Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

Anatumia haki yake ya kidemokrasia, muache ashindwe kwenye sanduku la kura
 
Mbowe yuko sawa na wanaccm wengi, huwa hataki kabisa midahalo maana anajua atakutana na maswali yasiyo na majibu. Huwa anapenda kuhutubia tu.
 
Umesema kweli, bi vyema Mbowe akasoma alama za nyakati na kuachia hiyo nafasi, lakini kama anaitaka hiyo nafasi agombee, ila uchaguzi uwe wa haki.
 
Huu uchaguzi mbona umepewa trend sana???
What is the motive behind????
 
Msiwapangie chadema nini cha kufanya
 
Pamoja na Mbowe kuonekana mda wake sasa umepita, Lissu hafai kuwa top notch, hafai hata kidogo. Radicalist as his nature, mkurupukaji as he is, vocalist....

Atafutwe mwingine ila sio Lissu.
 
Lissu hafai kuwa kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho katika jambo lolite. Ametawaliwa na jazba, dharau na kisasi. Ni mtu anayedhani ana akili kuliko watu wengi, ni dikteta wa kiwango cha Magufuli
Lissu for 2025.
 
Pamoja na Mbowe kuonekana mda wake sasa umepita, Lissu hafai kuwa top notch, hafai hata kidogo. Radicalist as his nature, mkurupukaji as he is, vocalist....

Atafutwe mwingine ila sio Lissu.
Nenda wewe.
 
Bado anayo nafasi kupewa heshima, iwapo atafanya maamuzi ya KUSTAAFU sasa.

its too late mkuu, kwa kashfa anazoshambuliwa nazo na washabiki wa lissu mitandano naamini hawezi kurudi nyuma tena. Kosa kubwa la wafuasi wa lissu na yeye mwenyewe ni siasa za matusi kwa Mbowe.
 
Lissu ana deko.... atatishowa nyau kidogo atakimbilia ubelgiji awaache wenzie kwenye mataa!! Nimeona ashaanza huko mtandaoni X!!

Tukiacha ushabiki Lissu hafai kuwa top notch huko CDM!!
Lakini anafaa kuwa top notch wa Tz?.
 
Lissu hafai kuwa kiongozi mwenye maamuzi ya mwisho katika jambo lolite. Ametawaliwa na jazba, dharau na kisasi. Ni mtu anayedhani ana akili kuliko watu wengi, ni dikteta wa kiwango cha Magufuli
Madikteta huwa SIfa yao kuu nikutoamini hakuna mbadala wakushika nyadhifa zao, kama alivyo Mbowe.
 
Lissu ana deko.... atatishowa nyau kidogo atakimbilia ubelgiji awaache wenzie kwenye mataa!! Nimeona ashaanza huko mtandaoni X!!

Tukiacha ushabiki Lissu hafai kuwa top notch huko CDM!!
Kama walimpa umakamu wa chadema uenyekiti ndo nn😂😂
 
Mie nawaza Kwa nn mbowe wasimpe bodi ya wadhani akatafuta mpunga wakati wa uchaguzi
 
Lissu ana deko.... atatishowa nyau kidogo atakimbilia ubelgiji awaache wenzie kwenye mataa!! Nimeona ashaanza huko mtandaoni X!!

Tukiacha ushabiki Lissu hafai kuwa top notch huko CDM!!
unadhani nani anafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…