Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Dunia ilivo ya ajabu na sisi tulivo WA ajabu utashangaa SIKU ya mwanamke kipepeo, malikia WA nguvu, anaitwa MBELE na anapewa tuzo kabisa, huwa NAFIKIRIA Sana Africa sipati picha MFANO vera sidika WA Kenya. wale wauza nyanya WA sokoni, mbogamboga wale walistahili hayo SIO Hawa wakina jike shupa, mwishowe SASA HIVI KILA BINTI unakutana nae mdangaji.


Kwishaaaaaa
 
Hata hayo uliyoandika mwisho ni "MAWAZO YAKO"

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Maisha ya kupigwa mbele na nyuma unayasifia Dunia imeisha
 
Ipo hivi kazi yeyote ambayo siyo halali inalipa ww ukiwa jambazi, Mwizi, Malaya, jasusi, Muuaji na n.k lakini ni hatari kwako na familia Yako
 
Danganya wenzako wasiojitambua, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayeridhika kuwa changudoa hata siku moja, wengi wanatumika huku wakiwa na machungu moyoni. Dubai ni sememu ya kujiuza wanawake wengi na wanayofanyiwa huko si ya kusimulia kwani wanatumika kishenzi. Najuwa mwisho wa siku baada ya kuchoka utarudi tu hapa ama sehemu zingine kuomba mwanamme wa kukuoa hata kama ni mgonjwa kupindukia japo anapumua tu. Tupo hapa tunakusubiri.
 
Maisha ya kupigwa mbele na nyuma unayasifia Dunia imeisha
Huyu ana machungu ya kuteswa na wanaume, yete haya anayoyasema ni dalili ya kutokuwa na furaha maishani. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayependa kutumiwa mbele na nyuma huku akikojolewa na kunyewa mwilini kisha analipwa. Yana mwisho haya.
 
Chochote kiovu Unacho kifurahia sasa kita geuka kuwa Msiba Kwako.

Mungu badhihakiwi Unachokopanda sasa tarajia Mavuno ya maumivu na msiba.

Jipe Muda Usipo badilika na kuacha Uovu kuzimu itakua Makao yako Mpendwa.


Shetani Ana kudanganya na wewe una Enjoy nakwambia Usipo badilika Kuzimu itakusherekea.

Weka kichwani haya ni kwambiayo Binti.
 
Kwa hilo hujawashushua.utatumika mwisho utachakaa wakati wao ndo wanafurahia matunda ya uvumilivu.

Kudanga ni umalaya, malaya wa kike hana fungu lolote ndani ya maisha haya.
 
Maisha ni kuchagua ahukumiwi mtu kwa chaguo lake madhali kojoleo ni lako litumie Mama me nakuunga mkono
 
Kusema kudanga ni bora kuliko kuwa na ndoa ni ushahidi wa mtu aliyekata tamaa na maisha ya heshima. Sio kila mwanamke aliye kwenye ndoa ana mateso, na sio kila 'mdangaji' ana raha ya kweli wengi wanaficha maumivu nyuma ya maisha ya muda mfupi ya starehe. Kama unaishi vizuri kwa kudanga, hiyo ni safari yako ila sio sababu ya kubeza maisha ya wanawake wanaojitahidi kwa heshima na kujenga familia. Uhalisia wa maisha haupimwi kwa zawadi za muda mfupi bali kwa heshima utu na maadili. Huo mtazamo wako si wa kifahari ni wa mtu asiyejielewa
 
Wa mikoani wakija Dar wanakuwa malembukeni
 
Epuka kufanya ngono kutokana na kuumizwa na mahusiano mwisho wake ni wewe kuathirika ili hali mhusika aliyesababisha uumie anaendelea na maisha yake vizuri
Tujifunze kukubaliana na kuvunjika kwa mahusiano na tuendelee na maisha decent kwa afya yako ya mwili na akili
Kuvunjika kwa mahusiano ni kwa faida yako wewe unayehisi maumivu
Ruhusu maisha yaendelee
 
Na sie wazee tukiomba mechi za kirafiki..mtufikirie....alhamdulilahi...naunga mkono hoja.
 
Punguza hasira.
Tafuta pesa mkuu, hizi ni kelele tu kama kelele nyingine
Hata zako ni kelele mbwa wewe. Kwani umeombwa kibaba cha unga au kuna mtu anakula na kulala kwako?

Kila mmoja alichojaliwa kukipata ndiyo maisha yake. Umeliwa mbele na nyuma halafu mtungo, sawa, ni maisha yako. Kwanini utupigie kelele humu? Umelizwa lifestyle yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…