UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Nafkiri ni utofauti wa lugha tuu. Mwingine atamuita Mariam, Maryam, maria, mary
 
Wakati huo mtifuano ukiendelea mwenyezi Mungu anaona , anasikia na anafahamu, sifa zote njema ziwe juu yake.
 
Ungejua tu Mchakato unaotumika kumpata PAPA ungeshangaaa.

Hilo Jina tu mpka lipenye uitwe PAPA kiruuuuu... We kausha tu mwanangu hayo unayoandika gongea tu mihuri.
Ni kura tu. Acha kutukuza saana jambo linalofanywa na binadamu. Huoni huko juu wanachaguliwa na wengine mpka wanatoa rushwa.
 
Nimeona uvivu kusoma maana andiko lenyewe linaanza Kwa majungu....Papa si ndio mungu wenu nyie?
 
Nimeelewa hoja yako. Hii naifananisha na ile hoja ya terehe 25 kuadhimisha kuzaliwa kwa Yesu. Wasabato, orthodox Roman Catholic huadhimisha tofauti. Lakini haiondoi kuzaliwa kwa Yesu. So hapo inshu ni kuwepo kwa mwanamke aliyemzaa Yesu ndiyo hoja ya msingi.
 
Hilo ndilo Jambo muhimu na thabiti hatuishi kwa ajili ya papa Bali kwa KRISTU mfufuka aliye hai
Kwani Dini yenu inasemaje?? Kiongozi wenu ni nani? Na Mafundisho yenu mnayapatia kupitia kwa nani? Kama sio huyo PAPA Mtumishi wa shetani kwenye kivuli cha UDINI???
 
Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga
Tatizo watu wanapenda kushikiwa akili, ukiwa na akili timamu plus maarifa, hekima, busara pamoja na utulivu wa hali ya juu huwezi kuwa na dini! Ila utaamini kuwa ipo nguvu kuu iliyomzidi binaadamu ambayo haina dini!! Kosa la huyu ndugu ni kupinga ushoga! Yaani kutetea maadili ya kweli eti ni kosa!

Pope Francis fires Texan bishop after criticism of reforms​



6 days agoPope Francis has fired the Texan bishop Joseph Strickland, a fierce critic who has questioned the Pope's leadership of the Catholic church.

Bishop Strickland has launched a series of attacks on the Pope's attempts to update the Church's position on social matters and inclusion, including on abortion, transgender rights and same-sex marriage.


BBC - Homepage › world-us-canada


Source: BBC
 
Katoliki na illuminati lao moja. Kuanzia ibada mavazi vinafanana sana
 
Na kuna Miriam, ni jina moja.
Mimi hii hoja ya majina nayafananisha na majina ya Yesu, Yeshua, Jesus as longer as una mlifaa yeye Yesu Kristo kwa lugha yenu hakuna shida. Pia kuna ile inshu ya tarehe ya kuzaliwa kwa Yesu. Kinachotakiwa ktk ukristo ni kuamini kuwa Yesu alizaliwa, akafa na siku ya tatu akafufuka ktk wafu Yuko juu mbinguni kutuandalia makao na yeye peke yake ndiye mwenye uwezo wa kusamehe dhambi na kutupa ushindi dhidi ya dhambi. Hakuna tarehe, siku, wala miandamo ya mwezi inayotajwa kuhusika na wokovu.

Ndiyo maana huoni wakristo wakishughulika na siku ya krissass ya wasabato au orthodox. Labda efata ambao hawana krismass ndo tunawashangaa na sijui ni ukrsto gani wanao zile raia.
 
uwepo wa hizo, haimaainishi kwamba hakuna lugha halisi za Mungu ambazo mwamini yeyote inampasa kuwa nayo ili awasiliane na Mungu. kumbuka kuwa tunaweza kuongea/kuomba kwa akili, na tunaweza kuomba kwa Roho pia.
Paulo alionya kuhusu kuwapo wanaonena kwa roho bila kutafsiri.
Mtu akinena kwa roho na atafsiri au awepo mtafsiri.
Ukiangalia walokole wengi wanaonena kwa roho hawajui hata wanasema nini.
hata kwenye kundi la wanaonena kwa roho hukuti hata mmoja anaetafsiri.
Angalieni msije mkawa mnapagawa na pepo na kunena maneno ya kufuru kwa mwenyezi Mungu.
Shetani ni mjanja sana
 
Kwaiyo wewe ndo unajua leo mbona sisi wasabato tunajua kabisa kuwa papa ndo mpinga Kristo na ndo Mungu atakaetakiwa kuabudiwa na ulimwengu kwa lazima.
 
Hii Dini ni ya kishetani, waabudu masanamu ya yesu kristo wanamdhalilisha na misaraba yao uchwara. Dini imejaa uzinzi kwa waumini na viongozi wote wa kanisa kuanzia mapadri hadi masister.

Hii Dini ni watumishi wa shetani ( rejea kwenye movie ya THE NUN). Dini inahamasisha ushoga , kumuabudu Mungu mtu anayeitwa PAPA francis. Ibada zao hazina tofauti na ma illuminati.

Nashangaa bado zinaendelea Kuwa na waumini wanamatatizo GANI au ndio Madhara ya kukaririshwa mistari uchwara ya biblia
 
Umekaririshwa quran hakuna mtu anayekusumbua.
Kila mmoja akariri anachotaka
Sisi hatujaikariri Qur'an pekee, tunamini Katika vitabu vingine kuanzia TAURATI, ZABURI, NA INJILI.
b
Biblia ni mpango shetani Katika kuupotosha ulimwengu
 
Sisi hatujaikariri Qur'an pekee, tunamini Katika vitabu vingine kuanzia TAURATI, ZABURI, NA INJILI.
b
Biblia ni mpango shetani Katika kuupotosha ulimwengu
Sawa sio lazima tufanane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…