UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Leo saa 12 na nusu nikiwa kanisani siti ya mwisho nimekaa natafakari hivi haya mapokeo tutakua watumwa wa fikra mpaka lini na jibu sijapata ngoja kesho nirudi Tena
Usiruhusu kukata tamaa ndugu, Mungu yupo na Kristu yupo
 
Acha ku

Acha kupotosha watu kwanza wewe sio mkatoliki
Tuambie kabla ya kupata kipaimara unatakiwa uwe umepata nn
Hapo nimepotosha nini mdogo wangu!?
Hilo swali mbona la kitoto sana, anyway nimeshaeleza nyuma.

Halafu nawe nikuulize jambo, unajua nini kuhusu wakatekumeni!?

Pengine hata mapaji ya roho mtakatifu anayepewa muumini katika sakramenti ya kipaimara huyajui, pengine hata mafuta anayopakwa muumini katika sakramenti ya kipaimara hujui yanitwaje, pengine hata hujui mbadala wa Askofu Nani mwengine anayeweza kuidhinisha sakramenti ya kipaimara.

Na uko hapa kunichallenge
 
Swali kwa Wakatoriki.

Mama wa Yesu ambaye aliolewa na Yusufu jina lake ni Mariam.

Mathayo (Mat) 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Luka (Luk) 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

Katika kila Ibada ya Wakatoriki iwe ya mtu mmoja au wawili au watatu au Jumuiya au Kanisani ni lazima katika sala atajwe mwanamke anayeitwa Maria.
Tena inaenda mbali mpaka anaimbiwa nyimbo za kumtukuza atasikia.

" Salamu Maria eeh mamaa, salamu Maria eeeeeh"

Inaenda mbali hadi katika kila kanisa ni lazima iwekwe sanamu zaidi ya moja ya huyo mwanamke aitwae Maria.

Inaenda mbali mpaka sanamu hiyo inasujudiwa na waumini na kuwekwa mbele ya mimbari huku waumini wakisali kwa kuitizama na kuomba kusamehewa dhambi.

Nimeisoma Injiri Yesu kuanzia Mathayo hadi Ufunuo wa Yohana sijawahi kuliona jina la Maria, katika Biblia zote.

Nimesoma Qurani hakuna Aya inamtaja mwanamke aitwaye Maria Bali inamtaja Mariam tena imempa sura nzima ingawa inamtaja kwa makosa makosa ila inamaanisha Mariam Mama wa Yesu.
فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا

(MARYAM - 27)
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!

Swali naliwauliza Wakatoriki.

Huyo Maria ni nani ?
 
Speaking of kunena kwa lugha zile shakarabaabaaaa ndorobooo ndio kunena kwa lugha?
uwepo wa hizo, haimaainishi kwamba hakuna lugha halisi za Mungu ambazo mwamini yeyote inampasa kuwa nayo ili awasiliane na Mungu. kumbuka kuwa tunaweza kuongea/kuomba kwa akili, na tunaweza kuomba kwa Roho pia.
 
Watakuja kubisha hapa ila ndo ukweli wakatoliki ni anti christ kabisa hawa
Wewe nawe ni wale wale tu, hapa hatuongelei itikadi hizo itikadi ndo zinwafanya mnabeba chuki na vihoro juu ya wakristu wenzenu, hapa tunaongelea uapatanisho kupitia Kristi aliye pasaka wetu na sio itikadi zenu za kimakundi juu ya Nani ni mkweli Nani muongo... Ukristu hautaki mifarakano, huko kwako unakokupigia chapuo hakuna usafi wowote.. usikute huyo mchungaji wenu anamla dada yako nawe hujui
 
Acha mihemko mdogo wangu, hawa watumishi nao ni watu Kama wewe na wanatenda dhambi Kama wewe, ni ukweli usiopingika hakuna atajayeharibu misingi ya kanisa KATOLIKI
 
Necromancy.
Ajabu Sana mtu kulioia Mfuko wa Cement uliopakwa rangi umfanyie wepesi
 
Swali kwa Wakatoriki.

Mama wa Yesu ambaye aliolewa na Yusufu jina lake ni Mariam.

Mathayo (Mat) 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Luka (Luk) 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

Katika kila Ibada ya Wakatoriki iwe ya mtu mmoja au wawili au watatu au Jumuiya au Kanisani ni lazima katika sala atajwe mwanamke anayeitwa Maria.
Tena inaenda mbali mpaka anaimbiwa nyimbo za kumtukuza atasikia.

" Salamu Maria eeh mamaa, salamu Maria eeeeeh"

Inaenda mbali hadi katika kila kanisa ni lazima iwekwe sanamu zaidi ya moja ya huyo mwanamke aitwae Maria.

Inaenda mbali mpaka sanamu hiyo inasujudiwa na waumini na kuwekwa mbele ya mimbari huku waumini wakisali kwa kuitizama na kuomba kusamehewa dhambi.

Nimeisoma Injiri Yesu kuanzia Mathayo hadi Ufunuo wa Yohana sijawahi kuliona jina la Maria, katika Biblia zote.

Nimesoma Qurani hakuna Aya inamtaja mwanamke aitwaye Maria Bali inamtaja Mariam tena imempa sura nzima ingawa inamtaja kwa makosa makosa ila inamaanisha Mariam Mama wa Yesu.
فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا

(MARYAM - 27)
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!

Swali naliwauliza Wakatoriki.

Huyo Maria ni nani ?

Wakatoriki Naomba Jibu Tafadharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…