princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
mahari yangu laki 3 tu... Poooh! njoo unistiri Mnyazi Mungu atakubarikiNjoo kwangu utanifaa kabisa,mahari sh ngapi nijipange nije toa nichukue mkee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahari yangu laki 3 tu... Poooh! njoo unistiri Mnyazi Mungu atakubarikiNjoo kwangu utanifaa kabisa,mahari sh ngapi nijipange nije toa nichukue mkee
Uchumi wa kati nomaBallcone ni buku tu ujue 😀
Ha haaa nakuelewa sanaUchumi wa kati noma
Yani hiyo buku unaisaka balaa
Kumbe dawa ni kukupiga nalo kila siku ngoja leo nianze dozi kwa mama yoyoWoi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.
Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.
Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
Ha haaa hapo nimejiongelea mimi ukute wa kwako hapendi. Ila issue sio kila siku ila ipite wiki, wiki mbili, mwezi basi kuna tatizo.Kumbe dawa ni kukupiga nalo kila siku ngoja leo nianze dozi kwa mama yoyo
Hao malaya itakuwa kuna skills wanajua kuhusu kiumbe mwanaume, kwanini wao watakiwe kila siku kuliko wa ndoani?.Woi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.
Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.
Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
Hahahaha njoo nikuoe sasa unashangaa shangaa waoaji tupo humu mnadengua dengua mkiitwa piemuMnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!
Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Mchukue huyo malaya muoe halafu uje hapa kushuhudiaHao malaya itakuwa kuna skills wanajua kuhusu kiumbe mwanaume, kwanini wao watakiwe kila siku kuliko wa ndoani?.
Malaya ana njonjo ambazo mtoto aliyetulizana hana! Ndio sababu wanakimbiliwa japo wengi sio wife material ila wana namna ya kuchezesha kete zao vizuri ili kumuingiza kidume kingiUnakosea sana kusema tunspenda wanawake malaya.
Unstakiwa useme tunapenda wanawake watundu kitandani.
Kinachowafanya malaya waolewe sio umalaya wao,bali ni ule uzoefu wa utundu wao kitandani akikufanyia wewe akakuonjesha unapagawa lakini sio kwwmba unapagawa nae na kutaka kumuoa kwa sababu ya kuwa ana wanaume wengi,bali kwa sababu ya utundu.
Kama wewe unapenda malaya kwa sababu ya umalaya wake na sio utundu basi naomba iwe kwako tu mkuu.
Ndio maana wengi wanaooa malaya wanasifia kwamba wanajua msmbo,kuna mijanamke mimalaya inagawa tu lakini haina inachojua kwenye uringo wa mapenzi,hawa hawaolewi ng'o hata kama ni malaya,mtu ataishia kwenda kuzini kutoa nyege zake tu.
Malaya wanapendwa kwa utundu wao na sio kwa sababu ya umalaya wao
Hahaha malaya haolewi anatumika tu kuboresha tendo la ngono! Satisfaction level ya penzi la malaya bubu hawa ni beyond wife level! Njonjo pia wanaziweza ndio maana wanapendwa.Mchukue huyo malaya muoe halafu uje hapa kushuhudia
Hahahaha ndio maana ndoa hazidumu ukioa malaya mwanamke kashafirwa sana mtaani jua kabisa atatoka apeleke tako lake likashughulikiwe vizuri kwa hawara wake!Labda kuna ka ukweli.
Ndio maana sikuhizi kuna ndoa nyingi zinakufa baada ya Mume kugundua kuchapiwa kwa Malaya wake aliyemuoa.
Huyo anaonekana anapenda mambo ya Ndumba mie mwanamke mshirikina simtaki@Extrovert uko wap umsaidie bibie [emoji23].
Sasa shida yote ya nini, kwanini msioe Malaya ili mridhike vya kutoshaHahaha malaya haolewi anatumika tu kuboresha tendo la ngono! Satisfaction level ya penzi la malaya bubu hawa ni beyond wife level! Njonjo pia wanaziweza ndio maana wanapendwa.
Yarabi kaniona nistirike mie mtoto wa kiwalani Poooh, karibu mpenzi wangu penzi tulienzi, nimifurahi kwerikweri tuanze zile plosesi, ila usinizungushe kama nafatilia mirathi ya kiwanja cha mkopoHahahaha njoo nikuoe sasa unashangaa shangaa waoaji tupo humu mnadengua dengua mkiitwa piemu
Penzi utalifurahia usipokuwa mchoyo tu sio unakuwa mnyimi halafu unategemea uinjoy penzYarabi kaniona nistirike mie mtoto wa kiwalani Poooh, karibu mpenzi wangu penzi tulienzi, nimifurahi kwerikweri tuanze zile plosesi, ila usinizungushe kama nafatilia mirathi ya kiwanja cha mkopo
Hatutaki kuoa malaya sababu hawana akili za kutunza familia na kuwaza maisha ila kingono wapo vizuri!Sasa shida yote ya nini, kwanini msioe Malaya ili mridhike vya kutosha
Bahati mbaya nyege na akili hazina uhusiano kama ilivyo kitambi na pesa au kipara na utajili,Hatutaki kuoa malaya sababu hawana akili za kutunza familia na kuwaza maisha ila kingono wapo vizuri!
Ndoa ni maisha sio starehe ya muda mfupi kama sex
😂😂😂 Mwambie huyoooBahati mbaya nyege na akili hazina uhusiano kama ilivyo kitambi na pesa au kipara na utajili,
Malaya wenye akili zao wapo kibao
Mwanamke Malaya akijipromoKimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa.