⓦⓐⓝⓐⓞⓝⓔⓢⓗⓐ ⓤⓒⓗⓤ ⓦⓐ ⓜⓐⓓⓐⓡⓐⓚⓐ
ⓚⓦⓐⓘⓨ ⓦⓐⓝⓐⓣⓤⓟⓐ ⓘⓢⓗⓐⓡⓐ ⓢⓘⓢⓘ ⓦⓐⓟⓘⓖⓐ ⓚⓤⓡⓐ ⓨⓐ ⓚⓦⓐⓜⓑⓐ ⓝⓐ ⓦⓐⓞ ⓗⓐⓦⓐⓕⓐⓘ ⓚⓤⓘⓝⓖⓘⓐ ⓘⓚⓤⓛⓤ ⓜⓐⓐⓝⓐ ⓨⓔⓨⓞⓣⓔ ⓐⓣⓐⓚⓐⓨⓔ ⓑⓐⓗⓐⓣⓘⓢⓗⓐ ⓚⓤⓘⓝⓖⓘⓐ ⓘⓚⓤⓛⓤ ⓐⓣⓐⓐⓝⓩⓐ ⓨⓐⓛⓔⓨⓐⓛⓔ ⓨⓐ ⓚⓤⓣⓐⓚⓐ ⓚⓤⓦⓐ ⓚⓦⓔⓝⓨ ⓚⓘⓣⓘ ⓜⓐⓘⓢⓗⓐ ⓨⓐⓚⓔ ⓨⓞⓣⓔ
ⓢⓞ ⓦⓐⓚⓘⓣⓐⓚⓐ ⓜⓐⓑⓐⓓⓘⓛⓘⓚⓞ ⓚⓦⓔⓝⓨⓔ ⓝⓒⓗⓘ ⓦⓐⓐⓝⓩⓔ ⓚⓦⓐⓝⓩⓐ ⓚⓤⓑⓐⓓⓘⓛⓘⓚⓐ ⓦⓐⓞ ✌
Ni muda muafaka sasa kwa MBOWE kustaafu kwa heshima, apishe nguvu/ maarifa mapya yaje kuiondoa CCM madarakani.
Sasa kwa nini wapenda demokrasia katika chama wanataka Mbowe asigombee?Ni HAKI yake Mwamba kugombania ila atumie Busara na Hekima.
Wacha Lissu akifanyie Reforms chama chetu pendwa.
Shida ni kwamba unadhani unajua wakati hujui kituUmepiga U turn 😂
Ni ushauri tu lakini hakuna anayelazimisha Mbowe asigombee.Sasa kwa nini wapenda demokrasia katika chama wanataka Mbowe asigombee?
Amandla...
Yeah. Unaweza kumuona mgombea fulani anafaa na mwingine hafai. Ukatoa maoni yako hadharani. Lakini ukiulizwa ni yupi hasa atakayefaa kuongoza, unajibu kama mdau alivyojibu: anayefaa ni yule atakayepata kura nyingi za wapiga kura.Duh kwel Kiswahili kigumu 🙌
You could be sick!! Huu ndo unyani wenu!! Mnapenda mabadiliko ila mnataka wengine ndo wagharamie mabadiliko huku nyie mkijifunika shuka mnanyonya chuchu!Upigaji wa kura kwenye ishu yoyote ile nawaachie nyie muamue
Jamaa amesema kuwa lissu hafai, Elewa maana ya neno hafai. Tofautisha mtu hafai na simkubali.Yeah. Unaweza kumuona mgombea fulani anafaa na mwingine hafai. Ukatoa maoni yako hadharani. Lakini ukiulizwa ni yupi hasa atakayefaa kuongoza, unajibu kama mdau alivyojibu: anayefaa ni yule atakayepata kura nyingi za wapiga kura.
Hiyo ndiyo demokrasia. Hatimaye (when the chips are down), jibu si kile wewe mtu binafsi unachotaka au kupenda, bali wengi wape. Usipoielewa demokrasia hutaweza kuelewa hilo jibu sahihi.
Hili lime nishangaza kidogo toka kwako.Tukiacha ushabiki Lissu hafai kuwa top notch huko CDM!!
And vice versa. Tena itakuwa mbaya zaidi Tundu Lissu akawa mwenyekiti. Hana ubavu wa kupambana na serikali. Ni mwoga kupindukia. Mkiitisha maandamano akasikia muungurumo wa risasi huwa anapoteza fahamu na kuzinduka akiwa Ubelgiji au Marekani kwa mke na watoto wake. Yeye mguu mmoja uko Tanzania ule mwingine uko Marekani inakokaa familia yake. Afadhali hata ya Mnyika ambaye huwa anasepea kanisani. Mbowe ni jasiri, hakuna anachokiogopa.Huu ndio ukweli mchungu na pia mtakosa uhalali wa kumpinga. Samia au Mtawala mwingine yoyotw ataeamua kubadili katiba ili ajiongezee muda wa kubaki madarakani.
Bado anayo nafasi kupewa heshima, iwapo atafanya maamuzi ya KUSTAAFU sasa.astaafu kwa heshima ipi wakati tayari mumeshamvua nguo? kila kukicha munamvurumishia matusi tu