Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

Hongera mdangaji...una nyumba ngapi ushajenga..una miradi ya bilioni ngapi
 
Your upbringing family, your core being,fibers, DNA,bones, blood,brain, emotionally, spiritually, mentally, physically, energy, universe, atomic structure,inner compass, inner voice and thinking all are aligned accordingly to your creation.
Right now you wanna clarification from public so that to soothe your soul to feel.
If those you're saying were alright and right you wouldn't come here to brag.
Only few will understand this writings
 
Washkaji zangu tumegoma kutongoza mkazi wa Dar, hapa tutapumzikiana au basi namuwahi kabla hajachanganyikiwa jijini hapa.
Haiwezekani kila attempt nakutaka na wafanyabiashara.
 
Sasa kama umejenga na unabiashara yako,kwanini usiachane na udangaji?!!!,, Utaikanyaga miwaya,kumbuka nyie wanawake uwaga hamna ndomu zenu,ambazo zingewafaa zaidi kujilinda na vvu!!
 
Yote kw Au yote Unafanya kinachokufurahisha Au kukuchukiza ilimradi mambo yako yaende.
 
Kama maisha ya kuwa Dustin la wanaume kutupia makohozi yao ukupa furaha unahitaji uponyaji.
Siku soko lako likiisha hio furaha utaipitia wapi
 
Siyo wadangaji wote. Ni wale wadanganyi wazuri na wenye ''akili'' za kuutumia uzuri wao. Vinginevyo udangaji ni ''kazi'' mbaya mno na wanakutana na shuruba nyingi sana.
 
Sawa mkuu naona upo muandiko wa baharia unajulikana tu .....naona unatafuta maboya waje inbox uyapige utapeli
 
Hii ni dalili ya kupitia msongo mkali wa mawazo. Weka na picha ya tickets zako hata hizo picha za vacation basi maana umeshajitambulisha ni Malaya
 
Sasa kama umejenga na unabiashara yako,kwanini usiachane na udangaji?!!!,, Utaikanyaga miwaya,kumbuka nyie wanawake uwaga hamna ndomu zenu,ambazo zingewafaa zaidi kujilinda na vvu!!
Niliacha (kupumzika) ila nimemiss zile hekaheka za madifenda na kwenda vacation ndio maana.

Kukanyaga miwaga si rahisi endapo utafanya ngono salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…