Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Hata hivyo wanaume tunawaweka wanawake katika makundi mawili. Wapo wa kujirusha nao na wa kuoa na kuweka ndani kama mke? Hawa ni watu wawili tofauti. Hiyo ni sera ya wanaume wote wenye akili.

Hakuna mwanaume anayeoa mwanamke anayempa nyuma, nasema hakuna.

Hakuna mwanaume anayeweka kigezo cha manjonjo kitandani kudifine mke wa ndoa. HAKUNA.

Yes mapenzi yanahitaji ukichaa lakini sio ukichaa uliothihirishwa na jamii kwamba huyu ni mwehu. Ukichaa na uchafu uko chumbani na hakuna anayejua. Watu wengi wakijua huyu ni malaya wanaume hawaoi.

Mwanamke mwenye sifa za kuka naye bata haolewi hata siku moja. Ni asilimia ndogo wamaeolewa.



Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 

dmkali

huyu kachanganyikiwa kila siku anatetea malaya kuwa ni wa kuwekwa ndani
Hata vitabu vya Dini vimemtenga Malaya kwani atasababisha Mumewe kukaa akiwaza kumchunga na kupoteza muda wakazi nyingine
sikumbuki mstari ila ni Kitabu cha SIRA
UNALIJUA SINK LA CHOO NI WATU WOTE MTAANI WAKIOMBA KUTUMIA WANARUHUSIWA NA WANASHUSHA MZIGO WAO HALITATAKATA
 
Wee jamaa bhana! Hujui watu wanaratiba kabisa kuna siku za mbele na za nyuma
 
Unajua fact huwa haidanganyi!
Ebu sema kweli brother wewe unapenda MAPENZI ya kuzungushwa kama kitenesi?
 
Malaya tunawapenda kwa sababu ya urahisi wa kunyandua ila sio kuoa.
 
Labda kuna ka ukweli.
Ndio maana sikuhizi kuna ndoa nyingi zinakufa baada ya Mume kugundua kuchapiwa kwa Malaya wake aliyemuoa.
 
Unaoa mtulivu unachepuka na malaya.
Uzi wako sio wa kweli.
Kitu ambacho wanaume tunacho ni hatutosheki na kei moja, ile itakayojipitisha mbele tunapiga. Hawa malaya wanajipitisha...hata mke wa jirani akijipitisha na kujiingiza kwenye 18 tunapiga.
 
Njoo kwangu kama hujaolewa. Njoo nikuwowe
 
Kwahiyo ufahari ni kutunzwa? What if anaweza kujitunza mwenyewe?
Dhumuni la kuoa ni kumtunza mke?
Unataka kupotoka wewe[emoji23][emoji23]
Ni wajibu wa mume kutunza mke wake.

Malaya unakula na kulipa keshi na hamtajuana hata mkipishana njiani.

Bahati mbaya sipendi K zinazojiuza kamwe nahisi kinyaa.
 
Unaoa mtulivu unachepuka na malaya.
Uzi wako sio wa kweli.
Kitu ambacho wanaume tunacho ni hatutosheki na kei moja, ile itakayojipitisha mbele tunapiga. Hawa malaya wanajipitisha...hata mke wa jirani akijipitisha na kujiingiza kwenye 18 tunapiga.
Huyo mke wa jirani anayejipitisha kwako si ndio hao Malaya walioolewa?. Ulichokipinga ndicho unachokiunga mkono.
 
Unataka kupotoka wewe[emoji23][emoji23]
Ni wajibu wa mume kutunza mke wake.

Malaya unakula na kulipa keshi na hamtajuana hata mkipishana njiani.

Bahati mbaya sipendi K zinazojiuza kamwe nahisi kinyaa.
Najua kumtunza mke ni wajibu wa mume, ni kwamba hatujaelewana hlf naona uvivu kukuelewesha.
Je K zinazotoka bure unazipenda?
 
Woi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa.

Sio inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.

Hebu futa hii porojo yako mkuu, uliona wapi msichana wa kazi asiyevutia?[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…