cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Speaking of kunena kwa lugha zile shakarabaabaaaa ndorobooo ndio kunena kwa lugha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Speaking of kunena kwa lugha zile shakarabaabaaaa ndorobooo ndio kunena kwa lugha?
ila mauzauza ya kanisa katoliki hata shetani anayaogopa, huyu alexander vi alikuwa pepo kabisaExactly. Maana hakuna dhehebu lisilokuwa na kasoro kote kuna mauzauza
Coca ningesema neno hapa ila ningechafua hali ya hewa... [emoji38] ni maneno ya faragha na hapa si mahali pake.[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye ndo alikuwa pepo na si mimiila mauzauza ya kanisa katoliki hata shetani anayaogopa, huyu alexander vi alikuwa pepo kabisa
Hapo nimepotosha nini mdogo wangu!?Acha ku
Acha kupotosha watu kwanza wewe sio mkatoliki
Tuambie kabla ya kupata kipaimara unatakiwa uwe umepata nn
sasa mkuu unaabuduje kwenye kanisa lenye mauzauza yasiyotamkika?Yeye ndo alikuwa pepo na si mimi
Nilishaacha kuabudu mimi, naishi ninavyoona sawa .sasa mkuu unaabuduje kwenye kanisa lenye mauzauza yasiyotamkika?
uwepo wa hizo, haimaainishi kwamba hakuna lugha halisi za Mungu ambazo mwamini yeyote inampasa kuwa nayo ili awasiliane na Mungu. kumbuka kuwa tunaweza kuongea/kuomba kwa akili, na tunaweza kuomba kwa Roho pia.Speaking of kunena kwa lugha zile shakarabaabaaaa ndorobooo ndio kunena kwa lugha?
Wewe nawe ni wale wale tu, hapa hatuongelei itikadi hizo itikadi ndo zinwafanya mnabeba chuki na vihoro juu ya wakristu wenzenu, hapa tunaongelea uapatanisho kupitia Kristi aliye pasaka wetu na sio itikadi zenu za kimakundi juu ya Nani ni mkweli Nani muongo... Ukristu hautaki mifarakano, huko kwako unakokupigia chapuo hakuna usafi wowote.. usikute huyo mchungaji wenu anamla dada yako nawe hujuiWatakuja kubisha hapa ila ndo ukweli wakatoliki ni anti christ kabisa hawa
pamoja sana mkuu, kudos to yu.Nilishaacha kuabudu mimi, naishi ninavyoona sawa .
SIfati sheria za dini yoyote..
Ila nimekulia kwenye ukatoliki..
Acha mihemko mdogo wangu, hawa watumishi nao ni watu Kama wewe na wanatenda dhambi Kama wewe, ni ukweli usiopingika hakuna atajayeharibu misingi ya kanisa KATOLIKIWewe si Mkatoliki.Nakupa pole sana Kwasababu unatumia nguvu nyingi sana kwa kitu ambacho kipo out of your Control;Kanisa Katoliki umezaliwa ukalikuta utakufa utaliacha likiendelea kushine,Papa Francis ni mteule wa Mungu mwenyewe wewe hutaweza kumuangusha.Kashfa km hizo wewe si wa kwanza kuzizusha,Soma Vizuri Historia ya Kanisa Katoliki utajionea jinsi Kanisa na Viongozi wake walivyozushiwa kila aina ya ubaya,lkn cha kujiuliza kwanini hadi leo Kanisa Katoliki bado lipo?,na ndio linaongoza kwa kuwa na Wafuasi wengi?,Kwamba wote hao hawana akili?,Aisee!!,Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko unavyodhani,hili Kanisa liache km lilivyo hutaweza kuliyumbisha wala Viongozi wake.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Kwani kuongea mambo yenu bila kunitaja hamjisikii raha 🤨Shida ni kuwa watu wanaweka Imani kwa wanadamu kuliko Yesu mwenyewe, utasikia "wee kuhani musa yule ni kiboko" who is kuhani musa???
Necromancy.Swali kwa Wakatoriki.
Mama wa Yesu ambaye aliolewa na Yusufu jina lake ni Mariam.
Mathayo (Mat) 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.
Luka (Luk) 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Katika kila Ibada ya Wakatoriki iwe ya mtu mmoja au wawili au watatu au Jumuiya au Kanisani ni lazima katika sala atajwe mwanamke anayeitwa Maria.
Tena inaenda mbali mpaka anaimbiwa nyimbo za kumtukuza atasikia.
" Salamu Maria eeh mamaa, salamu Maria eeeeeh"
Inaenda mbali hadi katika kila kanisa ni lazima iwekwe sanamu zaidi ya moja ya huyo mwanamke aitwae Maria.
Inaenda mbali mpaka sanamu hiyo inasujudiwa na waumini na kuwekwa mbele ya mimbari huku waumini wakisali kwa kuitizama na kuomba kusamehewa dhambi.
Nimeisoma Injiri Yesu kuanzia Mathayo hadi Ufunuo wa Yohana sijawahi kuliona jina la Maria, katika Biblia zote.
Nimesoma Qurani hakuna Aya inamtaja mwanamke aitwaye Maria Bali inamtaja Mariam tena imempa sura nzima ingawa inamtaja kwa makosa makosa ila inamaanisha Mariam Mama wa Yesu.
فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا
(MARYAM - 27)
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!
Swali naliwauliza Wakatoriki.
Huyo Maria ni nani ?
Hebu sema tyuuh, hata usiogopee.Coca ningesema neno hapa ila ningechafua hali ya hewa... [emoji38] ni maneno ya faragha na hapa si mahali pake.[emoji7]
Umesema msikiti wa manini? Wavaa kobazi mmesikia?Niliwahi kusoma makala moja kuhusu msikiti wa mashoga ujerumani