Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Reality! Na hakuna mwanamke asiye Malaya kama pako waz,tunatofautiana mnato wa K tu.Aringe bikra.
 
Mmekalia salamaleko[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmekalia salamaleko[emoji23][emoji23][emoji23] kama unajua kupika chapati soft, njoo nikuoe
heheeee Nimipata bwana usiku usiku kama mwizi wa mpunga Pooh!! mwashabani mwenye nyota yangu ya usiku Mnyazi Subaalna wataala kasikia kilio changu, njoo mpenzi wangu nikukogeshee mfezafeza, nikufukize karafuu Napika chapati laini kuliko maisha yako , Pooh karibu mpenzi penzi tulienzi...
 

Mkuu, kwani mkeo hajiuzi... unamla bure?

Ulimtolea mahari, unamhudumia kila siku ukate pochi kubwa.... huko ni kulipia huduma kama hupendi tutumie neno kujiuza.
 
Shetani ana akili sana aliwaweka wadada wazuri wawe malaya ili wawaangushe wanaume kwenye dhambi ya uzinzi. Malaya wengi wazuri ila tabia zao zinawafanya wasidumu kwenye ndoa
 
Nadhani mleta mada angeweka 'muhuni/mtundu kitandani' angeeleweka kiurahisi zaidi
 
Mkuu watu wana perceptions za ajabu sana ktk swala la mahusiano
Inashangaza kuona kuwa mwanaume anaoa kwasababu anataka kumtunza mke. Yaani mwanamke kashindwa kujitunza sasa yeye ndo anamuonea huruma anamuoa ili amsaidie kumtunza.
.
.
Ni Kama vile mwenye uhitaji sana wa ndoa ni mwanamke, mwanaume aaingia kwenye ndoa ili kumsaidia mke. So pathetic.
Kwa mawazo hayo ya wanaume wengi wa kiafrica ndoa zitaendelea kukosa uthamani na kufa kabisa, maana si wanawake wote watakaokubaliana na mawazo Kama hayo.

Glenn pale juu nilimaanisha hivi.
 
Ni kweli mkuu, na kwa bahati mbaya zaidi, hali hii pia inachangiwa na baadhi ya wanawake walio wengi pia
 
Ni kweli mkuu, na kwa bahati mbaya zaidi, hali hii pia inachangiwa na baadhi ya wanawake walio wengi pia
Wanawake tangu zamani wamekaririshwa kuwa ndoa ni kila kitu na ukiachika au usipoolewa ni aibu jamii inakushangaa.
Mwanamke kafundishwa uvumilivu no matter what usiachike, ukiachika hata Kama kosa ni la mwanaume atanyooshewa kidole mwanamke na kuambiwa mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake mwenyewe.

Wanawake wapo kwenye ndoa wanavumilia kila kitu, vipigo,matusi na mengine kibao. Wengine wamepata ulemavu lkn bado wapo tu. Mtu unapata stress za kufa mtu lkn ndo unashindwa kuondoka eti kisa umeolewa...watoto wangu itakuaje? Inasikitisha kwa kweli.
.
.
Binafsi naamini katika mapenzi, mahali nisipopendwa sikai hata nionekane vipi huwa sijali naondoka. Anayenipenda atabadilika kwaajili yangu...asipobadilika naondoka mchana kweupe na maisha yatasonga with or without him!
 
Maisha ya ndoa ni fahari kwa watoto wako kwa kuishi na baba na mama kuna watoto wamekatishwa haki na furaha zao kuishi na baba zao kisa vihasira na viwivu vya mwanamke na kusababisha mtoto kujihisa vibaya anapoona watoto wenzao wapo na baba zao na anabaki kuita baba madanga yenu ambayo kila kukicha una danga jipya, ntakomaa na my wife na wanangu mwanzo mwisho na siku zote ntajitahidi sana nisimkwaze kwa sababu zisizo na msingi.
 
Ufahari wa wana ndoa unaletwa na wanandoa wenyewe. Ni vizuri umeamua kukomaa na wife means unamthamini hata mbele ya watoto na jamii kwa ujumla.
Watoto hawawezi kuona ufahari kama mama yao au baba yao anadhalilishwa na mmoja wao, zaidi utawajenga kuwa wakatili na hata wao hawatathamini ndoa zao hapo baadae maana wameshuhudia ya kutisha kwa wazazi wao.

Kuna mtoto wa ndugu yangu ana miaka mitano Jana ananisimulia jinsi baba yake alivyomfukuza mama yake na panga. Imagine mtoto wa miaka mi5 imemkaa kichwani. Ufahari hapo uko wapi zaidi ya kumuharibu mtoto kisaikolojia?
Ndoa zenye ubabe wa kishamba ni majanga kwa watoto.
Ukikomaa na mke wako hata yeye atakomaa na wewe hayo madanga unayoyazungumzia hayatakuwepo.

Ni jukumu lako wewe baba/mama kuleta ufahari kwa watoto wako. Mfanye maujinga yenu hlf mseme ni ufahari kwa watoto haipo hivyo na haiwezi kuwa hivyo kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…