Ukweli mchungu: Mbowe akirudi madarakani, CHADEMA na viongozi wake watapoteza heshima na ushawishi

Kwa kazi kubwa aliyoifanya ni wakati wake sahihi kuondoka.
 
Jamaa amesema kuwa lissu hafai, Elewa maana ya neno hafai. Tofautisha mtu hafai na simkubali.
Sasa kama hafai kwann yupo kwenye orodha ya wagombea?
Na ni makamu mwenyekiti wa chama, Viongozi na wanachama waelekezwe umuhimu wa kutumia lugha za kuijenga chama na umoja kuliko kubomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…